Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Watafichwa vipi? Kwani mama nae ni dhalimu?Hao polisi ndio waliokuwa wanafanya hayo matendo ndio maana huoni ufuatiliaji wowote. Hao watu wasiojulikana tulisema wazi ni kundi la Magufuli toka vyombo vya dola, lililokuwa likifanya ukatili na unyama wa wazi. Na hata wakishitakiwa mahakamani chini ya utawala huu wa ccm watafichwa tu, kwani kuna ushirikiano wa kihalifu baina ya serikali, mahakama na vyombo vya dola.