Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Wanaotuhumiwa kumteka na kumuua Ben Saanane wafikishwe Mahakamani mara moja, huyu askari Jumanne Malangahe na Makonda ndio wa kuanza nao

Hao polisi ndio waliokuwa wanafanya hayo matendo ndio maana huoni ufuatiliaji wowote. Hao watu wasiojulikana tulisema wazi ni kundi la Magufuli toka vyombo vya dola, lililokuwa likifanya ukatili na unyama wa wazi. Na hata wakishitakiwa mahakamani chini ya utawala huu wa ccm watafichwa tu, kwani kuna ushirikiano wa kihalifu baina ya serikali, mahakama na vyombo vya dola.
Watafichwa vipi? Kwani mama nae ni dhalimu?
 
Mkuu lisaidie jeshi letu kama una ushahidi maana its been a long wait, mpaka sasa htujapata taarifa za uchunguzi wa kifo cha mpendwa wetu Ben, familia ina masononeko na Roho ya Ben bado haijapumzika kwa amani mpaka pale atakapotendewa haki
Kubenea alishasema miaka miwili nyuma huko lkn nyie wanachama wa CHADEMA mmeshindwa kumbana mwenyekiti wenu aseme ukweli.
 
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.

Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
Naunga mkono hoja
 
Kwani wanachama wa chadema ndio vyombo vya ulinzi na usalama?
Anzeni na Mwenyekiti wenu, Mbowe alipaswa kufungua shauri polisi juu ya upoteaji wa msaidizi wake, yy hakufanya hivyo akaendelea kuhudhuria event zote za akizoalikwa na Mh Magufuli. Kama una akili sawasawa utaelewa kilichotokea na nani ni mhusika namba moja.
 
Wangeanza kumhoji kubenea kwanza kama wapo makini, pengine ni miongoni mwa washiriki la sivyo yeye ana ushahi gani au ana uhakika gani kwamba mbowe amehusika? Unless wawe walishirikiana na mbowe

Ni kweli kabisa
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Wazazi wako walizaa mbuzi wewe, wakanyonyesha mbuzi wewe, wakauza mbuzi wewe na kukusomesha mbuzi wewe na Sasa mbuzi wewe unatype rubbish kwenye mtandao wa JF
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Wakati wenu ndiyo umeanza mtaumbuka wote wauwaji na watekaji wakubwa
 
Kubenea alisema ishu ya Ben Saanane aulizwe Mbowe vizuri, anajua mchezo mzima

Na sio tu ishu ya Ben bali hata kifo tata cha Chacha Wangwe kama vyombo vyetu vya dola vingekuwa makini basi Mbowe hapa pía ana la kujibu, hata kama ni Mwenyekiti wangu chamani lakn haki lazima itendeke. KARMA IS A BIT*H
Ingekuwa Mbowe amehusika kwenye hivyo vifo polisi kwa jinsi wanavyohaha kumtia hatian kwa hii case ya kumbumba wangekuwa washamtia sero kitambo tu
 
Kumbe Mbowe alipewa taarifa zote kuhusu kilichompata Ben...Sasa mbona alibaki kimya?

Ndio maana nasema, Mbowe ni mtu wa kwanza kujibu tuhuma za kutoweka kwa Ben
 
Mbane mama yako
Mbona umepanik mzee???
JamiiForums1232863076.jpg
 
Kama ametambuliwa na watuhumiwa wanaodai kuteswa na kisha kupigwa lakini wakamkumbuka vizuri kwa sura huyu Jumanne Malangahe kuwa ni mhusika wa kuteka watu na kwamba alimteka Ben Saanane na Hata pia Erick Kabendela, huu ndio wakati wa kumkamata na kumpeleka mahakamani.

Mambo mengi yatakaa sawa na ukweli utajulikana.View attachment 2077136
HABARI hii ilipaswa MAGAZETI yote YAIANDIKE kutokana na UZITO wake lakini ni Gazeti la RAIA MWEMA ndio lenye UTHUBUTU
HONGERA SANA "RAIA MWEMA"

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom