#COVID19 Wanaouhubiri chanjo kumbe hawajachanjwa

Tangu zoezi la haya machanjo lianze, wajuvi tuliona kuna usanii mwingi na maigizo ndani yake.

Ukiachana na kituko cha wale manesi bandia walioshika sindano kama penseli tena bila gloves na tahadhari zingine za kiafya, leo hii kumezuka kitimbi kingine.

Mmojawapo wa 'wahubiri wa chanjo', Daktari Sospeter Bulugu, leo hii ameonekana akipepesuka na kutaka kuanguka akiwa kwenye kongamano la kuhubiri chanjo kwenye moja ya video iliyorekodiwa.

Baadae ikasikika sauti ya Waziri Dorothy Gwajima akitaka tukio lile lisirushwe na vyombo vya habari kwa sababu eti 'litaipaka tope' chanjo.

Baada ya mabishano ya hapa na pale, wengine wakisema kwamba Daktari Sospeter alitaka kuanguka kutokana na madhara ya chanjo, Wizara ya Afya imekuja na kanusho kwamba Daktari Sospeter hajachanjwa na hajawahi kuchanjwa.

Lakini cha ajabu Daktari huyu alikuwa kwenye kongamano la kuhubiri watu wakadungwe chanjo.

Na inawezekanaje watu wanaowashawishi watu wakadungwe michanjo ya Covid wao wenyewe hawataki kudungwa?

View attachment 1891039

Tangu Magufuli afariki ,nchi imekuwa ya ajabu sana.
 
Kuna uwezekano amechanja ila kukubali kwamba amechanjwa.... Ina maana hta kma ataugua Malaria au kisukari kishuke/kipande then watu wataamini ni chanjo tu imemdhuru na sio kingine. So kukiri amechanjwa kweli ita jeopardise operation nzima.

Mbona Maalim au JPM hawakuchanjwa na walifariki ''ghafla'' ila leo hii akifariki Mbowe au Mpango utaskia "chanjo zimejibu".

WaTanzania ni watu wasio wadadisi so kuchanganua ni ngumu sana tofauti na Kenya au Uganda. Tunapenda sana umbea so whether amechanjwa or not haina maana sukari inapotea. No wonder imesikika akipewa pipi na soda hapo kwa clip.

Tuache misinformation zisizo kuwa na tija na kutishana. Unaogopa chanjo kuliko hata corona yenyewe?? Mionzi tu ya smartphone inatuua taratibu lakini unakuta jitu limeshika hyo hyo smartphone linapovuka mabeberu wanataka kutuua!!

Funny
Nimependa hii tafakuri
 
Point
tatizo kubwaTanzania almost 95% ya watu elimu ndogo au hawako informed. Na wanajiona wana akili sana.

ukitaka umjue mtanzania acha atoke nje tu, hapo ndiyo unajua education ndogo
 
Magufuli mnahusisha kifo chake na corona na sababu ni kwamba et aliidharau corona na kupinga chanjo hivyo mnahitimisha kuwa kafa kwa corona, lakini ajabu mkuu unapinga watu kuhusisha madhara ya chanjo na hilo tukio la daktari.

"I think this is another fella on the part of the baby boomers I am a real baby boomer I was born in 1947 I'm almost seventy-three years old but I think we've really screwed up we cause pollution we allowed the world's population that we increase threefold in my lifetime even more we've caused the problems of global warming and now even left your generation with a real mess in order to save a really small number of very old people."

Prof Michael Levvit
 
Nimependa hii tafakuri
Ndgu umeongea vyema sana sas kma nikutua bac ni karibia ulimwengu wte sas au dunia karibia nusu yote kaka watu wako na simu kwa ajiri ya udaku na yutube ila hawako na smartphn kwa ajiri ya kwenda na ulimwengu wa technologia amini kama mungu kawapa nguvu za kulitengeneza hili gonhwa kwel basi yy ndio hatakae tuponya sis alileta maradhi akaleta na uponyaji mungu ndo muweza hakika hii chanjo itakuwa ni sehem ya wema wake mungu
 
Hii naipinga mdau Mimi pia nimiongoni mwa watu ambao ninamashaka Sanaa na hii chanjo japo sija fanya utafiti lakini kwa uzoefu wangu na nimesikia baadhi ya wataalam wa mambo hayo inaonyesha wazi kabisa chanjo hii sio salama Kuna uhiyari wa kuchanja ilakini inaonesha ulazima upo Tena Wana tulazimisha kisiasa Mimi binafs sija kubaei hii chanjo
 
Kuna uwezekano amechanja ila kukubali kwamba amechanjwa.... Ina maana hta kma ataugua Malaria au kisukari kishuke/kipande then watu wataamini ni chanjo tu imemdhuru na sio kingine. So kukiri amechanjwa kweli ita jeopardise operation nzima.

Mbona Maalim au JPM hawakuchanjwa na walifariki ''ghafla'' ila leo hii akifariki Mbowe au Mpango utaskia "chanjo zimejibu".

WaTanzania ni watu wasio wadadisi so kuchanganua ni ngumu sana tofauti na Kenya au Uganda. Tunapenda sana umbea so whether amechanjwa or not haina maana sukari inapotea. No wonder imesikika akipewa pipi na soda hapo kwa clip.

Tuache misinformation zisizo kuwa na tija na kutishana. Unaogopa chanjo kuliko hata corona yenyewe?? Mionzi tu ya smartphone inatuua taratibu lakini unakuta jitu limeshika hyo hyo smartphone linapovuka mabeberu wanataka kutuua!!

Funny
Pamoja na ndugu ipo haja ya wazi kabisa kuhoja hii barua ya wizara, na hii ndio msingi , tujiulize kwa nini? Ili iweje,?uwezo wa waliofikiri, kuandika, kuchambua, kuamua maudhui na namna ya kuwasilisha, mtipitishaji wote ni zero Wizara imekosa credibility, hii aibu itadumu na itatumika kama rejea next episodes. Premature response, public nchi hii haiheshimiki thinking and worry before addressing the mass ili uje na hoja jenga na yenye afya si sehemu ya upeo wa waliokasimishwa makadara!! Hii ishu ni simple sana or otherwise Mungu kaamua kuutoa ushuhuda mapema ili makataa wa Mungu waheshimiwe na kazi zao ziendelee. Kwa kuwa hatuogopi tutawajibu mtakapoleta ulazima sasa hivi mmeshavunja kingo za mito tusubiri mafuriko, nani mshindi kwenye draft la unatoa hutoi?
 
Kuna dkt nilimuuliza kama ni halali kudunga watu sindano bila gloves, akasema ni makosa kabisa sasa kwenye kudungwa kwa mazaa huyo nesi gloves hana, halafu iyo dawa yenyewe haijavutwa jama jama kwanini wanatidanganya hawa watu.
 
Kwahiyo achanjwe au asichanjwe inakusaidia nini kwenye maisha yako? Kumbuka maisha yanamuhusu mtu mwenyewe.

Katika kupigania maisha watu walikunywa kikombe Cha Babu wa Loliondo wengine walikufa mara tu baada ya kunywa wengine walikufa siku chache baada ya kunywa na wengine walipona HILI nalo lilipata uhali kutoka wapi?

Watu wengi walipiga nyungu matokeo ni Yale Yale Kuna kufa na kupona hukumu ya kulinda au kupigania uhai linabakia kuwa ni la mtu binafsi na Katika kupambana huko Kuna kutofautiana kifikra na ni haki kuheshimu fikra za kila mmoja muhimu MWISHO wa siku uongeze siku kadhaa za kuishi endapo Itapendeza Mungu wetu aliyetuweka hai.
 
Point
tatizo kubwaTanzania almost 95% ya watu elimu ndogo au hawako informed. Na wanajiona wana akili sana.

ukitaka umjue mtanzania acha atoke nje tu, hapo ndiyo unajua education ndogo
Tuambie wapi kuna Elimu kubwa? Nyumbu wa bongo wanadhani upinzani wa chanjo upo Tz tu!! Kwa taarifa yako huko marekani zaidi ya nusu ya raia hawataki ! habari ya chanjo ya corona,!! Mpaka ikamlazimu rais Biden kutangaza hongo ya dola 100 kwa kila atakayechanjwa!!
 
Kuna uwezekano amechanja ila kukubali kwamba amechanjwa.... Ina maana hta kma ataugua Malaria au kisukari kishuke/kipande then watu wataamini ni chanjo tu imemdhuru na sio kingine. So kukiri amechanjwa kweli ita jeopardise operation nzima.

Mbona Maalim au JPM hawakuchanjwa na walifariki ''ghafla'' ila leo hii akifariki Mbowe au Mpango utaskia "chanjo zimejibu".

WaTanzania ni watu wasio wadadisi so kuchanganua ni ngumu sana tofauti na Kenya au Uganda. Tunapenda sana umbea so whether amechanjwa or not haina maana sukari inapotea. No wonder imesikika akipewa pipi na soda hapo kwa clip.

Tuache misinformation zisizo kuwa na tija na kutishana. Unaogopa chanjo kuliko hata corona yenyewe?? Mionzi tu ya smartphone inatuua taratibu lakini unakuta jitu limeshika hyo hyo smartphone linapovuka mabeberu wanataka kutuua!!

Funny
Huyo Dr basi atakua bahiri sana,yaani Mtu anakaa na njaa hata kujinunulia pipi na soda ya buku anashindwa hadi kadondoka kisa tu kasoda ka jero!? Siku iingine atakufa kiukwelikweli,Mimi kitu Cha kwanza kabisa ni tumbo langu kwanza alafu mengine ndiyo yanafuatia!!
 
Magufuli mnahusisha kifo chake na corona na sababu ni kwamba et aliidharau corona na kupinga chanjo hivyo mnahitimisha kuwa kafa kwa corona, lakini ajabu mkuu unapinga watu kuhusisha madhara ya chanjo na hilo tukio la daktari.
Wapi nimepinga kuwa sio madhara ya chanjo? Nachosema ni kwamba wangekiri kachanjwa basi hta kma ana kifafa wangesema ni madhara ya chanjo na operation ingefia hapo.

The thing is waliokufa au kupata madhara ya chanjo ni 0.003 ya wote waliochanjwa duniani. So sio kweli kwamba chanjo ina madhara unless ziwe long term.

Kingine JPM alipinga chanjo lakini akatumia kifaa cha kusaidia kuboost moyo ssa kma hamuamini mzungu ila Mungu hiyo defibrillator alitumia ya nini?? Anyway I confirmed from credible sources kuwa kilichomuondoa ni Covid tena variant ya sauzi!!
 
Back
Top Bottom