Wanaouliza eti Benja mbona hafi kishujaa kama wengine. Kwanza: Ushahidi huu hapa alipokuwa jeshini. Pili: Mnaoita mashujaa ni magaidi na matapeli

Yoav Gallant ni commando mstaafu. Ben Ganz komandoo mstaafu hatari kabisa
 
HIyo unit ya sayeret matkal ni balaa, kwakifupi wao ndio wana. perform zile impossible tough missions.
Acha kabisa hiyo Sayeret Matkal ilikuwa na Unit 101 key member wao ndiyo alikuwa huyo jamaa Moshe Dayan walimnukuu akisema kumuhusu huyo jamaa kwamba "askari bora zaidi wa makomando wetu, askari bora zaidi kuwahi kutokea katika IDF" na Ariel Sharon alisema ni " elite of the elite".

Jamaa alipiga kazi miaka mitatu (1954-56) akapiga chini kwasababu ya majeraha akiwa katika battle.

Akajoin tena 1967 na 1973 akaleta balaa zito mno mwili wa kawaida akili nyingi na FULL BAWA juu ya pocket ya combat upande wa kushoto.

SAYERET MATKAL ni balaa ila naona kama ya kipindi hiki imepoa. Siyo ya kina hao kina Jonathan, Benjamin n.k
 
Leo kaponea chupuchupu, yuko handakini sasa nya imejaza uharo kwenye pampasi anayovaa. Kampigia Biden simu akiliakua analia kuwa wasimuache pekee kwenye vita.
Hakuna namba mpaka watoke warudi kwao ulaya.
 
Kama wewe tu unapigana vita ya maneno jf 🤣🤣 nenda kawasaidie waarabu wa palestina wanaisha.
Mimi nawasaidia kwa njia nyingi kuliko hizo silaha anazo toa US kwa Israel, hata nikiwaombea dua ni bora kuliko silaha hazimsaidi Israel zaidi ya kuzidi kudharaulika. Ingekuwa Israel vita vinamsaidia angeisha tulizana zamani we huoni vita na silaha sio solution ya kumaliza matatizo Unless uwe kichaa ndio utamini Israel ataishi kwa usalama
 
Tangu kuumbwa kwa ulimwengu....huwezi kuwa na amani kama una nguvu....
Amani mnayo nyie wajukuu wa nyerere maana ni kama makondoo mnaswagwa tu. Ona hata hapo Kenya kidogo consciousness yao ipo juu.
Hata dola za kiislamu nyingi tu zilisimika tawala zao kwa vita. ( na hilo mzayuni analijua kwamba ili mpate adabu ni awashushie kipondo kikuu ili mkikumbuka tu. Hamrudii kumchokoza)
 
Netanyahu Allah Akbar,, jamaa mwamba kweli kweli
 
Kwenye hiyo picha ya chini Huyo netanyau mbona anaonekana kama anataka kukimbia yaani kakaa kiuoga uoga hakumkimbia kweli mwenzake? Wafia dini niacheni na comment yangu.
Ukishakuwa Mamilolo hauwezi kuelewa mbinu za medani.
 
Kuna wanajeshi wa nchi fulani mtu mpaka ana staafu hata vita haijui

Ova
aliyekwambia vita ni nzuri nani ..hata uwe mwanajeshi bado unatamani uishi muda mrefu duniani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…