Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao hawafanyi hizo kaz.Hakuna kitu, Gaza wametepeta vibaya.
Tushawajua mission zao kubwa ni kugombea mademu na pombe.Kuna wanajeshi wa nchi fulani mtu mpaka ana staafu hata vita haijui
Ova
Yoav Gallant ni commando mstaafu. Ben Ganz komandoo mstaafu hatari kabisaTena sio yeye tu. Familia yao 3 brothers wote walikuwa commandos wa Matkal, hicho kikosi ni kama Seal Team kwa 6 kwa Marekani. Kaka yake alifia Entebe walipokuja kuokoa mateka wakati wa Idi Amin. Ndio maana wakiwaambia wananchi twende vitani, ni rahisi kueleweka. They know war, na wamelipa gharama.
Lile taifa ni jeshi lenye nchi, sio nchi yenye jeshi 😂😂😂
Ehud Barak former prime minister yeye naye alikuwa kikosi hicho hicho... Mission zake ni noma kuliko hata Netanyahu
Acha kabisa hiyo Sayeret Matkal ilikuwa na Unit 101 key member wao ndiyo alikuwa huyo jamaa Moshe Dayan walimnukuu akisema kumuhusu huyo jamaa kwamba "askari bora zaidi wa makomando wetu, askari bora zaidi kuwahi kutokea katika IDF" na Ariel Sharon alisema ni " elite of the elite".HIyo unit ya sayeret matkal ni balaa, kwakifupi wao ndio wana. perform zile impossible tough missions.
Leo kaponea chupuchupu, yuko handakini sasa nya imejaza uharo kwenye pampasi anayovaa. Kampigia Biden simu akiliakua analia kuwa wasimuache pekee kwenye vita.SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara na wanamgambo wa Kipalestina ambayo ilitua Israel mwaka 1972, na kupigana katika vita vya Mashariki ya Kati vya 1973.
Image caption: Netanyahu (kulia) alikuwa nahodha wa kikosi cha makomandoo cha Sayeret Matkal.
Mnamo 1976, kakake Bw Netanyahu, Jonathan, aliuawa akiongoza msako wa kuwaokoa mateka kutoka kwa ndege iliyotekwa nyara huko Entebbe, Uganda. Kifo chake kilikuwa na athari kubwa kwa familia ya Netanyahu.
Netanyahu alianzisha taasisi ya kupambana na ugaidi katika kumbukumbu ya kaka yake na mwaka 1982 akawa naibu mkuu wa ujumbe wa Israel mjini Washington"
MASHUJAA WENU:
Wanapotea kwa maana ni haki yao kupotea. Wamesababisha vifo vya watu wengi kutokana na itikadi zao za kitapeli tapeli.
😂 Wanadai anachapa sana Aikido alipewa pewa moja mbili tatu na mzee wa vodka.Ayatollaah hata hajui range wala hajawahi kupigana ngumi tu achia mbali vita..!!!
😂 Wanadai anachapa sana Aikido alipewa pewa moja mbili tatu na mzee wa vodka.
Hiyo nchi kama haina maadui haina haja ya vitaKuna wanajeshi wa nchi fulani mtu mpaka ana staafu hata vita haijui
Ova
Mimi nawasaidia kwa njia nyingi kuliko hizo silaha anazo toa US kwa Israel, hata nikiwaombea dua ni bora kuliko silaha hazimsaidi Israel zaidi ya kuzidi kudharaulika. Ingekuwa Israel vita vinamsaidia angeisha tulizana zamani we huoni vita na silaha sio solution ya kumaliza matatizo Unless uwe kichaa ndio utamini Israel ataishi kwa usalamaKama wewe tu unapigana vita ya maneno jf 🤣🤣 nenda kawasaidie waarabu wa palestina wanaisha.
Netanyahu Allah Akbar,, jamaa mwamba kweli kweliSOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara na wanamgambo wa Kipalestina ambayo ilitua Israel mwaka 1972, na kupigana katika vita vya Mashariki ya Kati vya 1973.
Image caption: Netanyahu (kulia) alikuwa nahodha wa kikosi cha makomandoo cha Sayeret Matkal.
Mnamo 1976, kakake Bw Netanyahu, Jonathan, aliuawa akiongoza msako wa kuwaokoa mateka kutoka kwa ndege iliyotekwa nyara huko Entebbe, Uganda. Kifo chake kilikuwa na athari kubwa kwa familia ya Netanyahu.
Netanyahu alianzisha taasisi ya kupambana na ugaidi katika kumbukumbu ya kaka yake na mwaka 1982 akawa naibu mkuu wa ujumbe wa Israel mjini Washington"
MASHUJAA WENU:
Wanapotea kwa maana ni haki yao kupotea. Wamesababisha vifo vya watu wengi kutokana na itikadi zao za kitapeli tapeli.
Ulishaona mwanajeshi anaenda vitani na matofali?Hivi ratio ya cement na mchanga wa Yale matofali ikoje? Yana faa kweli kujengea ?
Ukishakuwa Mamilolo hauwezi kuelewa mbinu za medani.Kwenye hiyo picha ya chini Huyo netanyau mbona anaonekana kama anataka kukimbia yaani kakaa kiuoga uoga hakumkimbia kweli mwenzake? Wafia dini niacheni na comment yangu.
Kama Marehemu wa Wiki iliyopitaKuna wanajeshi wa nchi fulani mtu mpaka ana staafu hata vita haijui
Ova
Rudi Sweden mara moja ubebe box na uchakarike wewe bwana mdogo. Hizo mali za mshua zisikufanye uwe na kiburi.Idiot
aliyekwambia vita ni nzuri nani ..hata uwe mwanajeshi bado unatamani uishi muda mrefu duniani!Kuna wanajeshi wa nchi fulani mtu mpaka ana staafu hata vita haijui
Ova