Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
SOURCE BBC: Benjamin Netanyahu, Israel's defiant leader
"Katika umri wa miaka 18, alirudi Israeli, ambapo alitumia miaka mitano mashuhuri katika jeshi, akihudumu kama nahodha katika kitengo cha makomandoo wasomi, Sayeret Matkal. Alijeruhiwa katika uvamizi wa ndege ya Ubelgiji iliyotekwa nyara na wanamgambo wa Kipalestina ambayo ilitua Israel mwaka 1972, na kupigana katika vita vya Mashariki ya Kati vya 1973.
Image caption: Netanyahu (kulia) alikuwa nahodha wa kikosi cha makomandoo cha Sayeret Matkal.
Mnamo 1976, kakake Bw Netanyahu, Jonathan, aliuawa akiongoza msako wa kuwaokoa mateka kutoka kwa ndege iliyotekwa nyara huko Entebbe, Uganda. Kifo chake kilikuwa na athari kubwa kwa familia ya Netanyahu.
Netanyahu alianzisha taasisi ya kupambana na ugaidi katika kumbukumbu ya kaka yake na mwaka 1982 akawa naibu mkuu wa ujumbe wa Israel mjini Washington"
MASHUJAA WENU:
Wanapotea kwa maana ni haki yao kupotea. Wamesababisha vifo vya watu wengi kutokana na itikadi zao za kitapeli tapeli.