Uchaguzi 2020 Wanaovaa nguo za CCM kwenye mkutano wa Kampeni kwanini baada ya mkutano huzivua kabla ya kurejea makwao?

Kitu cha ajabu zaidi ni kwamba mkutano wa CCM asilimia kubwa wanaoenda pale unakuta wamevaa nguo za CCM. Tafakari
 
Kitu cha ajabu zaidi ni kwamba mkutano wa CCM asilimia kubwa wanaoenda pale unakuta wamevaa nguo za CCM. Tafakari
Wengi wao huzivaa juu ya nguo zingine za kawaida,mkutano ukiisha wanavua na kutupa huko.au wengine wanaziweka kwenye mifuko baada ya mkutano wakadekie.
 
Mi bado nimeivaa nguo ya ccm na nimelala nimeivaa we nani ujifanye kuwasemea watu? mbuzi we!
 
Wengi wao ni wanafunzi nguo hizo hugawiwa na kutakiwa kuzirejesha baada ya mkutano, ukiangalia staili yao ya ushangiliaji utamuona kiongozi wao akiwaelekeza jinsi ya kuanza na kumaliza. Inawezekana hawa ni wale wa tarehe 27 Unguja na 28 vituo hewa.
 
Huyo aliyetaka "Sugu amsugue "Mbeya unamweka kundi gani? ama "aliyechokonolewa "na Gambo Arusha?
 
Wanaenda kwenye mikutano kwasababu wanatembezewa buku 5 tano kutokana matawini, kwenye kura sasa hahaha
Wajumbe si watu wazuri.....
 
Mleta mada ndio maana huolewi umebaki nungayembe mwongo mkubwa wewe kwa hiyo hizo nguo huwa wanavua mkutanoni na kurudi uchi au?

Wewe kuolewa sio rahisi
Mkuu mheshimu mke wangu tafadhali.
 
Hii ni sawa na madreva wa magari makubwa kila gari utaona lina bendera ya ccm unadhani ni upendo huo?? tafakari
Jana nikiwa Ubungo bus terminal pale DSM niliona tanker moja ikielekea mkoani ikiwa imejaza kofia mpya za CCM kwenye DASH BOARD yake, nikashangaa !!
 
Kimwili wako CCM kimoyo wako kwingine.
 
Fiction.
 
mbona huwa anasema hajaolewa? kulikoni?
Kwahiyo kama alishawahi kukwambia hajaolewa ndio umuattack na mameno makali hivyo mkuu? Siasa zisitufanye tuvunjiane utu, tudebate, tushauriane inatosha
 
Huku Geita nimeshuhudia Watu wakifanya Uniform za CCM kama nishati za kupikia na Maharage yakaiva
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…