Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
Kitu cha ajabu zaidi ni kwamba mkutano wa CCM asilimia kubwa wanaoenda pale unakuta wamevaa nguo za CCM. Tafakari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"When debate is lost, slander becomes the tool of the loser"Mleta mada ndio maana huolewi umebaki nungayembe mwongo mkubwa wewe kwa hiyo hizo nguo huwa wanavua mkutanoni na kurudi uchi au?
Wewe kuolewa sio rahisi
Wengi wao huzivaa juu ya nguo zingine za kawaida,mkutano ukiisha wanavua na kutupa huko.au wengine wanaziweka kwenye mifuko baada ya mkutano wakadekie.Kitu cha ajabu zaidi ni kwamba mkutano wa CCM asilimia kubwa wanaoenda pale unakuta wamevaa nguo za CCM. Tafakari
Mi bado nimeivaa nguo ya ccm na nimelala nimeivaa we nani ujifanye kuwasemea watu? mbuzi we!Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao.
Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa sawa na mchuano wa Simba na yanga panapotoa droo ambapo kila mmoja uvaa jezi kwenda nayo hata bar au maskani.
Ni kweli kwamba Hawa wanaovaa hizi nguo wanavaa kwakuzipenda au wanavalishwa? Kama wanavalishwa kwanini wanaowavalisha wasiwape masharti ya kwenda nazo nyumbani bila kuzivua?
Hata bodaboda wenye bendera au hata kofia mtaani ambao ni wana CCM wanakosekana? Afadhali vyama vingine ambavyo wapenzi wao watasema wanawindwa na dola, CCM kwanini mmekosa imani na nguo zenu?
Mtu kama anaogopa kuvaa jezi mtaani kwake unamtenganishaje na msaliti? LIPO TATIZO SEHEMU, TULIKOSEA
Wengi wao ni wanafunzi nguo hizo hugawiwa na kutakiwa kuzirejesha baada ya mkutano, ukiangalia staili yao ya ushangiliaji utamuona kiongozi wao akiwaelekeza jinsi ya kuanza na kumaliza. Inawezekana hawa ni wale wa tarehe 27 Unguja na 28 vituo hewa.Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao.
Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa sawa na mchuano wa Simba na yanga panapotoa droo ambapo kila mmoja uvaa jezi kwenda nayo hata bar au maskani.
Ni kweli kwamba Hawa wanaovaa hizi nguo wanavaa kwakuzipenda au wanavalishwa? Kama wanavalishwa kwanini wanaowavalisha wasiwape masharti ya kwenda nazo nyumbani bila kuzivua?
Hata bodaboda wenye bendera au hata kofia mtaani ambao ni wana CCM wanakosekana? Afadhali vyama vingine ambavyo wapenzi wao watasema wanawindwa na dola, CCM kwanini mmekosa imani na nguo zenu?
Mtu kama anaogopa kuvaa jezi mtaani kwake unamtenganishaje na msaliti? LIPO TATIZO SEHEMU, TULIKOSEA
Huyo aliyetaka "Sugu amsugue "Mbeya unamweka kundi gani? ama "aliyechokonolewa "na Gambo Arusha?Mimi pia nilikutana na kiongozi mmoja wa Chadema ambaye tulikuwa wote mahali nikamuuliza kwa mshangao je, na wewe uko huku? Akanijibu kuwa anaganga njaa kwenye opportunities na kwamba wapo wengi huko...akasema hawezi kumpa kura kibaraka na mpenda ushoga..tehteh
Wanaenda kwenye mikutano kwasababu wanatembezewa buku 5 tano kutokana matawini, kwenye kura sasa hahahaMikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao.
Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa sawa na mchuano wa Simba na yanga panapotoa droo ambapo kila mmoja uvaa jezi kwenda nayo hata bar au maskani.
Ni kweli kwamba Hawa wanaovaa hizi nguo wanavaa kwakuzipenda au wanavalishwa? Kama wanavalishwa kwanini wanaowavalisha wasiwape masharti ya kwenda nazo nyumbani bila kuzivua?
Hata bodaboda wenye bendera au hata kofia mtaani ambao ni wana CCM wanakosekana? Afadhali vyama vingine ambavyo wapenzi wao watasema wanawindwa na dola, CCM kwanini mmekosa imani na nguo zenu?
Mtu kama anaogopa kuvaa jezi mtaani kwake unamtenganishaje na msaliti? LIPO TATIZO SEHEMU, TULIKOSEA
Mkuu mheshimu mke wangu tafadhali.Mleta mada ndio maana huolewi umebaki nungayembe mwongo mkubwa wewe kwa hiyo hizo nguo huwa wanavua mkutanoni na kurudi uchi au?
Wewe kuolewa sio rahisi
Jana nikiwa Ubungo bus terminal pale DSM niliona tanker moja ikielekea mkoani ikiwa imejaza kofia mpya za CCM kwenye DASH BOARD yake, nikashangaa !!Hii ni sawa na madreva wa magari makubwa kila gari utaona lina bendera ya ccm unadhani ni upendo huo?? tafakari
Kimwili wako CCM kimoyo wako kwingine.Mikutano mingi ya Chama cha Mapinduzi inapomalizika eneo la tukio watu wenye uniform za chama upotea au kuzibadilisha na hivyo kutoonekana wakiwa wamezivaa kurejea makwao.
Miaka ya nyuma mtaani watu walikua wanaona fahari kuzivaa kuanzia bodaboda, mama ntilie, wajumbe na watu wengine. Ilikuwa sawa na mchuano wa Simba na yanga panapotoa droo ambapo kila mmoja uvaa jezi kwenda nayo hata bar au maskani.
Ni kweli kwamba Hawa wanaovaa hizi nguo wanavaa kwakuzipenda au wanavalishwa? Kama wanavalishwa kwanini wanaowavalisha wasiwape masharti ya kwenda nazo nyumbani bila kuzivua?
Hata bodaboda wenye bendera au hata kofia mtaani ambao ni wana CCM wanakosekana? Afadhali vyama vingine ambavyo wapenzi wao watasema wanawindwa na dola, CCM kwanini mmekosa imani na nguo zenu?
Mtu kama anaogopa kuvaa jezi mtaani kwake unamtenganishaje na msaliti? LIPO TATIZO SEHEMU, TULIKOSEA
Jana Arusha Staff buses za A-Z zilikuwa busy kukusanya wafanyakazi baada ya kuitwa majina kupeleka uwanjani. Siasa zimefikia hatua ya kuitwa jina na ole wako usiwepo!!Ha ha ha ha haaaaaaaaaaa
Ni kweli leo kuna Magari nimekutana nayo ya kampuni ya SIMERA yote yana bendera za CCM
Chamlevi huliwa na mgema. Hawahitaji mawakala. Tume italinda kura zao.Mwaka huu ccm wamekosa mpaka mawakala baadhi ya maeneo ndio ujue sasa kwamba hawana Chao
Fiction.Mimi pia nilikutana na kiongozi mmoja wa Chadema ambaye tulikuwa wote mahali nikamuuliza kwa mshangao je, na wewe uko huku? Akanijibu kuwa anaganga njaa kwenye opportunities na kwamba wapo wengi huko...akasema hawezi kumpa kura kibaraka na mpenda ushoga..tehteh
Kwahiyo kama alishawahi kukwambia hajaolewa ndio umuattack na mameno makali hivyo mkuu? Siasa zisitufanye tuvunjiane utu, tudebate, tushauriane inatoshambona huwa anasema hajaolewa? kulikoni?
Lete ushahidi!
Kama wanapata watu wa kuwalipa kwaajili ya kuvaa sare itakuwa kupata wakala?! Nonsense!Mwaka huu ccm wamekosa mpaka mawakala baadhi ya maeneo ndio ujue sasa kwamba hawana Chao