Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

ukiwa na familia ndio usifuate sheria? mambo ya kujiita Mnyonge mbele ya watawala ni ujuha wa kiwango cha kuzimu. Waende maeneo yaliyotengwa wakafanye huko biashara hauwezi kuchoma mihogo pale posta tena kwa kuni afu uachwe kisa una familia NO
 
Uko sahihi brother.tatizo hawaweki mikazokatika Sheria husika.mfano asaivi zoezi linalo endelea ni kuondoa vibanda,na wafanya biashara katika sehemu zisizo rasmi.rakini BAADA ya miezi 6 watu wanarudi tena.kwa Nini tusione wanaonewa?Kama Seria inasema ondoka kwa nini ibadikike na iwe Rudi?tatizo "Sheria isiyo na mikazo ni sawa na kufikiri bira bira kutenda".
 
'Ulaghai' tu wa wanasiasa no more.
 
Pumbavu kafieni mbele.
 
Kwa mfumo huu mbovu na wa kipumbavu wa baadhi ya watawala na viongozi wasiojali utawala bora, nipo UPANDE wa Machinga.

Serikali haina sera nzuri kwenye uwekezaji wa watu na biashara hapo unategemea kusiwe na ongezeko kubwa la wachuuzi.?

Tuangalie tatizo limeanzia wapi ndio tutafute solution siyo kukurupuka kwa sababu za cheap polifix na kujipendekeza.
 
Lakini Ndugu Mshana Jr, one of the main elements in development work for the poor groups is to give them self-confidence and freedom to decide themselves.

Kwa hofu wanayopewa Hawa watu na Mamlaka, kovu la Manyanyaso haya ya Moyo litakuwepo kwa Muda mrefu kweli kweli

They are not Rich ni Maskini Hawa watu

Kifupi wengi wao Umachinga ni Alternative Bora zaidi baada ya mambo Mengi kuwadundia nchini Mwao

Sasa kwa sababu ipi wasingesubiri Tanzania iliyopiga hatua kwenye kuzalisha AJIRA, PRICE stability pamoja na Country Economic GROWTH hapo kwanza Machinga wenyewe wangepungua katikati ya Miji.

Huu sio wakati sahihi Ndio maana tunasema SI SAWA
 
Hao wako kwenye kundi la wafanyabiashara ndogo ndogo.. Je sera inasemaje kuwahusu?

sijafaham,ila serikali ambayo ina vision haikupaswa kuvunjia watu bali iwawezeshe.
watu hamna uwezo wa kuwapa ajira,halafu hata hizo duni wanazojitafutia mnawakwamisha.

hivi mkuu umejaribu kuchora mchoro wa madhara waliyosababishiwa!!!hapa masaki mwisho kuna wakina mama kadhaa wameshapoteza tumaini la kesho yao,eti kisa wanachafua taswira ya jiji!!!yaani jiji kama jiji lina vichwa vya mbuzi humo ofisini hata kuomba mkopo lichonge vibanda hamishika livikodishe kwao kwa kodi nafuu!!!

tunakubali kuna sheria ndio,ila yatupasa kujua sheria nyingi zimechakaa haziendani na maisha ya sasa.kipindi sheria zinatungwa hakukuwa hata na huduma za kifedha kwa simu.

kumwacha bata azurule hovyo uwanjani kisha akanya,unaonekana wewe mfugaji ndio hauko makini,badala ya kushinda unamfukuza,mchingee banda huru.
 
Tena sio tu wanauelewa mdogo,ni wanaupeo mdogo na ni washamba sababu hawatembei hata miji mikubwa ya nchi nyingine kuona kama kuna huo ujinga wa kuacha machinga watawale kila kona. Eti Dar inazidiwa hadi na Kigali?

kigali sio ya kuifananisha na dsm,kwa jambo lolote.

hata kama umechoka kufikiri.
 
Tumia basi akili kiduchu ueleweke?
 
Nimetolea mfano wa nyumba tunazoishi je tunaweza kushindwa kupanga vitu vyetu ndani ya nyumba kwa kigezo cha umaskini? Je tuko tayari machinga wapange bidhaa zao mpaka milangoni kwa kigezo kuwa wanatafuta? Wazibe barabara? Wajae maeneo ya wazi?
 
Pole kwa kuvunjiwa usijali nenda kule Machinga complex tutakufuata tuu hakuna namna na mahitaji tunataka
 
Hapa tunajadili makundi mawili
1. Machinga wanaotandaza bidhaa sehemu zisizostahili mfano maeneo ya waenda kwa miguu na maegesho ya magari pamoja na sehemu za vituo vya mabasi na kupumzika
2. Wafanyabiashara ndogo ndogo waliojenga vibanda maeneo yasiyo rasmi kwa biashara
Haya yote ni matokeo ya siasa za kipuuzi.. Ni kidonda tumekilea wenyewe.. Sasa ni lazima tuwe na pa kuazia kabla hakijageuka kuwa dondandugu au saratani
Tungeweza kusema tusubiri mpaka kuwe na mpango kamili? Upi? Je wakati tunasubiri tungewa control vp wasiongezeke?

Umachinga upo popote duniani na wafanyabiashara ndogondogo wako pia lakini huko wametengenezewa utaratibu mzuri na maisha yanasonga.. Tunapaswa nasi kuanza sasa japo kuna gharama na hasara zake nyingi tuu
 
Yeah hapo ni sahihi kabisa.. Lakini kwa muktanda wa kinachoendelea sasa wote wamejumuishwa kwenye jina moja la MATCHING ON .. MACHINGA
 

kwamba walikuwa kero kiasi hicho kinachpigiwa kelele au ndio siasa za kipuuzi katika mwendelezo huo!!!
 
[emoji7][emoji7][emoji7]
 
Pole kwa kuvunjiwa usijali nenda kule Machinga complex tutakufuata tuu hakuna namna na mahitaji tunataka

sijavunjiwa kibanda mimi.

kumbe wewe unashabikia sababu hu miongoni mwa wavunjiwaji!!!!
 
Sababu ni nini? Nao wangeruhusu machinga kiholela ungewataja hapa leo? Kigali imejengeka kuliko Dar?

tunataka tuone jiji safi bila machinga,subiri visingizio sasa ndio utajua wa moja hakai mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…