Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

Sio tuu uelewa wao ni mdogo lakini pia ni wajinga au wanataka kuwatumia kisiasa.
 
kwamba walikuwa kero kiasi hicho kinachpigiwa kelele au ndio siasa za kipuuzi katika mwendelezo huo!!!
Kwa kero walikuwa kero na wameendelea kuwa kero kuhusu mwendelezo wa siasa za kipuuzi kama nia ni njema na kuna permanent solution.. Na hakuna cheap popularity gainings basi ni jambo jema!
 
Umeandika kitaalam sana
 
Nimetolea mfano wa nyumba tunazoishi je tunaweza kushindwa kupanga vitu vyetu ndani ya nyumba kwa kigezo cha umaskini? Je tuko tayari machinga wapange bidhaa zao mpaka milangoni kwa kigezo kuwa wanatafuta? Wazibe barabara? Wajae maeneo ya wazi?
Kuhusu kupanga bidhaa hilo ni Utashi binafsi, ndio maana kuna nyumba ya Tajiri isiyo na mpangilio mzuri vilevile. Kwa hiyo hatuna mipangilio mizuri au mibaya kwa sababu ya Utajiri au Umaskini

Kuna Machinga wanajua kutumia Space zao vizuri na njia wanaacha utawapenda yaani;

Machinga huwa na mpangilio usiovutia pale palipo na Hot Bussiness yaani Wateja wa kutosha mbele, nyuma na Pembeni huku ndio kungewekewa marekebisho kiasi

Hivi sio kweli kuwa lengo la Hawa watu kuhamishwa ni kwa sababu inabidi wakae mahali Biashara zao ziwe updated kwenye mifumo ya Kodi?

Au ndo kusafisha Jiji ili livutie? Tuweni na Utu, watu wana familia, watoto wapo shule wanasoma na mahitaji Mengine Mengi

Tujiandae kwa Wizi wa kutumia Magari na Ulinzi kudumaa kwenye Majiji na miji iliyo wazi.

Ni kwa sababu watu wamekuwa na umakini mkubwa sana wa kuendesha wawapo Town na watu wakiwa wengi Mahali, ndio Ulinzi wenyewe wa Nchi yetu.
 
Wewe ndio mnafiki nunber moja

Pathetic
 
Fata utaratibu..ona sasa unatoa povu tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Utawala huu Wasipoliewewa hili, basi chaos is innevitable.
 
Kwa kero walikuwa kero na wameendelea kuwa kero kuhusu mwendelezo wa siasa za kipuuzi kama nia ni njema na kuna permanent solution.. Na hakuna cheap popularity gainings basi ni jambo jema!

najua ni kwanini jambo hili limepata kuungwa mkono na wasafi wa jf.
 
Mji unapumua sasa.. Ulikuwa umelemewa

Sio umeelemewa tu bro
Mji ulikuwa na harufu ya kinyesi na mikojo ya watu wanaoshinda hapo bila kuwa na sehemu ya kujisaidia zaidi ya mifuko na chupa za maji tupu

Unashangaa harufu kila sehemu na uchafu ndio usiseme halafu wanaolipia usafi ni wengine

Acha wapambane na hali yao

Nakazia Jiji limepumua
 
hakuna kitu huwa nakitamani kama siku za kawaida niende kariakoo na gari na niingie mtaa wowote hasa ile ya congo mpaka msimbazi ila ndo hivo huwa haiwezekani
Haya ni matamanio yetu wengi Lee
 
Reactions: Lee
'Waachwe wafanye watakavyo ili wapate riziki', hilo si sawa. Kama ni sawa basi hatuna sababu ya kuwepo mahakama, hakuna sababu kuwepo na sheria. Unataka tuishi kama wanyama, survival of the fittest. Sheria zetu nyingi ni mbovu na ndio kinasikika kilio cha kutaka katiba. Wanasiasa wanazitumia vibaya hata sheria chache nzuri zilizopo kwa manufaa yao, kama kuvuruga sheria ya mipango miji. Tufike mahala tukatae kuishi ujima.
 
Uchafu wa mazingira ulikuwa wa kiwango cha juu mno chupa za mikojo na mifuko yenye vinyesi ilitupwa popote panapoonekana panafaa kutupwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…