MADAXWEYNE
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,562
- 3,380
Ni kweli wana familia waachwe wafanye biashara kila mahali, pia wauza bangi,mirungi,unga na gongo waachwe wafanye biashara maana wana familia zinazo wategemeaWell Said;
Itapendeza *TARURA/TANROAD wanapojenga Barabara, wasiweke service road , wala peavings , WAWEKE MABANDA PEMBEZONI mwa Barabara zote nchini yakae tu hata kama hakuna wahitaji maana wanyonge wanatakiwa wafanye Biashara Humo...
Kumbe humu kuna vichaa, yaan mauzo yanatokana na mtaji? We chizi eeh. Kama hujui kitu nyonyesha watoto wako na sio unakuja hapa kuongea vitu hata hujui.Huku ndio kabisa utaonekana andunje kichwani.
Unajua ili uwe na mauzo ya 4mln unatakiwa uwe na mtaji kiasi gani!!!
Huyo sahizi sipati picha hata kama usingizi anapata tena π alizoea kula kwa ubuakuna mtu namjua ana vibanda vitano ameviweka pemben ya barabara anasubiria kod tu kila mwisho wa mwezi.Ss na huyu ni mmachinga?Mmachinga (matching guys) ni yule anayeshika bidhaa zake mkononi tu,wengine hawa ni wafanyabiashara wenye mitaji ya kuweza kulipa frem za bei ndogo na maisha yakasonga.
hii ya kujiita mnyonge, utakua mnyonge kizazi na vizaziWell Said;
Itapendeza *TARURA/TANROAD wanapojenga Barabara, wasiweke service road , wala peavings , WAWEKE MABANDA PEMBEZONI mwa Barabara zote nchini yakae tu hata kama hakuna wahitaji maana wanyonge wanatakiwa wafanye Biashara Humo!...
Hahahahhaha huyu jamaa ana balaa sanaMkuu sisi ni wanyonge..View attachment 1981051
Hahahaha sio rahisihakuna kitu huwa nakitamani kama siku za kawaida niende kariakoo na gari na niingie mtaa wowote hasa ile ya congo mpaka msimbazi ila ndo hivo huwa haiwezekani
Kwani waliwaambia kuwa mkipewa vitambulisho vya machinga basi muende kujenga mabanda barabaraniPoleni na sekeseke na kuondolewa vibanda vyenu machinga sehemu zilizopo mijini...
sio kosa la machinga,kosa ni letu kutotambu mipango.
hapa ilikuwa simple tu,wapewe mipaka na sandard za vibanda,ili maisha yaendelee tu.
leo hii tunajifanya kuchukia mabati na bishara kila sehem wakati dsm yote ni uchafu uchafu tu kutokea angani!!!unafiki hautatufikisha popote.
Kumbe humu kuna vichaa, yaan mauzo yanatokana na mtaji? We chizi eeh. Kama hujui kitu nyonyesha watoto wako na sio unakuja hapa kuongea vitu hata hujui.
Uko kariakoo?.!
Kupika barabarani sio tatizo...u lost me,
Nafikiri kafanye kazi idara ya mipango miji ili uwafundishe kazi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni kichaa na hujui nini maana ya mauzo. Kwahiyo ukiwa na mtaji wa laki 2 mwaka mzima utakuwa umefanya mauzo ya laki 2 pekee?? Wewe hupaswi kuwa hapa JF ni mjinga na ni mpumbavuwee mpumbavu nini!!!
utauza milioni nne kwa mtaji wa laki 2 au unafanya biashara ya bangi!!!
halafu kuna mbuguma wenzako wamekupa likes,kuonyesha ni jinsi gani taifa liko kwenye hatua mbaya.
πππππMachinga wote wajiorodheshe kwenye magereza yaliyo karibu
Haiwezekani mtu unakuwa machinga kwa miaka 20