Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Niliposema heading ni kama vile unaamisha wanaotetea mpango wa kuondoa chinga guys wana uelewa mdogo.Kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliposema heading ni kama vile unaamisha wanaotetea mpango wa kuondoa chinga guys wana uelewa mdogo.Kwanini?
Hawalipi kodi, wanatumika na watu wenye maduka makubwa kukwepa kodi, wanaweka biashara zao mbele ya maduka makubwa ambayo yanalipa kodiMachinga mbali na kuchafua jiji ni hasara ipi ya msingi waliyoifanya!!!!
Umeongea kwa uchungu sana
Issue huo ndio utaratibu wa mipango miji?.
Ni mama ntilie?.
Option iliyopo ni wanaweza kujiunga/jichangisha wakapangisha fremu rasmi...huo ndio utaratibu
Hawalipi kodi ingawa sheria inatamka wazi mtu mwenye mauzo kuanzia mil 4 kwa mwaka anapaswa kulipa kodi.
Unashaurije ss?frem rasm[emoji23][emoji23]
mnaishu maisha ya kuchora sana kuanzia viongozi waliokwenda shuleni kuhudhuria shule mpaka vijana waliwasili shuleni tunaowategemea pia.
siku zote tunailaumu serikali inapofikiri kama mtu aliyechoka sana,kumne tatizo ni asili yake ya utanzania.
unakaa chini unapima faida na hasara za machinga unagundua ni nyingi kuliko hasara wanazoleta,tena hasara zao zinarekebishika.
serikali ina masoko yake maalum ambayo ni machache yana kodi kubwa mno.ni muda wa kufikiri kwa kutumia akili zote kutatua matatizo ya wananchi na sio kupuyanga tu.
Na wangapi wanazidi?.machinga wangapi mtaji unafika hata 1 mln achana na hiyo 4!!!
serikali inacheza na maisha ya watu,tena kimzaha mzaha sana.
Kwanini uwe mnyonge?Kabisa Mkuu ila nyie matajiri mnaishi Masaki na Oysterbay hamjui adha ya sisi wamachinga. Tuacheni tufanye kwenye Maeneo yasiyo rasmi maana sisi ni wanyonge
Na wangapi wanazidi?.
I was shocked
Kuna mtu alicomment Kkoo meza ya machinga ni mil 4!!
Unashaurije ss?
Ungependa waendelee kupikia barabarani nk?
Una akili kichwani wewe? Sheria inasema MAUZO na sio MTAJI.machinga wangapi mtaji unafika hata 1 mln achana na hiyo 4!!!
serikali inacheza na maisha ya watu,tena kimzaha mzaha sana.
Una akili kichwani wewe? Sheria inasema MAUZO na sio MTAJI.
Kupika barabarani sio tatizo...u lost me,kupika barabarani sio tatizo,tatizo ni kutochukua hii kama changamoto na kuibadirisha.
Uko kariakoo?.!hakuna kitu kama hicho.
Sura yako ya kwanza nakubaliana nayo.Well Said;
Itapendeza *TARURA/TANROAD wanapojenga Barabara, wasiweke service road , wala peavings , WAWEKE MABANDA PEMBEZONI mwa Barabara zote nchini yakae tu hata kama hakuna wahitaji maana wanyonge wanatakiwa wafanye Biashara Humo!
Hawa watu wana familia, WAACHWE WAFANYE LOLOTE so long as wanapata kipato cha kulisha familia
Pia; Serikali iwache wanyonge wote waliochukua MAENEO YA HIFADHI ZA TAIFA, ni ajabu eti Mtu unaishi Morogoro huna ardhi wakati kuna mbuga ya Mikumi imekaa tu.
Kila mtu aachwe atafute maisha yake, hawa matajiri wao wanaishi, Njiro, Shanty-town, Masaki, Kisota na Uzunguni, Gangilonga hawajui adha ya sisi wanyonge!
Kiukweli Dar inanuka na huwezi kulijua hili mpaka ukae nje muda mrefu na siku urudi bongo! Siku ukitua pale airport ndio utajua
Ingekuwa hivo basi wafanyabiashara wakubwa wangewatetea machinga .Hawalipi kodi, wanatumika na watu wenye maduka makubwa kukwepa kodi, wanaweka biashara zao mbele ya maduka makubwa ambayo yanalipa kodi
Siyo Ulaya tu, hata TZ hayo mambo yapo, Dodoma kuna mitaa ilikuwa ikifika saa 12 jioni inafungwa kuwapisha hao watu unaosema (Sijui kama linaendelea hili hadi sasa), wanamwaga vitu vyao chini watu wananunua, ukija kesho yake kweupee!! Uchafu unaosemwa hapa ni kujenga vibanda barabarani, mitaroni, njia za waenda kwa miguu n.k. na kuzigeuza hizo sehemu kama permanent places kwa biashara!!Ingekuwa hivo basi wafanyabiashara wakubwa wangewatetea machinga .
Mimi nimeishi kidogo Ulaya. Mahalii Kama Uholanzi Siku za jumamosi na jumapili jioni mitaa imechaguliwa katikati ya mjini inafungwa kabisa hakuna gari kupita.ni siku ya machinga tuu.
Sisi huku visingizio vingi,eti mji unanuka.kwani Jiji hawakamati wachafuaji?Tena si Jiji lingeneemeka.
Adui wa maendeleo yetu ni sisi wenyewe.
Umeanza kunena kwa lugha za kinywa mchungaji? Sijaelewa hapo🤣🤣🤣🤣U un do kila kona