Wanaowatetea machinga kuondolewa maeneo yasiyo rasmi kwa biashara wana uelewa mdogo

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni kichaa na hujui nini maana ya mauzo. Kwahiyo ukiwa na mtaji wa laki 2 mwaka mzima utakuwa umefanya mauzo ya laki 2 pekee?? Wewe hupaswi kuwa hapa JF ni mjinga na ni mpumbavu

sasa unachobisha kitu gani mbona hueleweki!!!umekalia kutukana tu kama defence ya kukosa hoja.

mtaji wa laki mbili mauzo 4mln!!!!unaijua milioni nne wewe au unadhani kila mtu anauza sambusa kama wewe??!
hizi akili ndio zimemshauri mama afukuze machinga,dah!!!!
 
Wamachinga waondolewe na kusiwe na huruma wala mjadala katika hili.

Tena itungwe sheria ya kuwafungia kutoshiriki siasa kwa miaka mitano wanasiasa wote watakaoleta siasa katika suala hili muhimu sana la mipango miji.

Barabara ni kwa ajili ya kupita. Sio kwa ajili ya biashara. Ukitaka biashara kando ya barabara kaa kwenye fremu ambayo imejengwa kwenye eneo linalogusana na mpaka wa barabara.

Magufuli hakuwa na jibu kuhusu waMachinga, akaishia kutafuta njia ya mkato ya kufunika kombe mwanaharamu apite. Lakini njia yake ya mkato imesababisha uharibifu mkubwa sana wa ustaarabu na unadhifu wa miji.

Wamachinga ni wale wanaotembeza bidhaa, sio wanaoweka kambi. Barabarani ni sehemu ya kupita, sio kukaa.
 
Ka marehemu kalikuwa kajinga jinga hivi!
 
Sikia we kilaza.... Ukisikia Mauzo ya Mil kwa mwaka ni wastani wa mauzo 12000 kwa siku. Unaposikia mauzo ni kwamba usitoe gharama zako za manunuzi. Hivyo kinachoangaliwa hapo ni yale mauzo ya kila siku afu zidisha kwa 365 ndio utajua hayo mauzo ya mil 4, yanavyopatikana. Kama hujui kitu ni vizuri sana kuuliza.
 
Wahuni,vibaka wakike na kiume walikua wamejificha kwenye vichaka vya Umachinga (Makumbusho, Ubungo, Mwenge, Morocco,kawe, Buguruni,Mbagala, Ferry, Posta) nashukuru serikali kuona hii na sasa wameamua kusafisha jiji!!
 

hata nikuite mbuzi,ni kumkosea mbuzi adabu.

nyinyi samaki ndio mmejaa ofisi za uma mnafanya wastani ktk biashara??

mauzo ya 12000 faida ni shingapi!!!au wewe kazi yako ni kukariri na kupeleka hesabu manispaa kwamba mayor mauzo ni elfu 12000.
 
Wahuni,vibaka wakike na kiume walikua wamejificha kwenye vichaka vya Umachinga (Makumbusho, Ubungo, Mwenge, Morocco,kawe, Buguruni,Mbagala, Ferry, Posta) nashukuru serikali kuona hii na sasa wameamua kusafisha jiji!!

hamna tatizo,tutakwenda kuona wahuni halisina vibaka waliokosa kazi.

mimi mtazamo wangu ni kuvunja mpaka nyimba chafu chafu mjini hapa.
 

Kabisa naipongeza serikali kwa kuwapanga sehemu husika wamachinga ,walikuwa kero ,walikuwa wanachafua majiji,ikifika tar 1 Nov serikali inabidi ihamasishe wananchi wafanye usafi kwenye mitaro! Wamachinga baada ya kuondoa mabanda juu ya mitaro ndipo mauchafu yanaonekana waliyoyaacha.
 
sasa kumbe alerge ilikuwa mabanda machafu sio uwepo wa machinga.

hivi watanzania mnajua madhara ya hiki kilichotendeka!!!au ndio ushabiki tu??
Wewe ulikua unaficha nini huko?!!..Ni mtu wa ajabu ambae hakujua uchafu na hatari iliyokuwepo kwenye barabara zet!!..
 
Kwa kweli hata mimi suala la hawa wafanyabiashara ndogo ndogo wenye mabanda (sio machinga) walikuwa waninibore sana. Mwezi February 2021 nilikuja Mwanza kwa kweli hali ya mitaa ya jiji la Mwanza ilikuwa na Taswira mbaya sana tofauti na Mwanza niliyokuwa naijua kabla ya hawa watu wajasirilia mali kupewa ruhusu ya hovyo kujenga mabanda katikati ya jiji. Miji mikubwa yote ya TZ iligeuka kuwa Mabanda Cities.
 

I felt this!!!

Life! Tuseme tu Alhamdulilah, Atukuzwe Muumba wa Ardhi na Mbingu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…