Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Paris paris paris paris !!!!
How many times did I call you!
Your beauty mesmerize me..
I will always choose paris over Dubai
 
Swala liko kwenye maandalizi,wackimbiaji wetu wameenda Paris lini?na wakenya wameenda lini?kuwahi kuwa eneo la tukio nako kunachangaia kumfanya mkimbiaji azoee mazingira...
Punguza siasa mkuu.
 
Mashindano gani bongo tunaweza kuchukua medali🤣
Kwa Olympic hakuna Hawa wote ni program ukiangalia utaona wameanzia chini kabisa na si huku chini kabisa ni shule asubuhi hadi 12 jioni na shule hakuna kucheza ni kukaliri table na kusoma physics
 
Amejitahidi sana, hata mtangazaji kamzingumzia vizuri
 
Paris paris paris paris !!!!
How many times did I call you!
Your beauty mesmerize me..
I will always choose paris over Dubai
I am going there before this year ends.

Someone told me Dubai is overrated, nothing of value to see there.

Kwa Hii Olimpiki wafaransa wanafanya makusudi kutuonyesja mji wao ulivyokaa vizuri. Nitaenda mwaka huu.
 
Geaye yupo na kipchoge mwishoni
 
Sasa ni muda wa watanzania kusahau yote. Na baada ya miaka minne kustuka tena tuna wawakilishi 5 tu[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Reactions: Lax
Maandalizi...budget ya michezo inaendaga wapi? Lile fungu la Korea wangepushiwa Hawa tungepata medal...simbu maandaliz yake ni hafifu..wenzie waliwahi Paris wanafanya mazoezi na makocha wa ukweli
 
"[emoji1241] kichwa cha mwendawazimu" kwa sauti ya mzee Ruksa,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simbu pekee ndio alikuwa fit kimwili ila Geay alikuwa na injury ndio maana hajamaliza kabisa....chama Cha riadha kitijitathimini kupeleka mtu mgonjwa na wakijua kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…