Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Wanariadha wa Tanzania wapo mzigoni leo Olympique

Endelea kutoa updates..wengine umeme ushakatwa...
 
Tukishinda majirani zetu wakenya si wataumia sana lakini? .... na mimi sitaki jirani aumie

No! Lakini tukishisha watasema simbu ni wao ..ok good kenyas
 
Huyu muethiopia TOLA amefungulia turbo, kawaacha wenzake
 
Huyu muethiopia TOLA amefungulia turbo, kawaacha wenzake
Mwamba kwelikweli
Screenshot_20240810-103303.png
 
Simbu wa 9 sasa wanaonyesha kwa screen ila wote wako pamoja wanaitwa lead group.

I am positive our boy Wil not let us down

Tuletee tuzo yoyote mzee wangu
 
Back
Top Bottom