Wanasaikolojia najua elimu yenu ni kubwa sana ila punguzeni kusema Hallucinations ni mawenge kwa kiswahili

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Bakita ndugu zangu jamiiforum ni jukwaa huru, so natoa maoni yangu. So kama itawezekana naomba myajibu kitaalamu kwa kutoa kufanya research ya neno sahihi mbadala wa Hallucinations kwa kiswahili Ingawa swali sijauliza kwa kitaalamu.

Unaposema Hallucinations ni mawenge huwezi amini watu wengi sana wanaacha hizo dawa Haloperidol, Amypitriline na hizo benzexoll (samahani kama majina ya dawa nimeandika vibaya)

Watu huku mtaani wanajua Hallucinations ni uchawi so wanainvest sana kwenye waganga wa jadi kuliko madawa ya kitaalamu.

Nafungua mjadala.

NB; Jamiiforum please msinione kwamba mimi ni mjuaji sana najua kila kitu, Hapana. Licha ya kaelimu kangu kadogo ila nimekuwa mdadisi sana. Kwahyo kila usiku kabla ya kulala siangalii Porno. Nadownload paper yoyote out of my career nasoma mpaka napata usingizi.

Mtabarikiwa na Mungu kwa majibu yenu mazuri watanzania wenzetu waelewe.
 
Swali lako ni lipi?

Kuangalia porno au Hallucinations kwa kiswahili? Au ni waganga wa jadi?
 
Nitakujibu kwa kiswangish Hallucinations kwa maana halisi ya kiswahili na definition ya mawenge inavyosumbua watu mtaani. Kama na wewe ni mwana saikolojia tafuteni neno zuri ambalo ni relief kwa mteja wako. Hilo neno mawenge lina mpact kubwa sana na mtu anajihisi hawezi kupona ndio maana wengi wanaenda kwa waganga na kusema wamelogwa kumbe mnaweza kuwa na phrase nzuri tu. Hii mada majua ni ngumu sana ila taratibu tutapata watu wenye akili timamu na kujibu vizuri tu
 
Ok, basi tutakuwa tunatumia MALUWELUWE. Hapo vipi?
 
Lakini kwa kiswahili chepesi ni mawenge, kuona/kuhisi kitu ambacho hakipo kwa wakati huo.
 
Ok, basi tutakuwa tunatumia MALUWELUWE. Hapo vipi?
Roho yangu pia inakataa, sijajua kama nakukosea tafuteni jina zuri. Symptoms za Hallucinations zilizo siriaz kabisa zimenipata mimi yaani nilikuwa kama nimewekewa headphone kwenye sikio la kushoto kwamba fanya hivi fanya hivi kumbe ndio napotea ilikuwa hatari sana Brother unaambiwa smartness yangu ndio iliniokoa kumbe kuna watu walikuwa wananifuatilia sana tokea natoka ofisini (Ubarikiwe sana Lucie) yaani nipo kwenye maji machafu kwenye dimbwi sauti zinaniambia kunywa ili ukae sawa. Wnatokea vijana tena bodaboda wanachukua smartphone yangu wanapigia ndugu zangu napelekwa amana napigwa sindano kali za usingizi ndio akili inakaa sawa. Ila kubababake nimegoogle nimesoma hizo nikajua kila kitu, sasa mimi ni msomi nina kasimu kangu naweza kuweka bando na kujua. Assume sasa Abdala juma ambaye anapata symptoms kama hizo na yupo pale Tandale kwa bibi nyau
 
Back
Top Bottom