Naona wewe ni jamaa wa madrasa uliyeiva.Trust me all religion are dead religion except Islam,,,ukitaka kuamini dini yako is a dead religion see how MNA update vifungu Kula uchao ili kupendana na wakati,,lkn quran NI Ile Ile na haijawahi kupitwa na wakati,,,
Only those with a relationship with true word of God,,those who ask for forgiveness for their sin,,,those who believe in one message of the prophets and follow their ways,,those who believe in ONE true God not three god's not four,,wale ambao Imani na matendo Yao vinaenda sambamba,,hao ndo ambao are on the right path to salvation,,,.
Muhammad is a prophet like many prophet waliomtangulia kifo NI Jambo la lazima but they may be no more in this world but they live forever in the spiritual world,,unlike yesu whom you claim to be God then he died,,the highest blasphemy you people made up,,how can God die,,who ruled the world for three days alizokUa ktk ulimwengu WA wafu?? Muhammad he maybe No more in this world but the message he spread will live forever,,,
And you say yesu has more followers than Muhammad are you sure?? Cause it seems like There are more followers of Paul than those of yesu,,you guys don't follow Jesus teaching more than Muslim do,,,Muslim are the true followers of Jesus than you guys can be'' tell me the things Jesu's teaches and you guys do exactly as he taught you,,,mmebakia kumtaja Tu Kwa mdomo lkn hamko nae kiimani wala vitendo,,,ndo nyie aliyewasema siku itafika mtamuita bwana bwana tulitoa pepokwa jina lako na kufanya miujiza Kwa jina lako lakini atawakana kwamba "siwajui watu nyie""
Regarding kua the best selling book every year it's becoz every year you guys have another vision of the Bible it is necessary for you to keep up with the vision otherwise utajikuta mchungaji anasoma kifungu na kwenye bibilia yako hakipo so inawabidi kujiupdaye every now and then...
Yesu ndiye aliyeumba vitu vyote unavyoviona na usivyoviona. Alimuumba hata allah mwenyewe sema alikuja kuasi na akatupwa duniani.SWALI LA MSINGI KWAKO, NI KIPI KIKO SO SPECIAL KWA YESU KUMUITA MUNGU/MWANA WA MUNGU UKILINGANISHA NA ADAM na EVA??
Nitajie jina la wanasayansi kama wa5 wamekubaliSahihi, maelezo ya kwenye Quran jinsi mimba inavyptungwa wanasayansi wote wamekubaliana nayo.
Kama umeelewa tofauti ila ni hivi, Tone la manii likikutana na yai la mama inageuka kuwa damu, damu inabadilika kuwa nyama, nyama inavikwa mifupa. Kila process hapo nhuchukua siku 40.
Hapa hamna kipya ulichosema sperm zinatoka kwenye testes. Hizo ndio zinarutubisha yai la mwanamke.Utaelewa tu kuwa Quran Haina shida ila vichwa vyenu na umbumbu wenu ndio unawasumbua
Katika Testes inatengenezwa sperm cell sio sperm final product ya sperm ambayo inauwezo wa kutungushisha mimba inatoka hapo katika green color Seminal vesicle
It means ukiidaka sperm inayotoka Katika katika Testes kabla haijafika katika Seminal vesicle hiyo sperm inakuwa Bado haijakamila haiwezi kutungisha mimba
We dogo Hauna uwezo wa kuichaleng Quran wameshindwa watu walio kuwa watu itakuwa weweView attachment 2374792
Yesu huyu huyu aliyekiwa anacheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Galilaya Leo hii ndio amekuwa Mungu muumba vyoteUmeelewa vizuri kabisa, Yesu Kristo ndiye Mungu aliyeumba vyote unavyoviona na usivyoviona. Amemuumba hata huyo allah mnayemuabudu japo aliasi mbinguni akatupwa.
Hakuna tatizo, endelea kukariri aya hapo madrasa.Quran ipo sahihi,sio kosa hap
Tumewaomba mlete uthibitisho kwamba kuna jamaa aliyeitwa issa aliwahi kuishi Israel mpaka sasa mnazurula tu.Wanao kataa kua isa siyo yesu pia wakatae kua yesu sio huyo wanae muhubiria moja hakuna bibilia ya kiyunani au kiebraniaa inayo mtambua Yesu kwa maandishi ya hizo lugha zilizotoka huko na kama ni Utete wa kusema kua kutohoa nyinyi waswahili tu ndio mna haki ya kutohoa na sio nchi nyingine
Na lugha hizo ndizo zina asili ya hiyo Dini aya leteni vihoja vyenu
Usisikie haya mambo eti quoran ndio jibu la kila kitu. Quoran ni imani tu sio sayansi ndio maana mengi ni mambo ya kusadikika tu japo mengi pia ni historia ambayo pia inawezekana haina usahihi. Haina usahihi kwa kua hakuna utafiti wa kisayansi.Katika soma yangu nimekutana na hii aya. Naona inapishana na baiolojia niliyosoma miaka ile ya sekondari.
Quran 23:14
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyoganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu mbora wa waumbaji
English translation:
Then We made the sperm drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah, the best of creators.
Ukisoma tafsiri ya kiingereza na kiswahili unaelewa kwamba sperm inaingia kwenye damu iliyoganda. Nikatafuta wataalamu wa tafsiri kuhusu hiyo clot.
Prof Haanein Muhammad Makhloof, on page 508 of his Dictionary of the meanings of words of the Quran says that the Arabic word alaq translated into English as "clot" means frozen blood.
Maswali yangu
1. Sperm inaingia kwenye damu iliyoganda?
2. Damu iliyoganda inaishi ndani ya tumbo la mwanamke?
3. Quran haifahamu kuhusu yai la mwanamke?
4. Sperm peke yake inaweza kuumbwa ikawa mtu?
5. Kauli kwamba tukamfanya kiumbe mwingine inamaanisha nini?
battawi FaizaFoxy Mokiti adriz Kisai
Ukimaliza kupost post uje kutuletea ushahidi kwamba kuna jamaa aliitwa issa aliwahi kuishi Israel.. halafu useme ikawaje allah aseme sperm zinatokea kwenye eneo kati ya mbavu na uti wa mgongo.Na HAKIKA HAKUNA SIKU WAKRISTO WAKAANZISHA MJADALA WAKAWA NA POINTI HATA YA KUTANGAUA
Our God is Spirit, He cannot die. He just left the body and continued with His purposes in the spirit realm.unlike yesu whom you claim to be God then he died,,the highest blasphemy you people made up,,how can God die,,who ruled the world for three days alizokUa ktk ulimwengu WA wafu??
Mbona unakuwa muongo muongo versions zipi hizo ambazo zinaongezwa kila siku katika bible alafu tunaambiwa tusijikweze tusione kuwa yakwetu ni Bora kuliko ya wengine Kwa nini unajipiga kifua na kuona kuwa wewe ni Bora na dini yako ni Bora kuliko zingine je ina maana wewe Una akili kuliko wakristo wote? au je wewe ndie unaeijua dini ya kweli kuliko wale wakristo waliokutangulia una ushahidi gani kuwa Imani yako ni sahihi ilhali aliyekuletea wewe Imani hiyo ni binadamu kama wewe na mimi,pia tunaambiwa kuwa binadamu wote hatuko sahihi 100% unatetea vipi kwamba anaweza kuwa alikosea pia..naheshimu Sana dini za watu Kwa maana wote wanaishi na kufanikiwa kupitia hizohizo Imani zao Mimi na wewe hatujui Nani yupo sahihi na Nani hayupo sahihi kama wewe unamjua basi naheshimu pia ujuaji wako ila kitu ambacho ni uvunjifu wa Sheria ni kujifanya wewe unalolifanya ni sahihi kuliko mwingine wakati mwenye haki ya kufanya hivyo ni Yule tunamuabudu sote..alafu kama Mimi tangu nisali au wakati wa mahubiri sijawahi kumsikia kiongozi wangu akiniambia kwamba watu wa dhehebu fulani ni wabaya au waislam ni wabaya wamekuwa wakitutaka tutende mapenzi ya mungu kama biblia inavyotaka ila pande zingine utaskia wale ni makaffir ooh mara binti wa kiislam akiolewa na mkristo anatengwa mara wale ma freemasons jamani mungu anataka kweli mambo haya, unadhani Kwa Hali hii mtafanikiwa vipi kuwafanya wakristo waamini kuwa mnayoyaamini ni sahihi..ndugu wakristo wako bize Sana kutangaza habari njema kama maandiko yanavyosema kuwa nyakati za mwisho neno la mungu na habari njema litatangazwa Kwa nguvu kubwa mno ulimwenguni kote ili watu wapate kuokolewa wenzangu mngejikita katika kutoa mafundisho muda umebaki mchache Sana kuanza kujikweza mambo ni mengii mno tunapoteza mda katika kujiona Bora kuliko wengine muda wa kupromote dini zetu umekwisha kila mtu ashajizolea waumini wake sasa ni muda wa kazi kuwafanya waumini wetu watende mambo mema huku kujikwezakweza kutakuja kuleta machafuko unataka niwe muislam nihubiri nikuelewe ila sio kukichafua kile nilichokuwa nakiamini na kimenisaidia mpaka sasa pia nikitaka uwe mkristo ntakufuata nikupe maelekezo sio nianze kusema ooh ukristo ndo Bora kuliko uislam ..Aaaah poor sheikh wakati nimekukuta unaishi na umekua katika maadili ya kiislam au ukristo hatuwezi kuelewanaaaa udini ni heshima Kwanza utii unaweza hata kufanya kazi na mchawi ukamnyenyekea ila ukiwa na malengo ya kumbadilii ukimfuata Tu na fujo fujo zako we mchawii atakurarua na utakosa vyote..pia dini sio ubinafsi kujifungia ndani na kuwafundisha watu wanaokuamini wewe Tu kama dini ni ya kweli tembea nenda bar kwenye macasino kwenye madangulo Kwa upole nendeni mkawaelimishe kuwa wanachokifanya sio sahihi na mwambie kuwa bado ana nafasi pachoni pa mungu hawezi kuja msikitini wala kanisani kutokana na kujiona mkosaji labda lakini uenda akawa anatamani kupata ushauri wa kidini tukiendekeza hii kuwadharau watu na kuwatukania dini zao Kwa kuwaita makaffir hakuna tutakachojenga na utabaki kuwa ubatili tuTrust me all religion are dead religion except Islam,,,ukitaka kuamini dini yako is a dead religion see how MNA update vifungu Kula uchao ili kupendana na wakati,,lkn quran NI Ile Ile na haijawahi kupitwa na wakati,,,
Only those with a relationship with true word of God,,those who ask for forgiveness for their sin,,,those who believe in one message of the prophets and follow their ways,,those who believe in ONE true God not three god's not four,,wale ambao Imani na matendo Yao vinaenda sambamba,,hao ndo ambao are on the right path to salvation,,,.
Muhammad is a prophet like many prophet waliomtangulia kifo NI Jambo la lazima but they may be no more in this world but they live forever in the spiritual world,,unlike yesu whom you claim to be God then he died,,the highest blasphemy you people made up,,how can God die,,who ruled the world for three days alizokUa ktk ulimwengu WA wafu?? Muhammad he maybe No more in this world but the message he spread will live forever,,,
And you say yesu has more followers than Muhammad are you sure?? Cause it seems like There are more followers of Paul than those of yesu,,you guys don't follow Jesus teaching more than Muslim do,,,Muslim are the true followers of Jesus than you guys can be'' tell me the things Jesu's teaches and you guys do exactly as he taught you,,,mmebakia kumtaja Tu Kwa mdomo lkn hamko nae kiimani wala vitendo,,,ndo nyie aliyewasema siku itafika mtamuita bwana bwana tulitoa pepokwa jina lako na kufanya miujiza Kwa jina lako lakini atawakana kwamba "siwajui watu nyie""
Regarding kua the best selling book every year it's becoz every year you guys have another vision of the Bible it is necessary for you to keep up with the vision otherwise utajikuta mchungaji anasoma kifungu na kwenye bibilia yako hakipo so inawabidi kujiupdaye every now and then...
Damu allah kaiweka kwenye pakiti ndani ya tumbo la uzazi la mwanamke?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sijui ni kitu gani kinawatatiza hapo au nk wingi wa ujinga tu, hiyo damu iliyoganda ilikuwa katika mfuko maalauma wa kuitunza. Ni kama vile wabeba unga wanakuwa na vipaketi vya unga matumboni mwao kwa masiku kadhaa
Kwa hiyo kutohoa watohoe wazungu na waswahili Tu,,,wakitohoa waarabu NI kosa,,,na wewe Una ushahidi gani kama kutohoa yesu ndio sahihi Kwa nini hamkumuita yeshua kama jina lake halisi lilivokua,,,kulikua na ugumu gani kumuita yeshua bila kutohoa?? Mtake yesu ndio ISA hamtaki yesu ndio ISA,,,Yesu jina lake kikwao ni Yeshua. Hapo ndio kiswahili tukatohoa Yesu na waingereza wakaita Jesus. Tuletee ushahidi kwamba Yeshua ndio huyo issa kwa kiarabu.
Unajiongelea mambo usiyoyaelewa. Tena hizo verse hata shetani alitumia akimjaribu Yesu na akashindwa. Ni upumbavu wa mapangoni kuitumia hiyo mistari kwenye utetezi wako.
Wenzako walishaacha kuzitumia hizi aya maana zinamwacha Allah akiwa uchi. Wanazikimbia na hawataki kuziona. Nadhani wewe mgeni wa mji.
Hizi aya zinaonesha namna ambavyo Allah ni mdanganyifu. Kawadanganya wayahudi kwa kumtoa issa na kumweka jamaa mwingine anayefanana exactly na issa. Sasa inashangaza ni kwanini tena awalaumu kwa kuamini kwamba yule alikuwa issa.
Wewe ni wale waislamu oya oya wanaoshangilia kwenye midahalo na kushinda madrasa wakikariri.
Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kila mwamini na biblia inapatikana kila mahali na mtu yeyote anaweza kuisoma.
Mungu ni Roho, hawezi kufa. Alichofanya Yesu Kristo ambacho na mimi pamoja na wote wanaomwamini watakifanya ni kuondoka kwenye mwili.🤣🤣🤣 Kwahyo mungu wako aliuwawa na watu aliowaumba?
Mpuuzi gani amekwambia Mungu aliuwawa🤣🤣🤣 Kwahyo mungu wako aliuwawa na watu aliowaumba?
Sperm hapo imeandikwa kwamba inabadilika kuwa damu iliyoganda (yai la mwanamke halijatajwa) halafu damu iliyoganda (kimsingi ni dead) inakaa siku 40 halafu inakuwa nyama.Sahihi, maelezo ya kwenye Quran jinsi mimba inavyptungwa wanasayansi wote wamekubaliana nayo.
Kama umeelewa tofauti ila ni hivi, Tone la manii likikutana na yai la mama inageuka kuwa damu, damu inabadilika kuwa nyama, nyama inavikwa mifupa. Kila process hapo nhuchukua siku 40.
Wanaletaga nuture ya mungu wao ambae ni physical wanalazimisha afanane na Mungu wa wakristoMungu ni Roho, hawezi kufa. Alichofanya Yesu Kristo ambacho na mimi pamoja na wote wanaomwamini watakifanya ni kuondoka kwenye mwili.
Nyie ambao mungu wenu ni mwili ndio mna tatizo. Naona mmepanga kuwa mnafanya ngono hata ahera.
Huyo huyo ndio Alpha and Omega. He will judge everyone.Yesu huyu huyu aliyekiwa anacheza kombolela na watoto wenziwe katika mitaa ya Galilaya Leo hii ndio amekuwa Mungu muumba vyote
Ndio maana wayahudi waliukataa ukristo maana Yesu wanamjua viziri kwa kuwa walicheza wote
Bibilia inasema yesu alisubiliwa msalabani mpaka akakata rohoMpuuzi gani amekwambia Mungu aliuwawa