Wanasayansi naomba mnisaidie maana Quran inaniambia mtoto anaumbwa baada ya sperm kuingia kwenye damu iliyoganda

Baba wa uwongo alitudanganya kuwa jua lina zama kwenye matope mazito. Dini ta magumashi hiyo
Enyi walokole na masufi nawashauri mshirikiane kwenye sherehe za mazazi ya Yesu na Mohammed (Rehema na Amani ziwaendee), masufi wao mwezi huu watatu hufanya sherehe ninyi wagalatia hufanya Xmas mwezi wa 12 nawashauri mngeziunganisha mzifanya kwa pamoja kuondosha chuki baina yenu na kuimarisha matengamano
 
Kwahiyo sasa hivi unaipinga quran iliyosema hakuwa yeye bali aliyefanana naye?
Naona umekubali kua Yesu alie uliwa ambayo munamuamini ni yule alie tajwa kwenye quran ambae kua siyo yesu wa kweli asante
Pia umekubali sasa kua issa ndio nyny mnamwita yesu aya tulia
 
Naona umekubali kua Yesu alie uliwa ambayo munamuamini ni yule alie tajwa kwenye quran ambae kua siyo yesu wa kweli asante
Pia umekubali sasa kua issa ndio nyny mnamwita yesu aya tulia
Tuliwaomba ushahidi kama kuna mtu anaitwa issa aliwahi kuishi Israel lakini mpaka leo hamjauleta. Waarabu ambao ni wakristo wanamuita Yesu Kristo kuwa ni Yasu. Huyo issa ni kiumbe wa kufikirika.
 
Kwa hiyo scholars wanafanya argument kama kwenye siasa kupiga kura kipi kiwekwe? Wakiweka mambo sio we utafuata kibubusa kwa sababu watu wamekubaliana?
 
Hiyo ndio unaita contradiction?? Kweli kazi ipo. Ukiangalia hapo kwenye KJV inaonekana dhahiri translators walifanya kosa ambalo wamelirekebisha kwenye NKJV.
Inaelekea hata maana ya contradictions haujui. Unakubali scholars walifanya kosa wamelirekebisha halafu unasema sio contradiction? Hivi unajielewa kweli?
Zipo nyingi zimerekebishwa. Hiyo niliyoweka moja wapo.
Ukiambiwa version mpya maana yake kuna vitu vimebadilishwa kwa kuondoa zile kasoro zilizokuwepo mwanzo.
 
Tuliwaomba ushahidi kama kuna mtu anaitwa issa aliwahi kuishi Israel lakini mpaka leo hamjauleta. Waarabu ambao ni wakristo wanamuita Yesu Kristo kuwa ni Yasu. Huyo issa ni kiumbe wa kufikirika.
Hujielewi hakuna muarabu anayetambua yesu
Na sio waarabu tu hata waisraeli Hakuna anae mtambua YESU hawa sumbuki na kumfikiria kiumbe alie laaniwa
 
Tuliwaomba ushahidi kama kuna mtu anaitwa issa aliwahi kuishi Israel lakini mpaka leo hamjauleta. Waarabu ambao ni wakristo wanamuita Yesu Kristo kuwa ni Yasu. Huyo issa ni kiumbe wa kufikirika.
Ushahidi ushautoa mwenyewe we kaa tu na jamaa alie laaniwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…