Wanasayansi wa kiafrika ndio wanaoikuza Amerika na Ulaya, kwanini wasiikuze Afrika yao?

Kuna mwana anga chipukizi kutoka Tanzania yuko USA anaitwa Gideon Gidori...huyu nadhani ashatupa kitabu cha kijani tayari na kuchukua cha huko.
 
huyu jamaa alikuwa anatafutaga hela ya kufanya kitu kama project hivi huyu akiwa na miaka 7 alianza kusoma issue za anga ni mtanzania a wakati akiwa na miaka 15 akajulina kuwa ni mnajimu na alipata scholarship ya Air Academy in the United States
06c8a77ae2b39571a4dfaefe3cf44c93_original.JPG

gideonsfirstday-edit_slide-bd4085a4a09aca045ed92f05b8617e1c68e63784-s400-c85.jpg

gideon-telescope_slide-1a9229b342127fe9eda947993887c6a8976c3f78-s400-c85.jpg
 
mheshimiwa wa chato akikunyaka hakuna rangi utakayoacha kuiona yeye anawekeza kwenye bombadier na mwendokasi ndio anaitaa hayo ni maendeleo

tatizo pesa za kufungua hivyo viwanda zinatoka wapi yaani kumuweka mtanzania afanye kazi kwenye hicho kiwanda atahitaji pesa ndefu bila kujua kuwa pesa itakuja pale kiwanda kitakapo kuwa kikubwa yaani ingekuwaga watu wanakubali kufanya kazi kwa umoja kama china tusingekuwa hapa au mfano mwingine tungejituma kama kipindi kile tunalimishwa na kuchonga reli ya mkoloni tusingekuwa hapa
Hahahahahhahaa sijasema ni nani wala wa nchi gani china inaviwanda vingi na uzalishaji wao ni mkubwa nadhani ni kutokana na gharama za uzalishaji kwao ni ndogo sio kubwa ndio maana makampuni mengi ya kimarekani yamewekeza china mfano mzuri ni apple resembled in California made in china
 
sasa mpaka gharama za uzalishaji kuwa ndogo si walipambana sasa sisi huku africa tunataka maisha kuwa chip bila kupambana
 
sio hata kupambana ila hawakutala kula vikiwa vibichi
hamna wale majamaa wamekaza na wanasheria kali wew ukipelekwa huko unaweza mpaka ukaogopa kuishi kwenye hiyo nchi

mfano ni mtanzania mla rushwa apelekwe akafanye kazi kule yaani ndege iliyompeleka kabla haijajeuza safari kurudi tanzania itashuhudia maiti yake

lifecoded
nakukaribisha
 
ndio hicho sasa hawakutaka kula mapema vikiwa vibichi
 
maeneo haya ndio mabepari huwa wako vizuri sana, ukiwa mwanascience mzuri huwez lala njaa kwa mabepari lazima pesa zitakuja zenyew tu, kina Elon Musk wametoka na kampuni zao zilizohitaji mabilioni ya dolar kuyasimamisha lakin watu walitia pesa baada ya kunusa harufu ya pesa huko mbeleni, serikali ya obama tu ilitoa almost $4.9 billion. Sisi waafrica tujipange kwnza kwe mambo yanayoendana na uwezo wetu kwanza kama agriculture na viwanda vdg vdg tukija fikia middle income angalau nchi zetu zitaweza fianance baadhi ya scientific projects ambazo tafiti na ufanikishaji wake unahitaji uwekezaji mkubwa ingawa nchi kama misri na south africa level zao za elimu na uchumi si haba
 
Je tukisema waafrica wanatamaa ya pesa na si wazalendo wa nchi zao tunakosea? unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi kwenye mabara yao africa tungekuwa bado maskini?
Mkuu, kwanza nakushukuru sana kwa historia hi ulioiweka humu, wengine hao ni wana sayansi wa kizazi chetu kabisa na wengine nadhani ni wana sayansi wa zamani na wameisha KUFA but haijalishi; nime nukuu hapo nikitaka na wewe ukumbuke sakata la Dr/Profesa Masau RIP, bingwa wa upasuaji wa MOYO aliyea amua kuiacha kazi yake nzuri kule MArekani na kuja nchini mwake Tanzania na kila nikikumbuka masahibu alioyapata kuanzia lile jingo la TAZARA mali ya NSSF hua najikuta nawachukia sana wana siasa wa Tanzania hasa wa ccm, mmoja bila aibu alizungumza BUNGENI kwamba lazima Profesa Masau afukuzwe kwenye yale majengo na ikibidi wagonjwa wake wahame na drip zao to another hospital, huyu alikua profesa Juma Kapuya; mbaya zaidi eti vifaa vyake alivyo viagiza kwa pesa nyingi huko ughaibuni na vyenyewe serikali ilishindwa kumsaidia kuvitoa bandarini. Ninapo kumbuka haya na then niione hiyo statement yako hapo juu, natamani KULIA. Africa itaendelea kua masikini kwasababu ya viongozi au wana siasa tulionao madarakani, kwao vyama vyao ni muhimu kuliko nchi zao. Niishie hapo, nisije nikatukana bure.
 
Sijamuona mtoto wa kighoma malima hapo,maana nae ni mwanasayansi mvumbuzi kule USA.

Hapa kama serikali haitengi fedha za R&D wataalamu lazima walale mbele tu.

Nchi zingine kwenye vyuo vikuu ndo vitu hugunduliwa na kutengezwa,
kenya wao wameanza kujitambua na wanatenga pesa za Research and development ndo maana sasa wanavyuo wanaunda satelaiti,gari etc.

Sisi tuko busy kucontain post za facebook
Ninapoiona username yako siwezi kupita bila kusoma huwa napenda kusoma kila sehemu unayoreply.
Thanks to you chief...!!!
 
Africa hasa TZ hatujawahi kujali michango ya wanasayansi na wasomi wetu wengi tu kwa sababu ya siasa za majitaka kwa mfano
1.Yule aliyetengeneza helcopta yuko wapi
2.Tabora kuna watengeneza bunduki wa kienyeji sanasana utafungwa,
3.Yule mhaya wa buguruni aliyetengeneza gari kasaidiwa nn
4. Yule mama wa NIMR kwetu hana faida sasa wanaojua elimu yake wamemdaka juu kwa juu

wapo wengi ila siasa zetu ndo kikwazo cha maendeleo hata mimi ningekuwa mgunduzi ningesasepa long time
 
Mkuu, kwanza nakushukuru sana kwa historia hi ulioiweka humu, wengine hao ni wana sayansi wa kizazi chetu kabisa na wengine nadhani ni wana sayansi wa zamani na wameisha KUFA but haijalishi; nime nukuu hapo nikitaka na wewe ukumbuke sakata la Dr/Profesa Masau RIP, bingwa wa upasuaji wa MOYO aliyea amua kuiacha kazi yake nzuri kule MArekani na kuja nchini mwake Tanzania na kila nikikumbuka masahibu alioyapata kuanzia lile jingo la TAZARA mali ya NSSF hua najikuta nawachukia sana wana siasa wa Tanzania hasa wa ccm, mmoja bila aibu alizungumza BUNGENI kwamba lazima Profesa Masau afukuzwe kwenye yale majengo na ikibidi wagonjwa wake wahame na drip zao to another hospital, huyu alikua profesa Juma Kapuya; mbaya zaidi eti vifaa vyake alivyo viagiza kwa pesa nyingi huko ughaibuni na vyenyewe serikali ilishindwa kumsaidia kuvitoa bandarini. Ninapo kumbuka haya na then niione hiyo statement yako hapo juu, natamani KULIA. Africa itaendelea kua masikini kwasababu ya viongozi au wana siasa tulionao madarakani, kwao vyama vyao ni muhimu kuliko nchi zao. Niishie hapo, nisije nikatukana bure.
Tukana tu roho itulie,inauzi saaaaana
 
maeneo haya ndio mabepari huwa wako vizuri sana, ukiwa mwanascience mzuri huwez lala njaa kwa mabepari lazima pesa zitakuja zenyew tu, kina Elon Musk wametoka na kampuni zao zilizohitaji mabilioni ya dolar kuyasimamisha lakin watu walitia pesa baada ya kunusa harufu ya pesa huko mbeleni, serikali ya obama tu ilitoa almost $4.9 billion. Sisi waafrica tujipange kwnza kwe mambo yanayoendana na uwezo wetu kwanza kama agriculture na viwanda vdg vdg tukija fikia middle income angalau nchi zetu zitaweza fianance baadhi ya scientific projects ambazo tafiti na ufanikishaji wake unahitaji uwekezaji mkubwa ingawa nchi kama misri na south africa level zao za elimu na uchumi si haba
hizo pesa zinazalishwa na hao hao wanasayansi wanaofanyishwa kazi kwanini wasizizalishe africa then wazitumie
 
Back
Top Bottom