sakata la Dr/Profesa Masau RIP, bingwa wa upasuaji wa MOYO aliyea amua kuiacha kazi yake nzuri kule MArekani na kuja nchini mwake Tanzania na kila nikikumbuka masahibu alioyapata kuanzia lile jingo la TAZARA mali ya NSSF hua najikuta nawachukia sana wana siasa wa Tanzania hasa wa ccm, mmoja bila aibu alizungumza BUNGENI kwamba lazima Profesa Masau afukuzwe kwenye yale majengo na ikibidi wagonjwa wake wahame na drip zao to another hospital, huyu alikua profesa Juma Kapuya; mbaya zaidi eti vifaa vyake alivyo viagiza kwa pesa nyingi huko ughaibuni na vyenyewe serikali ilishindwa kumsaidia kuvitoa bandarini. Ninapo kumbuka haya na then niione hiyo statement yako hapo juu, natamani KULIA. Africa itaendelea kua masikini kwasababu ya viongozi au wana siasa tulionao madarakani, kwao vyama vyao ni muhimu kuliko nchi zao. Niishie hapo, nisije nikatukana bure.