hilo sasa ni tatizo wangelisolve kwenye nchi zao walizozaliwa na sio kukimbiaMkuu wengine wanakua na tamaa ya pesa ila pia ku-conduct research kuna changamoto nyingi ikiwemo za kipesa na nchi nyingi Africa hazina budget yakusupport hizo research
huyu jamaa alikuwa anatafutaga hela ya kufanya kitu kama project hivi huyu akiwa na miaka 7 alianza kusoma issue za anga ni mtanzania a wakati akiwa na miaka 15 akajulina kuwa ni mnajimu na alipata scholarship ya Air Academy in the United StatesKuna mwana anga chipukizi kutoka Tanzania yuko USA anaitwa Gideon Gidori...huyu nadhani ashatupa kitabu cha kijani tayari na kuchukua cha huko.
Hahahahahhahaa sijasema ni nani wala wa nchi gani china inaviwanda vingi na uzalishaji wao ni mkubwa nadhani ni kutokana na gharama za uzalishaji kwao ni ndogo sio kubwa ndio maana makampuni mengi ya kimarekani yamewekeza china mfano mzuri ni apple resembled in California made in chinamheshimiwa wa chato akikunyaka hakuna rangi utakayoacha kuiona yeye anawekeza kwenye bombadier na mwendokasi ndio anaitaa hayo ni maendeleo
tatizo pesa za kufungua hivyo viwanda zinatoka wapi yaani kumuweka mtanzania afanye kazi kwenye hicho kiwanda atahitaji pesa ndefu bila kujua kuwa pesa itakuja pale kiwanda kitakapo kuwa kikubwa yaani ingekuwaga watu wanakubali kufanya kazi kwa umoja kama china tusingekuwa hapa au mfano mwingine tungejituma kama kipindi kile tunalimishwa na kuchonga reli ya mkoloni tusingekuwa hapa
shukrani mkuuvery true mkuu""
shukrani mkuuFact ""
sasa mpaka gharama za uzalishaji kuwa ndogo si walipambana sasa sisi huku africa tunataka maisha kuwa chip bila kupambanaHahahahahhahaa sijasema ni nani wala wa nchi gani china inaviwanda vingi na uzalishaji wao ni mkubwa nadhani ni kutokana na gharama za uzalishaji kwao ni ndogo sio kubwa ndio maana makampuni mengi ya kimarekani yamewekeza china mfano mzuri ni apple resembled in California made in china
sio hata kupambana ila hawakutaka kula vikiwa vibichisasa mpaka gharama za uzalishaji kuwa ndogo si walipambana sasa sisi huku africa tunataka maisha kuwa chip bila kupambana
hamna wale majamaa wamekaza na wanasheria kali wew ukipelekwa huko unaweza mpaka ukaogopa kuishi kwenye hiyo nchisio hata kupambana ila hawakutala kula vikiwa vibichi
ndio hicho sasa hawakutaka kula mapema vikiwa vibichihamna wale majamaa wamekaza na wanasheria kali wew ukipelekwa huko unaweza mpaka ukaogopa kuishi kwenye hiyo nchi
mfano ni mtanzania mla rushwa apelekwe akafanye kazi kule yaani ndege iliyompeleka kabla haijajeuza safari kurudi tanzania itashuhudia maiti yake
lifecoded
nakukaribisha
hapa waafrika kakahapo tupo sawa kwahiyo watanzania hata hicho kibichi wameweza kula?
Mkuu, kwanza nakushukuru sana kwa historia hi ulioiweka humu, wengine hao ni wana sayansi wa kizazi chetu kabisa na wengine nadhani ni wana sayansi wa zamani na wameisha KUFA but haijalishi; nime nukuu hapo nikitaka na wewe ukumbuke sakata la Dr/Profesa Masau RIP, bingwa wa upasuaji wa MOYO aliyea amua kuiacha kazi yake nzuri kule MArekani na kuja nchini mwake Tanzania na kila nikikumbuka masahibu alioyapata kuanzia lile jingo la TAZARA mali ya NSSF hua najikuta nawachukia sana wana siasa wa Tanzania hasa wa ccm, mmoja bila aibu alizungumza BUNGENI kwamba lazima Profesa Masau afukuzwe kwenye yale majengo na ikibidi wagonjwa wake wahame na drip zao to another hospital, huyu alikua profesa Juma Kapuya; mbaya zaidi eti vifaa vyake alivyo viagiza kwa pesa nyingi huko ughaibuni na vyenyewe serikali ilishindwa kumsaidia kuvitoa bandarini. Ninapo kumbuka haya na then niione hiyo statement yako hapo juu, natamani KULIA. Africa itaendelea kua masikini kwasababu ya viongozi au wana siasa tulionao madarakani, kwao vyama vyao ni muhimu kuliko nchi zao. Niishie hapo, nisije nikatukana bure.Je tukisema waafrica wanatamaa ya pesa na si wazalendo wa nchi zao tunakosea? unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi kwenye mabara yao africa tungekuwa bado maskini?
Ninapoiona username yako siwezi kupita bila kusoma huwa napenda kusoma kila sehemu unayoreply.Sijamuona mtoto wa kighoma malima hapo,maana nae ni mwanasayansi mvumbuzi kule USA.
Hapa kama serikali haitengi fedha za R&D wataalamu lazima walale mbele tu.
Nchi zingine kwenye vyuo vikuu ndo vitu hugunduliwa na kutengezwa,
kenya wao wameanza kujitambua na wanatenga pesa za Research and development ndo maana sasa wanavyuo wanaunda satelaiti,gari etc.
Sisi tuko busy kucontain post za facebook
Tukana tu roho itulie,inauzi saaaaanaMkuu, kwanza nakushukuru sana kwa historia hi ulioiweka humu, wengine hao ni wana sayansi wa kizazi chetu kabisa na wengine nadhani ni wana sayansi wa zamani na wameisha KUFA but haijalishi; nime nukuu hapo nikitaka na wewe ukumbuke sakata la Dr/Profesa Masau RIP, bingwa wa upasuaji wa MOYO aliyea amua kuiacha kazi yake nzuri kule MArekani na kuja nchini mwake Tanzania na kila nikikumbuka masahibu alioyapata kuanzia lile jingo la TAZARA mali ya NSSF hua najikuta nawachukia sana wana siasa wa Tanzania hasa wa ccm, mmoja bila aibu alizungumza BUNGENI kwamba lazima Profesa Masau afukuzwe kwenye yale majengo na ikibidi wagonjwa wake wahame na drip zao to another hospital, huyu alikua profesa Juma Kapuya; mbaya zaidi eti vifaa vyake alivyo viagiza kwa pesa nyingi huko ughaibuni na vyenyewe serikali ilishindwa kumsaidia kuvitoa bandarini. Ninapo kumbuka haya na then niione hiyo statement yako hapo juu, natamani KULIA. Africa itaendelea kua masikini kwasababu ya viongozi au wana siasa tulionao madarakani, kwao vyama vyao ni muhimu kuliko nchi zao. Niishie hapo, nisije nikatukana bure.
hizo pesa zinazalishwa na hao hao wanasayansi wanaofanyishwa kazi kwanini wasizizalishe africa then wazitumiemaeneo haya ndio mabepari huwa wako vizuri sana, ukiwa mwanascience mzuri huwez lala njaa kwa mabepari lazima pesa zitakuja zenyew tu, kina Elon Musk wametoka na kampuni zao zilizohitaji mabilioni ya dolar kuyasimamisha lakin watu walitia pesa baada ya kunusa harufu ya pesa huko mbeleni, serikali ya obama tu ilitoa almost $4.9 billion. Sisi waafrica tujipange kwnza kwe mambo yanayoendana na uwezo wetu kwanza kama agriculture na viwanda vdg vdg tukija fikia middle income angalau nchi zetu zitaweza fianance baadhi ya scientific projects ambazo tafiti na ufanikishaji wake unahitaji uwekezaji mkubwa ingawa nchi kama misri na south africa level zao za elimu na uchumi si haba