Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Lengo la kusoma ili upate hela. Kusolve matatizo ni issue ya ziada. Ingekuwa kusoma ili u-solve matatizo watu wangefanya kazi kwa kujitolea. Masilahi kwanza mambo mengine ndiyo yanafuatakwani tunasoma ili tupate pesa au tunasoma ili tusolve matatizo yetu hivi wakina newton na eistein wangekuwa wanafanya kazi ili walipwe hivi kuna nchi ingeweza kuwalipa
Hii list angekosekana mchagaHII NI LIST YA WANASAYANSI KUTOKA AFRICA NA KAZI WANAZOZIFANYA KWENYE MATAIFA MAKUBWA1. Euclid of Alexandria
EGYPT
huyu ni founder wa geometry ni mzaliwa wa egypt
amefanya kazi katika European Space Agency's (ESA) na ameunda euclid space craft
2. Sameera Moussa
huyu ni ni mwanafizikia aliyebobea kwenye maswala ya nyukilia na ni mzawa wa egypty ana doctorate ya atomic radiation na alifia huko California, united state
3.Ahmed Hassan Zewail
Huyu ni wa Egypt ni mwanzilishi wa femtochemistry anafanya kazi amerca
1. Haile Debas
Eritrean
huyu ni mfanya sugery, mwanafizikia na ni academic adminstrator katika chuo kikuu cha California ni mzawa wa africa
Carthage1. Abbas Ibn Firnas
huyu ni mwanafizikia mchemia na engineer alifanya kazi huko spain ila ni mzawa wa carthage africa
Morocco1. Rachid Yazami
huyi ni morocan alifanya research kuhusu lithium battery na graphite anode anafanya kazi katika French National Centre for Scientific Research (CNRS) ni wa kwaza kugundua intercalation ya lithium kwenye graphite katika electrochemical cell
Ethiopean
1. Sossina M. Haile
huyu ni profesa na mchemia pia ni mwanafizika na ni mhandisi anafanya kazi california instute of technology huyu aligundua solid acid fuel cells
2. Kitaw Ejigu
Ethiopian engineer and Chief of Spacecraft and Satellite Systems engineer at NASA.
KENYAN1. Calestous Juma
Huyu ni professor pia ni mfanya kazi katika havard university ni mzawa wa kenya
MALI1. Cheick Modibo Diarra
Huyu ni aerospace engineer amechangia kukamilika kwa mission nyingi za NASA mfano kupatikana kwa njia ya kwenda kwenye sayari ya mars , galileo space craft na kuchunguza sayari ya mars
NIGERIAN1. John Uzo Ogbu
huyu ni professor alikuwa anachunguza maswala ya intelligence kuendana na rangi ya ngozi (race) inasemekana alikuwa na IQ kubwa ni mzawa wa nigeria lakini alikuwa anafundisha na kuishi California
2. Bisi Ezerioha
huyu ni professor, engeneer huyu ndie mgunduzi na mtengenezaji wa honda pia ameshiriki katika utengenezaji wa Hyundai Motor America mhshimiwa huyu pia anatengeneza injini za magari pia
SOUTH AFRICA
1. Aaron Klug
Huyu ni mchemia na biophycist alijishindia tuzo kwa kugundua crystallographic electron microscopy pia amegundua structure ya tobacco mosaic virus huyu ni director wa maabara ya molecular biology huko cambridge
2. Sydney Brenner
huyu amebobea kwenye genetic alipata tuzo noble prize kwenye phsiology or medicine anafanya kazi kwenye maabara ya molecular biology huko cambridge england pia ni mwanzilishi na mmiliki wa California instute of molecular bilology kwa kipindi cha maisha yake
3. Christiaan Barnard
huyu ni mpasuaji bingwa wa moyo pia alifanikiwa kuhamisha moyo kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa mara ya kwanza duniani hajareportiwa sehemu aliyokuwa anafanyakazi nnje ya africa lakini alionekana kuondoka sana africa na alikufa mwaka 2001
SUDANI1. Mohammed Ibrahim
Huyu engineer na ni billionaire pia aliwahi kuishi british na kufanya kazi huko katika vitengo vya telecomunication aliajiriwa na british telecom huyu ni mwanzilishi wa mtandao wa celtel
2. Ali M. El-Agraa
huyu ni mwanauchumi bingwa amefanya kazi british, usa, na japan nchi ambazo sasa zinaonekana kukua kiuchumi mno
3. Mohamed Osman Baloola
huyu ni biomedical engineer pia ni mtafiti na mwendesha research kuhusu diabetes anafanya kazi uarabuni katika Ajman University of Science and Technology
TANZANIA1. Felix A. Chami
Felix A. Chami is an archaeologist from Tanzania. He is a professor at Dar es Salaam University. Dr. Chami discovered, on the island of Mafia and Juani, artefacts that revealed East Africa as being integral to the Indian Ocean trade huyu yupo africa na anafanya kazi africa alichogundua imebidi nikiweke kwenye lugha ya fumbo ili mjiulize kwanini kabaki africa
UGANDA1. Kwatsi Alibaruho
Huyu ni director wa kurusha vifaa vya anga anafanya kazi National Aeronautics and Space Administration (NASA) alishadirect human spaceflight mwaka 2005 pia anahusika kumanage na kucarry space shuttle flight
AFRICA TUNA LIST YA WANASAYANSI WENGI AMBA O NI WAZAWA WA AFRICA LAKINI SASA WANAYATUMIKIA MATAIFA MAKUBWA BADALA YA TAIFA LAO PIA WENGINE WANAONEKANA KUTAFUTA URAIA KWENYE MATAIFA HAYO
1. Je hii ni akili na wanasababu mdhubuti kufanya hivyo? je kuna watu wa mataifa makubwa kama amerca wanakuja kulitumikia tafa dogo africa?
2. Je tukisema waafrica wanatamaa ya pesa na si wazalendo wa nchi zao tunakosea? unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi kwenye mabara yao africa tungekuwa bado maskini?
3. Je unafikiri hawa wanasayansi wangefanya kazi africa kungekuwa na mgogoro mkubwa na mataifa makubwa na huenda wangefanikiwa kuwaua?
4. je wanasayansi wa africa wanalazimishwa kufanya kazi kwenye mataifa makubwa na kutishiwa kuuliwa hivyo wanaogopa kufa
ILA NIMEGUNDUA WANASAYANSI WENGI WA KIAFRICA WANAOJULIKANA DUNIA NA NI WAZAWA WA SOUTH AFRICA BADO WANAFANYA KAZI SOUTH AFRICA JAPO SIJAWAWEKA KWENYE LIST HAPO
UMEGUNDUA NINI? africa tunajiona tuna wanasayansi wengi lakini wanaofahamika ulimwenguni pote ni wachache mfano kwa tanzania anafahamika mmoja kwani tunamaporofesa wangapi kwenye vyuo vyetu je wametendewa haki kutotajwa kwenye hii list?
nawasilisha
true ila dawa ya tatizo ni kulikimbia au kulisolve? wew umebadili uraia wa tz pia?Hahahahaa hahahahaa
Bora sijatajwa
Lakini kuna Uzi niliwahi ongea kitu kuwa Y? Wasomi wengi wa Africa hawatumikii Nchi zao!.
Kubwa zaidi mfumo mbovu Na sera mbovu za elimu pamoja Na kujuana sanaaa!.
!.
sawa hii ni sababu wew unafikiri tutabadili vipi mtazamo wa serikali zetu za africa hasa africa mashariki?Wangeuawa zamani tu,tena kama huyo mwenye celtel angeshapigwa risasi.
Hata mack aliyegundua facebook asingefika popote na fb yake wala whatsapp,angepigwa risasi na yeye.
Nata mimi nikiwa scientist sifanyi ujinga huo wa kukaa humu tena hususani Tanzania.
Huyo mrusho satellite angeambiwa aishushe haraka sana la sivyo atapigwa kipigo cha mbwa koko.
wataje na tuambie wametikisaje dunia kwa gunduzi zaoinategemea wataalamu wapo wengi lakini alichogundua kina value kiasi gani pia mbona watanzania kibao hawapo yupo mmoja tu
ila kwa mfano aliyetengenezaga lile gari kwa kipindi kile hata angepewa support bado asingeweza kuliingizia taifa kipato kikubwa kwakuwa hata yangetengenezwa hayo magari yasingeweza kuuzwa nje ya tanzania pili yasingeweza kupambana sokoni na magari yanayingizwa nchini kutokana na ubora wake. je uanafikiri kungekuwa na uwezo wowote wa kuzuia magari kutoka mataifa makubwa yazuiliwe kuuzwa tanzania ili magari yatakayotengenezwa hapa yapate soko?Africa i
Mtu akitengeneza kitu badala apewe karakana na uwanja wa majaribio utasikia hairuhusiwi iko kitu maana hakijathibitishwa. Nyumbu nyumbu tu Africa haitaendelea. Kuna tatizo.
Sasa kwa akili za kiongozi wa malaika unategemea ipo siku Afrika itatoka
si kweli kwa south africa wamejitahidi sana ila kwanini kwa hapa tanzania hii sera ya viwanda inasuasua kutimizwa na pia kuna mgogoro mkubwa kwenye hii serikali yetu inayodai inataka kuunda tanzania ya viwandaJibu ni rahisi, hakuna haja ya kusema wana tamaa ya pesa ama c.yo wazalendo. Ni kwa sbb hakuna nchi za kiafrika zilizojikita seriously kwenye uendelezaji wa sayansi na teknolojia ama hata R&D.
hilo nalo ni tatizo tukisema viongozi watu wanapaswa kuwa watu wenye elimu kubwa kuna watu watajitokeza na kupinga hili na watadai kila mtu ana hakli ya kuongoza na matokeo yake wakipewa hiyo haki kama walivyopewa sasa nchi inakuwa na sera mbovu na kila siku tunakutana na miswada ya ajabu kwenye mabunge yetu badala ya kupambana kujikwamuaSasa huko Bongo tunazibiwa na kuongozwa na Bashite.
Kwa nini tusisepe tu?
Moja wapo ya condition ya kuwa astronautstrue ila dawa ya tatizo ni kulikimbia au kulisolve? wew umebadili uraia wa tz pia?
Jibu mbona Dogo sana ,angalia mshahara wa mbunge na wa Mwalimu,hapo ndio utapata jibu.
Nchi za afrika husani Tanzania haiungi mkono profession Bali inaunga mkono politics.
je tanzania ya sasa imekuja kwa sera ya viwanda itafanikiwa? je ni kwanini? na kama haitafanikiwa pia ni kwanini?Mi nadhani pia nchi zetu za Kiafrika pia zinachangia sana kuwafifisha wataalamu wetu
Wee fikiria nchi kama DRC au Burundi au Sudan zimejaa migogoro ya kivita na kisiasa alafu unawaambia Wanasayansi wabaki pale wafanye nini cha maana?! Hata raia tu wakawaida wanakimbia nchi kuokoa maisha yao Sembuse Wanasayansi wabaki?!
,
unafikiri hao wanasiasa wanafanya hivyo huku wakitambua umuhimu wa kuwa na technologia au wanafanya hivyo kwakuwa elimu yao ni ndogo au hawana elimu kabisa kuhusu hiliTatizo kwenye nchi za kiafrika hawathaminiwi na hawapewi kipaumbele kbs mana wanasiasa ambao ni viongozi huku kwetu Africa wanapenda watu waendelee kuw wajinga wajinga ili wawatawale milele
Kuna case moja huko Zanzibar vijana kujaribu kuunda helikopta lakini kilichotokea waliwekewa vikwazo kibao ikiwemo kuwa eti hawana kibali wala leseni ya kurusha kifaa cha angani
hilo ni tatizo kubwaMoja wapo ya condition ya kuwa astronauts
Kwa nchi kama USA lazima uwe raia wao!..
Bahati mbayaa bongo hawana double!..
Nadhani utaelewa
Log out