Pia mazingira hayatatoa fursa kwa wao kuutumia ujuzi na uzoefu wao, sana sana wataishia kuwa frustrated. Hii Afrika waachiwe wanasiasa.uzi wa kufikiri ila kikubwa ni maslahi pamoja na ujuzi wao watautumia kiasi gani watakapo rudi nchi zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia mazingira hayatatoa fursa kwa wao kuutumia ujuzi na uzoefu wao, sana sana wataishia kuwa frustrated. Hii Afrika waachiwe wanasiasa.uzi wa kufikiri ila kikubwa ni maslahi pamoja na ujuzi wao watautumia kiasi gani watakapo rudi nchi zao
Mkuu cherehani zimeanza huko Uingereza mwaka 1790, leo hii hapa bongo ndo kiwanda. wenzetu wako kwenye nanotechnology bado sisi tunalima kwa jembe la mkono huku tukisugua magoti kumuomba mleta mvua atusaidie.nchi kama marekani ilitumia takribani miaka 80's mpaka nayo inajitambua na kujiona imeendelea na hawakutaka kupiga propaganda nyingi kwenye sekta ya maendeleo ya viwanda na kama wao wangehesabia cherehani ni kiwanda wangekuwa wapi leo hizi cherehani tunazoziona ni kiwanda hapa nchini utakuta ni kitu kilichotumiwa miaka hata 50 iliyopita eti sisi leo tunashtuka na kukumbuka nacho ni kiwanda aibu sanaa tena mnoo
Well said mkuu,Tunaweza kusema hawana tamaa ya pesa na utakuta asilimia kubwa ya hao hapo hawajasoma nchini kwao,sasa kama mtu amesoma mambo ya anga na kurusha space objects huko juu na ni mzaliwa wa Uganda je lini uganda itaweza kugharamia utengenezwaji hata wa satellite yake yenyewe au kuweza kufanya utafiti wa anga na kuleta takwimu nchini kwao kikubwa ni kwamba waafrica tunapewa nafasi ya kwenda kusoma nchi zilizoendelea vitu ambavyo ni vikubwa na vinatakiwa maandalizi mazuri yakifedha na miundombinu lakini nchi zetu hazitaki kuwekeza kwenye hayo mambo ambayo sisi tunayasoma sasa utakuta mtu kama huyo au hao hawawezi kurudi nchi zao kinachotokea anachukuliwa na nchi zilizojipanga na asilimia kubwa huwa wanajitahidi pindi wanapopata hizo nafasi.
Kwahio tujipange tuu ili wasomi pindi wanapomaliza wawe na uhakika na mtu unakuta anashauku kweli ya kuisaidia nchi yake sema ndo hivyo hatuna hiyo miradi wala fedha za kuwekeza
Kumuendeleza nikumpa uwezo. Awe expert maana yake waweza mpeleka kusoma badae kuongeza ujuzi. Ukiwa nao 10 ukashawishi makampuni yenye majina kuja kuwekeza assembling industries nchini expert wanakuwa wazawa. Kuanzia hapo wanaweza kubuni vitu.ila kwa mfano aliyetengenezaga lile gari kwa kipindi kile hata angepewa support bado asingeweza kuliingizia taifa kipato kikubwa kwakuwa hata yangetengenezwa hayo magari yasingeweza kuuzwa nje ya tanzania pili yasingeweza kupambana sokoni na magari yanayingizwa nchini kutokana na ubora wake. je uanafikiri kungekuwa na uwezo wowote wa kuzuia magari kutoka mataifa makubwa yazuiliwe kuuzwa tanzania ili magari yatakayotengenezwa hapa yapate soko?
kikubwa mtu ili apewe support na kuliletea faida taifa anapaswa kuvumbua kitu ambacho hakijawahi kugunduliwa duniani hapo ndipo technologia ya huyo mtu itakuwa na manufaa na kuuzika kwa bei kubwa.
Mkuu mbona unanichimba sana?!hilo ni tatizo kubwa
hivi kuna kipindi mulishafikiria au ulishajaribu kutafuta njia ya kulisaidia taifa lako hata kimawazo tu?
unauhakika amerca inapata uhuru waafrica tayari wapo kule
Tupo kwenye stage ya capitalism. Huo uzalendo upo kwenye communalism kwahiyo stage iliyopita. Unakuwa mzalendo halafu unakufa masikini wakati hivyo vitu unavyo ukienda ng'ambo unakuwa tajiri baada ya mwezi. Sasa hivi tunaangalia pesa nzuri iko wapi. Huo uzalendo baki nao tu kwasbb hauna faida kwenye njaa na ukiangalia kwenye suala la teknolojia nchi za kiafrika bado sana. Unakuwa na vitu vyingi halafu unaishi maisha km ya kondakta wa daladala. Yote ya nini. Mm siwezi aisee.sasa kama unatafuta pesa kwenye taifa lenye kipato kidogo badala ya kuliendeleza lli liwe na kipato kikubwa nawe upate pesa badala yake unakimbia sasa hapo utakuwa huna uzalendo hata kidogo na taifa lako
unafikiri mataifa yaliyoendelea sasa hakuna wanasayansi na wataalamu waliojitolea zamani na kulitumikia taifa bila kulipwa pesa kubwa mpaka taifa likapata mwanga
shukrani mkuuWell said mkuu,
Kwa kuongezea tu ni kwamba, mtu kama alikuwa interested kusomea kitu flan maana yake anategemea katika maisha yake afanye kazi zinazoendana na taaluma yake, hapo ndio utauona utam wa elim. Sasa chukulia mfanò huyu kiongozi wetu wa visiwani (naskia taaluma yake ni mambo ya nyuklia) assume angekuwa sio kiongozi mkubwa wa nchi ambaye anapata pesa na maisha mazuri, maana yake ingekuwa ni rahisi sana kwake kushawishiwa kwenda nje ya nchi ambako may be wangemuhitaji.
Kuna vijana wenzangu wamesomea petroleum na wamehitim vzr kwa pesa za mikopo ya watanzania lkn cha kushangaza hakuna kazi mtaan. Swali ni; hivi wakienda nje ya nchi na kupewa kila wanachohitaji na wakapiga kazi vzr, ni nani wa kumlaum?
haahahaha aisee kumbe ni muda kweli haya sasa huku ndo viwanda mimi bado namtafakari alietoa hiyo kauli na yupo tuu kakaa nae anajiita mjenga taifa au kiongozi naona ni akili ndogo tuu samahani kwa kutumia hili neno ila inabidi tuu kwa mudaa litumikeMkuu cherehani zimeanza huko Uingereza mwaka 1790, leo hii hapa bongo ndo kiwanda. wenzetu wako kwenye nanotechnology bado sisi tunalima kwa jembe la mkono huku tukisugua magoti kumuomba mleta mvua atusaidie.
waachie hiyo afrika kwa nini sasa wanatakiwa wajue kinachotakiwa kifanyikePia mazingira hayatatoa fursa kwa wao kuutumia ujuzi na uzoefu wao, sana sana wataishia kuwa frustrated. Hii Afrika waachiwe wanasiasa.
sasa kama atakayegundua kitu akiwa hajasoma hata college/university au hana hata secondary education utamwendeleza vipi au hata akipata sponsor kwenda kusoma nje ataenda kupata elimu ya ngazi ipi either higher education au diploma etc?Kumuendeleza nikumpa uwezo. Awe expert maana yake waweza mpeleka kusoma badae kuongeza ujuzi. Ukiwa nao 10 ukashawishi makampuni yenye majina kuja kuwekeza assembling industries nchini expert wanakuwa wazawa. Kuanzia hapo wanaweza kubuni vitu.
imenibidi nikuchimbue kiongozi kwakuwa nimeona unatoa post ukiwa na feeling mno na umeichukia sana bongo unaiyona kama jehanamu vile ila p1 ndio tz hatuna ujanjaMkuu mbona unanichimba sana?!
Nifikirie bongo kwa mambo haya yanayotendeka?!
umeeleweka kiongozi ila hiyo capitalism tuliyopo haina sifa ya capitalism ile ya zama zile sababu huku ni vibanda na si viwanda kama capitalist wa zamani walivyofanyaTupo kwenye stage ya capitalism. Huo uzalendo upo kwenye communalism kwahiyo stage iliyopita. Unakuwa mzalendo halafu unakufa masikini wakati hivyo vitu unavyo ukienda ng'ambo unakuwa tajiri baada ya mwezi. Sasa hivi tunaangalia pesa nzuri iko wapi. Huo uzalendo baki nao tu kwasbb hauna faida kwenye njaa na ukiangalia kwenye suala la teknolojia nchi za kiafrika bado sana. Unakuwa na vitu vyingi halafu unaishi maisha km ya kondakta wa daladala. Yote ya nini. Mm siwezi aisee.
Nilionaga bongo wapuuzi!.imenibidi nikuchimbue kiongozi kwakuwa nimeona unatoa post ukiwa na feeling mno na umeichukia sana bongo unaiyona kama jehanamu vile ila p1 ndio tz hatuna ujanja
Mkuu hawa wanasiasa wana exposure kubwa tu ya hii dunia, wamesoma na kusafiri sana nchi za wenzetu. Wanajua kinachotakiwa kufanyika ili tusonge mbele. Ila ubinafsi, tamaa, uchoyo, ulafi n.k vimewapofusha na kuamua kutokuona. Hata leo nchi hii tunao wasomi wazuri sana, ila kila kitu wanaamua wanasiasa tena wengine elimu ya kawaida sana, so wasomi makini wameamua kutulia na kufanya yao.waachie hiyo afrika kwa nini sasa wanatakiwa wajue kinachotakiwa kifanyike