Mbona hawa wa sasa ni uzao wa Yakobo vile vile?Jamani hili somo si kila siku nawapa hamjapata kuelewa hadi leo?Israel iliyotajwa kwenye biblia sio hii Israel mnayosema leo(Israel ya kisiasa).Acheni kuchanganya mambo(Biblia inataja uzao wa Jacob kama Isreal .Watoto 12 wa Jacob ndio maana halisi ya Israel.Unajua wapo wapi?unadhani ni hawa kina Netanyahu?sio kweli)