Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumizaje kichwa kama habari unayoijua iko akilini mwako au moyoni mwako. Kuumiza kichwa maana yake utaanza kupekua commentaries, Bible dictionaries nk. Na ukifanya hivyo usiseme unajua, sema umejuzwa!Man hii ni bible sio porojo zako, nakupa concept ukatufute wewe.Kwamba unataka niumize kichwa kwa ajili yako?(kumbuka bible haina porojo nlikuwa naweza kusema Judah ni mtoto wa tano na ikaisha lakini unajua price ya ku-mislead watu tena unapofanya quotation katika bible au hujui)
Kutoamini kwao hakuondoi ahadi ya Mungu kwao. Mungu alisema atawabariki. PeriodNyie mnahangaika na hii dhana kibiblia wakati wayahudi wenyewe hawana hata muda na mifumo yenu ya Kiimani ya Kikristu; kwa Wayahudi Yesu ni fundi seremala tu
Mtu anayesema hakuna Mungu unatarajia atayajua mambo ya Israeli. Si ni kama wale wapumbavu, wana PhD lakini hazijasaidia kufuta ujinga. Eti wanasema dunia ilitokea tu kwa bahati. Si ajabu hata PhD zao walizipata kwa bahatiKwani Kiranga anasemaje
Unaileta taarifa kwa vitisho sana mkuu😄😄Mfumo mpya wa kinga ya mwili umegunduliwa. Upo katika sehemu ya mwili inayojulikana kwa kusaga protini. Mfumo huo una muundo wa siri unaoweza kutapika kemikali zinazoua bakteria.
Watafiti kutoka Israel wanasema ugunduzi huu utabadilisha uelewa wetu wa jinsi mwili unavyolindwa dhidi ya maambukizi. Utafiti huu unatoa nafasi mpya ya kutafuta dawa mpya za antibiotiki ili kukabiliana na tatizo linaloongezeka la wadudu ambao ni sugu kwa dawa zetu za sasa.
Mfumo huu upo katika proteasome – eneo dogo ambalo lipo katika kila seli ya mwili. Kazi yake kuu ni kukata protini kongwe na kuzifanya vipande vidogo ili ziweze kuchakatwa na kutengenezwa kuwa protini mpya.
Source: BBC News
Ugunduzi huu unazidi kuthibitisha unabii wa Danieli kuwa siku za mwisho maarifa yataongezeka.
"Lakini wewe, Danieli, yafunge maneno haya, ukatie muhuri kitabu hata wakati wa mwisho; wengi wataenda mbio huko na huko, na maarifa yataongezeka." (Danieli 12:4)
Israeli imebarikiwa katika maeneo mengi ya kiuchumi, kiteknolojia na kiafya kama Mungu alivyoahidi:
"Nitakufanya wewe kuwa taifa kubwa, na kukubariki, na kulikuza jina lako; nawe uwe baraka; Nami nitawabariki wakubarikio, na yeye akulaaniye nitamlaani; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa."( Mwanzo 12:2-3).
View attachment 3265867
Sio kesi, swali la msingi ni kwamba ulitaka ku-mislead watu ndio hoja kuu.Bado unamsimamo wako wa Israel ni taifa la wayahudi pekee sio?Unaumizaje kichwa kama habari unayoijua iko akilini mwako au moyoni mwako. Kuumiza kichwa maana yake utaanza kupekua commentaries, Bible dictionaries nk. Na ukifanya hivyo usiseme unajua, sema umejuzwa!
Utawabarikije watu wamemsulubu mwanao?Kutoamini kwao hakuondoi ahadi ya Mungu kwao. Mungu alisema atawabariki. Period