Mbona hawa wa sasa ni uzao wa Yakobo vile vile?Jamani hili somo si kila siku nawapa hamjapata kuelewa hadi leo?Israel iliyotajwa kwenye biblia sio hii Israel mnayosema leo(Israel ya kisiasa).Acheni kuchanganya mambo(Biblia inataja uzao wa Jacob kama Isreal .Watoto 12 wa Jacob ndio maana halisi ya Israel.Unajua wapo wapi?unadhani ni hawa kina Netanyahu?sio kweli)
Ukinitukana unanipongeza, napata nguvu zaidi ya kuandika. Halafu wewe usipotubu, moto wa jehanam unakusubiri.Kichwa maji
Waliotawala mashariki ya kati na kuigawanya. Kwani, hujui, mbona rahisi?Wazungu wa wapi?
Hao bado wanaongozwa na sheria ya Agano la Kale ya jino kwa jino. Ukiwachokoza utakipata tu chamoto. Hata hivyo ahadi ya Mungu haijabadilika juu yao, ndiyo sababu unaona wanaendelea kubarikiwa.Naona unaleta propaganda za wauaji wa kizayuni
Kwa mtoto yupi maana Yakobo ana vizazi 12Mbona hawa wa sasa ni uzao wa Yakobo vile vile?
Kuvurugwa is InevitableDaah Siku nafikia akili za ki mateka kama hizi za mtoa mada naomba mniuwe tuu sitakuwa na faida katika hi dunia tena.
Hebu tumiaeni hata robo ya akili zenu nyie watu wa dini jamani ..
kuna muda unaweza dhani mtu hana Ubongo kichwani, Unaweza dhani mtu kichwa chake ni kama kifuniko cha mwili kwa namna dini zimewafanya mataira.
Hehehe!!!Uharo mtupu, mada ni "Kugundulika kwa mfumo Mpya WA kinga ya mwili". Maelezo mengi Ni kuhusu utukufu wa Israel.
Wewe na Father of All naomba niwajibu kwa pamoja. Waisraeli wa sasa ni mchanganyiko wa Wayahudi kutoka sehemu mbalimbali za dunia, lakini asili yao inahusiana moja kwa moja na Wayahudi wa kale wa Mashariki ya Kati. Ngoja nikupe ufafanuzi wa kihistoria:Jamani hili somo si kila siku nawapa hamjapata kuelewa hadi leo?Israel iliyotajwa kwenye biblia sio hii Israel mnayosema leo(Israel ya kisiasa).Acheni kuchanganya mambo(Biblia inataja uzao wa Jacob kama Isreal .Watoto 12 wa Jacob ndio maana halisi ya Israel.Unajua wapo wapi?unadhani ni hawa kina Netanyahu?sio kweli)
Pole sana TOHATO , naona Israeli unaichukia kama ukoma, lakini hamna namna. Mungu alishasema atawabariki, ni lazima wabarikiwe. Ila jihadhari, usiwalaani Israeli. Waliowalaani wanajuta.Daah Siku nafikia akili za ki mateka kama hizi za mtoa mada naomba mniuwe tuu sitakuwa na faida katika hi dunia tena.
Hebu tumiaeni hata robo ya akili zenu nyie watu wa dini jamani ..
kuna muda unaweza dhani mtu hana Ubongo kichwani, Unaweza dhani mtu kichwa chake ni kama kifuniko cha mwili kwa namna dini zimewafanya mataira.
Ushindwe.Ameeeeen