Kigugumiza
JF-Expert Member
- Mar 7, 2022
- 508
- 687
Alomsnich Maalim Seif ni nani? Mbona nae alikufa? Kila roho itaonja mauti na huyu mama yako / m/kiti wa muda wote ataonja tu siku na muda wowote.
Inawezekana aliyemsnich Maalif seif hakujua kama naye ipo siku watamsnich,kama alivyotaka kumsnich Tundu lissuAlomsnich Maalim Seif ni nani? Mbona nae alikufa? Kila roho itaonja mauti na huyu mama yako / m/kiti wa muda wote ataonja tu siku na muda wowote.
Mnasnitchiana wenyewe kwa wenyewe na kusingizia watawala ili kutafuta huruma kwa wananchi.Inawezekana aliyemsnich Maalif seif hakujua kama naye ipo siku watamsnich,kama alivyotaka kumsnich Tundu lissu
Samia ndiye ametengeneza maskini zaidi, ndio maana unaona panya lodi wamerudi kwa Kasi sana mjini, Sasahivi kuna mahali ikifika saa 2 usiku haiwezekani kukatiza peke yako unakabwa uporaji umeanza upya, wakati wa Magufuri hayo mambo yalisahaulika, sababu Magufuri aliruhusu kila Mtu atafute riziki yake anavyoona inafaa ilimradi asivunje sheria za mchi, mambo ya dili dili yalikwisha,kila mtu alifanya kazi, Sasahivi alivyoingia Yezabali mambo yote kayavuruga machinga/Mama lishe wote wametimliwa hata ambapo hakukuwa na umuimu wowote Wakati hao watu walikuwa na family zinawategemea.Politics haihitaji watu rough kama magufuri
Inahitaji watu Fine tuned wanaoweza kushaulika kama Rais samia au kikwete.
Ukitesa matajiri usidhani utawafurahisha masikini zaidi unawabrainwash tu na kuwafanya kuwa fukara zaidi.
Magufuri nchi ilikua imemshinda Lakini Rais Samia ameiweza.
Samia hana Kukurupuka kama mtangulizi wake.
Even evil men like Adolph Hitler wrote history
Nenda kasone Sheria ya Uchaguzi na Katiba ya JMT unionyeshe Ibara au kifungu kinachoruhusu kumshtaki aliyetangazwa kuwa ni mshindi wa Uchaguzi wa Rais. Siyo mnaandika tu kufurahisha baraza hapa. Magufuli alipewa ushindi na NEC ikishirikiana na TISS na Police.Unaweza ukaweka ushahidi wa wizi hadharani au ni ule ule umbeya wa facebook na twitter?. Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi?.
Samia anahangaika anatembea duniani nzima na anapata pesa zinazotekeleza miradi mbali mbali, na yeye ikifika 2025 akipata ushindi wa asilimia 85 au 90 ataambiwa kaiba kura!!.
Hizi ni akili ambazo haziwezi kumshawihi mtu makini akaziunga mkono. Kumbuka kuna maisha ya nyuma ya keyboard na kuna yale ya mtaani, ni vitu viwili tofauti.
Anayetaka ushahidi wa wizi wa kura za Uchaguzi wa 2020 anaweza kuwa ni Member wa Sukuma Gang, Mtanzania anayeishi nje na hayuko connected na habari za Nchi yetu, mtoto mdogo under 18, mgonjwa aliyekuwa kwenye critical condition na kichaa.Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Hakuwa anakubalika na alikuwa mwoga mno wa demokrasia.Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Na sio Tanzania tu, bali ni Africa nzima na baadhi ya nchi zingine za nje ya Africa. Swala la wapinzani na baadhi ya watawala kulalamika kuibiwa kura ni la kawaida. Mfano wa nchi hizo ni Belarus, Venezuela, Donald Trump USA nk.Wewe naona ni mtoto wa juzi,tokea enzi za akina Mrema wakilalamika kuibiwa kura na Ccm,2005 mbowe aliunga juudi kwababu Chadema ilikuwa haina nguvu ilikuwa na mbunge mmoja, lakini Lipumba alilamika CUF wakilalamika kuibiwa kura hasa Zanzibar ndio maana Lipumba hakutokea wakati wa kuapisha rais, akuna uchaguzi uliwahi pita bila kelele za upinzani kuibiwa kura fatilia vizuri.
Labda wananchi wa Chato,hao raia walisombelewa na malori.HatujasahauNi wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?
Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.
Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.
Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!
Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.
Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.
Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.
Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.
Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.
Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Hili swali Lina majibu kabisa napigia tu magari wazee wa legacy wajiuwe.Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Hilo ndio kubwa ambalo tunamkumbuka naloMbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Zile ni propaganda tuWatetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Kama unabisha mtafute sa100 muulize kuhusu chanjo yake ya covid nini kilimkuta hadi sasa kaufyata ...atusikii tena nyokonyoko za kovidiWatetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Magufuli never won anything.The winners write History, ulishawahi kuusikia na kuulewa huo msemo?
Wizi ulikuwa hivi.Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?