Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Alomsnich Maalim Seif ni nani? Mbona nae alikufa? Kila roho itaonja mauti na huyu mama yako / m/kiti wa muda wote ataonja tu siku na muda wowote.

Inawezekana aliyemsnich Maalif seif hakujua kama naye ipo siku watamsnich,kama alivyotaka kumsnich Tundu lissu
 
Mnasnitchiana wenyewe kwa wenyewe na kusingizia watawala ili kutafuta huruma kwa wananchi.
 
Politics haihitaji watu rough kama magufuri
Inahitaji watu Fine tuned wanaoweza kushaulika kama Rais samia au kikwete.

Ukitesa matajiri usidhani utawafurahisha masikini zaidi unawabrainwash tu na kuwafanya kuwa fukara zaidi.

Magufuri nchi ilikua imemshinda Lakini Rais Samia ameiweza.

Samia hana Kukurupuka kama mtangulizi wake.
Samia ndiye ametengeneza maskini zaidi, ndio maana unaona panya lodi wamerudi kwa Kasi sana mjini, Sasahivi kuna mahali ikifika saa 2 usiku haiwezekani kukatiza peke yako unakabwa uporaji umeanza upya, wakati wa Magufuri hayo mambo yalisahaulika, sababu Magufuri aliruhusu kila Mtu atafute riziki yake anavyoona inafaa ilimradi asivunje sheria za mchi, mambo ya dili dili yalikwisha,kila mtu alifanya kazi, Sasahivi alivyoingia Yezabali mambo yote kayavuruga machinga/Mama lishe wote wametimliwa hata ambapo hakukuwa na umuimu wowote Wakati hao watu walikuwa na family zinawategemea.
 
Even evil men like Adolph Hitler wrote history

Haujaelewa maana ya huo msemo, maana yake ni kwamba anayeshinda vita ndiye anayeamua jinsi ya kumuelezea aliyemshinda, kwa maana nyingine Magufuli hayupo kujitetea hivyo walioshinda ambao bado wako hai na wamepora power watamsema na kumsingizia chochote wanachotaka kwa maana hayupo kujitetea.

Hivyo ni kama wewe unavyofanya sasa hivi kumsingizia na kumlaumu Magufuli kwa kila jambo lkn watu siyo wajinga wanaona yanayoendelea na wanaweza kulinganisha na kuujua ukweli, got it ?
 
Unaweza ukaweka ushahidi wa wizi hadharani au ni ule ule umbeya wa facebook na twitter?. Unaweza ukaenda mahakamani kufungua kesi kwa haya uliyoyaanzishia kabisa uzi au ndio kilio kilio kile kisicho na sababu za msingi?.

Samia anahangaika anatembea duniani nzima na anapata pesa zinazotekeleza miradi mbali mbali, na yeye ikifika 2025 akipata ushindi wa asilimia 85 au 90 ataambiwa kaiba kura!!.

Hizi ni akili ambazo haziwezi kumshawihi mtu makini akaziunga mkono. Kumbuka kuna maisha ya nyuma ya keyboard na kuna yale ya mtaani, ni vitu viwili tofauti.
Nenda kasone Sheria ya Uchaguzi na Katiba ya JMT unionyeshe Ibara au kifungu kinachoruhusu kumshtaki aliyetangazwa kuwa ni mshindi wa Uchaguzi wa Rais. Siyo mnaandika tu kufurahisha baraza hapa. Magufuli alipewa ushindi na NEC ikishirikiana na TISS na Police.
 
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Anayetaka ushahidi wa wizi wa kura za Uchaguzi wa 2020 anaweza kuwa ni Member wa Sukuma Gang, Mtanzania anayeishi nje na hayuko connected na habari za Nchi yetu, mtoto mdogo under 18, mgonjwa aliyekuwa kwenye critical condition na kichaa.

Chagua kundi lako voicer
 
Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Hakuwa anakubalika na alikuwa mwoga mno wa demokrasia.
 
Wewe naona ni mtoto wa juzi,tokea enzi za akina Mrema wakilalamika kuibiwa kura na Ccm,2005 mbowe aliunga juudi kwababu Chadema ilikuwa haina nguvu ilikuwa na mbunge mmoja, lakini Lipumba alilamika CUF wakilalamika kuibiwa kura hasa Zanzibar ndio maana Lipumba hakutokea wakati wa kuapisha rais, akuna uchaguzi uliwahi pita bila kelele za upinzani kuibiwa kura fatilia vizuri.
Na sio Tanzania tu, bali ni Africa nzima na baadhi ya nchi zingine za nje ya Africa. Swala la wapinzani na baadhi ya watawala kulalamika kuibiwa kura ni la kawaida. Mfano wa nchi hizo ni Belarus, Venezuela, Donald Trump USA nk.
 
Usituchoshe mzee,

Ukweli unao hapohapo ulipo, Pita mtaani kwako uliza watu angalau 300 tu ( bibi+babu 150, Vijana ke+me 150)

Waulize kati ya marehemu na hao alioshindanishwa nao wanamkubali nani.

Majibu kaa nayo usihangaike kutuletea kwasababu yanajulikana
 
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Labda wananchi wa Chato,hao raia walisombelewa na malori.Hatujasahau
 
Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Hili swali Lina majibu kabisa napigia tu magari wazee wa legacy wajiuwe.
 
Ccm huwa wanapenda sana kulazimisha mambo na kufanya mazingara.
Watanzania pia kwa asili wanapenda kusisimuliwa na amsha amsha.Mihadhara ya CCM ilikusanya wasanii na shamra shamra kibao lazima jobless, na wanaopenda unyonge wajae kwenda kudanganywa.
 
Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Zile ni propaganda tu
 
Kama unabisha mtafute sa100 muulize kuhusu chanjo yake ya covid nini kilimkuta hadi sasa kaufyata ...atusikii tena nyokonyoko za kovidi
 
Ni wapi na ulipo ushahidi wa kuthibitisha madai ya wizi wa kura uliofanywa na magufuli ?

Unapoandika uzi kwenye jukwaa hili hasa kuwahusu viongozi hao wa kitaifa ni vema unatuwekea ushahidi na sio dhana fikirika.

Halafu unapaswa kujiuliza swali moja.

Chadema walidai kukamata begi la Kura feki walizodai ilikuwa zitumbukizwe kwenye kasha la kura!

Lakini Chadema hao hao ndio waliochoma hilo begi badala ya kulitunza na kura hizo ili ziwe kidhibiti muhimu sana baada ya uchaguzi.

Wewe uliona wapi mtu kuchoma ushahidi muhimu ambao ungeisaidia Dunia kuujua ukweli?.

Magufuli alikuwa ndani ya mioyo ya wananchi kutokana na alivyokuwa akisimamia mambo na kuhakikisha yanatendeka ipasavyo na kwa wakati.

Kama binadamu alikuwa na mapungufu yake pia.
Lakini hayakuweza kufunika yale mengi mazuri aliyokuwa ameyaasisi.

Vema mumuache alikotangulia kwenye haki ya kweli na nyinyi mliobaki hai bado.
Mngejikita kupambana na yaliyo mbele yenu kuliko kila kukicha mnapambana na mtu aliyekwisha lala milele.

Hii pia ni uthibitisho kwamba Magufuli alikuwa anakubalika na bado anawanyima usingizi mlio hai,kwa kivuli chake tu.View attachment 2240240
Wizi ulikuwa hivi.
Siku moja kabla ya uchaguzi pale ccm kinondoni walichukuliwa vijana kutoka mitaani wakafungiwa ndani na kurlekezwa wapige kura yaani kutiki karatasi kwa mgombea wa ccm . Waliahidiwa 5000 lakini hawajapewa mpaka leo. Haya mambo yalifanyika nchi nzima hata kule kasulu kwenye jumba la maendeleo.
Siku ya kupiga kura.
Vituo vilifunguliwa saa 9 usiku. Kura zilizopigwa ziliingizwa kwenye masanduku . Mchana kuna watu walipewa kura waliingia nazo na kutumbukiza. Ma Ded na DSOs walihakikisha wasimamizi wa uchaguzi wanakuwa wale watumishi wa umma ma pro ccm wasiojielewa
 
Back
Top Bottom