Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Hivi hujui kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulipo ibiwa Magufuli alikua na Samia. Pia alipokuwa anafanya biashara ya Kununua wapinzani, walikuwa wote na Samia!
Ukimpenda Samia, by default unampenda Magufuli, hamna jinsi! Hawa watu ni wale wale tafouti ni ubara na upwani tu!
 
Mkuu pesa zinazochukuliwa kama mikopo huko nje na kuja nchini zinafanya kazi kubwa sana. Hizi kelele zenu za JF zinawapotezea muda.

Mkuu hicho kilimo kina bajeti ya bilioni 700 kwa sasa kulinganisha na bilioni 200, maana yake wigo wa utendaji umeongezeka.

Sasa nyinyi kaeni na hizi lawama zenu wakati maisha ya mwananchi wa kawaida huko vijijini wanaguswa moja kwa moja.

Tunavyoongea hivi sasa kuna mabadiliko makubwa yanafanywa kuhusiana na masuala mazima ya ajira za watu na mishahara ya wafanyakazi.

Hiyo 2025 waibe kura kwa sababu zipi?. Mnaaminishwa upuuzi wa kina Halima Mdee na nyie mmeingia mazima mazima mkadanganyika.
 
Kuwepo kwa vifungu hakuna uhusiano wa moja kwa moja na serikali inayofikisha inayochatakiwa kimfikie mwananchi wa kawaida.

JPM hakustahili kupewa ushindi alipambana na kuupata urais baada ya kutumikia umaa wa watanzania. Wale waliomsindikiza mwili wake mpaka uwanja wa ndege kule ndege ni ushahidi wa kile alichokifanya kwa nguvu na akili kati ya 2015 - 2020.
 
Eti Magufuli aliiba kura! kuna watu ni kama wamechanganyikwa aisee. Utendaji kazi mpaka Samia juzi kapewa nishani kwa niaba yake halafu aibe kura.
 
Kuna tofauti. Magufuli aliiba kipumbavu. Wenzie huiba kura za uRais tu ila yeye aliiba mpaka za vitongoji, Serikali za Mitaa hadi udiwani na ubunge. Matokeo yake ndilo hili bunge la wapiga sarakasi. Mungu alijuwa hila mbaya aliyokuwa nayo ya kutawala milele akaamua kumpeleka jehanam
 
Una point ila kuna sehemu unateleza. Kusema wenzake waliiba za uraisi tu, hii sio kweli. Kura za ubunge, udiwani na uenyekiti zinaibwa miaka mingi tu, Ila kwa Magufuli ilikuwa zaidi(point ipo hapo).
 
Kwa akili yako ndogo unadhani Lissu angelimshida Magufuri kwa kura?tunaingia kwenye uchaguzi Wabunge pamoja na madiwaniwote walikuwa wameunga juudi kwa kujiunga CCM,sasa upinzani ungelishinda vipi Wakati makamanda wao waliisha jisalimisha CCM? acheni kumsingizia Jpm upinzani ndio hauna mipango madhubuti,Wakina mbowe nibendera fuata upepo,wanageuza gia angani eti waje kushinda Ccm.
 
Hilo ndio kubwa ambalo tunamkumbuka nalo
Wewe vipi ? Unamsifia hata kwa maamuzi ya korosho kwa kuwa ni maamuzi? Unamkumbuka hata kwa maamuzi ya kutopandisha mishahara wafanyakazi kwa vile ni maamuzi? Be serious Idimi
 
Baada ya Kuona HAKUBALIKI njia pekee ya kuwa RAIS aliamua kuiba kura lakini kwa kuwa MUNGU ni FUNDI hakufaidi MATUNDA ya WIZI wake

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hujui kitu!! Samia alikwishataka kubwaga manyanga kazi ya uVP mara mbili, akarudhishwa na wazee wa CCM
 
Magufuli alijadili na kuamua kufanya mambo mengi na msaidizi wake mkuu Rais wa sasa Bi. Samia.

Walishirikiana bega kwa bega.
Huko nyuma nikiri tulitoa taarifa za uwongo katika maeneo mengi.

Samia Suluhu akiwa Newyork katika ziara ya Royal tour
 
Sawa
 

Wizi wa kura tuliona kwa macho yetu, na hakuna popote tulisubiri kuambiwa na Halima Mdee. Na ushahidi wa wizi huo wengi tunao, Halima Mdee alitoa ushahidi wa maeneo yake, ila uhayawani huo ulifanyika kila mahali. Kwa utetezi huu sintoshangaa kuona unasema hakuna wanaccm waliopita bila kupingwa, bali ni uzushi tu.

Hizo bilioni 700b ni bajeti tu ya kwenye makaratasi, utekelezaji wake zinaweza zisifike hata 200b, tuna uzoefu na bajeti za porojo za nchi hii boss. Mabadiliko ya mishahara ni ya wafanyakazi ili kuendana na kupanda kwa gharama za maisha, ila sio ongezeko la kubadilisha maisha ya wafanyakazi wachache wa umma.

Isitoshe kura sio lazima upate kisa umetoa hela ya kilimo. Kura watu wanatoa kwa mapenzi yao, na atakayepata ushindi ndio atatumia kodi ya wananchi kutekeleza mahitaji yao.
 
Endelea kuwa na imani zako mkuu, hakuna wa kuhangaika na wewe. Pingapinga katika ubora wenu.
 
Eti Magufuli aliiba kura! kuna watu ni kama wamechanganyikwa aisee. Utendaji kazi mpaka Samia juzi kapewa nishani kwa niaba yake halafu aibe kura.
Hapo ndiyo utajua kuna tofauti kubwa sana kati ya;

- Watu

- Mawatu

- Majitu

- Mijitu

- Miwatu

- Vijitu

Wanaomkubali JPM hata kwa kiasi flani ni Watu kuliko wanaomkataa kabisa kabisa.
 
Ushaboronga! CHADEMA ilikua na mbunge mmoja?? Kaborou? Ndesapesa?, Dr Slaa? 2005 tulishakua na Halmashauri tatu what are you talking about, eti chama kidogo?

Hao CUF mbona 2010 walikubali matokeo? Same as ACT 2015 walikubali matokeo.

So Kila nyakati kuna wapinzani wanaokubali na wanaokataa based on expectations na facts. Usi-generalize unakosea maana context ni tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…