Hivi hujui kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulipo ibiwa Magufuli alikua na Samia. Pia alipokuwa anafanya biashara ya Kununua wapinzani, walikuwa wote na Samia!Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Ukimpenda Samia, by default unampenda Magufuli, hamna jinsi! Hawa watu ni wale wale tafouti ni ubara na upwani tu!