Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Hivi hujui kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulipo ibiwa Magufuli alikua na Samia. Pia alipokuwa anafanya biashara ya Kununua wapinzani, walikuwa wote na Samia!
Ukimpenda Samia, by default unampenda Magufuli, hamna jinsi! Hawa watu ni wale wale tafouti ni ubara na upwani tu!
 
Hivi unadhani unaongea na watoto ama? Huenda mnafikiri tumesahau ukweli wa wizi ule. Taarifa za wizi ule na mabox ya kura fake yalikamatwa na kupelekwa polisi, na polisi walikaa kimya. Kibaya zaidi polisi walikuwa sehemu ya ulinzi wa kura zile za wizi ili zifike vituoni! Ushahidi wa haya upo wazi, lakini unaenda kushitaki wapi ambapo hapakuwa sehemu ya utawala wa kihayawani wa Magufuli?

Hakuna uchaguzi uliopata kuwa na uvunjifu wa sheria kama ule. Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mkuu pesa zinazochukuliwa kama mikopo huko nje na kuja nchini zinafanya kazi kubwa sana. Hizi kelele zenu za JF zinawapotezea muda.

Mkuu hicho kilimo kina bajeti ya bilioni 700 kwa sasa kulinganisha na bilioni 200, maana yake wigo wa utendaji umeongezeka.

Sasa nyinyi kaeni na hizi lawama zenu wakati maisha ya mwananchi wa kawaida huko vijijini wanaguswa moja kwa moja.

Tunavyoongea hivi sasa kuna mabadiliko makubwa yanafanywa kuhusiana na masuala mazima ya ajira za watu na mishahara ya wafanyakazi.

Hiyo 2025 waibe kura kwa sababu zipi?. Mnaaminishwa upuuzi wa kina Halima Mdee na nyie mmeingia mazima mazima mkadanganyika.
 
Nenda kasone Sheria ya Uchaguzi na Katiba ya JMT unionyeshe Ibara au kifungu kinachoruhusu kumshtaki aliyetangazwa kuwa ni mshindi wa Uchaguzi wa Raia. Siyo mnaandika tu kufurahisha baraza hapa. Magufuli alipewa ushindi na NEC ikishirikiana na TISS na Police.
Kuwepo kwa vifungu hakuna uhusiano wa moja kwa moja na serikali inayofikisha inayochatakiwa kimfikie mwananchi wa kawaida.

JPM hakustahili kupewa ushindi alipambana na kuupata urais baada ya kutumikia umaa wa watanzania. Wale waliomsindikiza mwili wake mpaka uwanja wa ndege kule ndege ni ushahidi wa kile alichokifanya kwa nguvu na akili kati ya 2015 - 2020.
 
*Vyeti feki.

*Watumbuliwa kazi kwa ufisadi.

*Wazibiwa mianya ya upigaji madili.

*Wauzaji wa madawa ya kulevya.

*Wasafirisha magendo.

*Wakwepa malipo ya kodi

*Wasiompenda JPM bila sababu ya msingi.

Unadhani hao wote, wataacha kutafuta visababu uchwara kuja kumchafua mwamba JPM kuhusu legacy yake [emoji848][emoji28]

Wahuni wasiozidi watu 300, wanaolipwa kila siku posho kwa sababu ya kuchafua legacy na kukubalika kwa Hayati JPM kwa wa-TZ hapa online kusikutishe, wa-TZ si wajinga kuamini huo upumbavu [emoji2]
Eti Magufuli aliiba kura! kuna watu ni kama wamechanganyikwa aisee. Utendaji kazi mpaka Samia juzi kapewa nishani kwa niaba yake halafu aibe kura.
 
Kwani nilini upinzani uliwahi kukiri kuwa uchaguzi umefanyika pasipo mizengwe tokea enzi za mkapa?kila siku wapinzani uchaguzi udai wameibiwa,taja niuchaguzi hupi wapinzani waliwai kukili kushindwa kiaharali?hili la kuibiwa kura halijaanza kwa Magufuri acha ujinga toka enzi za mkapa wimbo ni huu wa kuibiwa kura,pili hili la kununua wapinzani ni mbinu ya mchezo hata Chadema waliwachua Lowassa na Nyarandu na Sumae ili waweze kushindana na Ccm,sema Chadema walizidiwa kete.
Kuna tofauti. Magufuli aliiba kipumbavu. Wenzie huiba kura za uRais tu ila yeye aliiba mpaka za vitongoji, Serikali za Mitaa hadi udiwani na ubunge. Matokeo yake ndilo hili bunge la wapiga sarakasi. Mungu alijuwa hila mbaya aliyokuwa nayo ya kutawala milele akaamua kumpeleka jehanam
 
Una point ila kuna sehemu unateleza. Kusema wenzake waliiba za uraisi tu, hii sio kweli. Kura za ubunge, udiwani na uenyekiti zinaibwa miaka mingi tu, Ila kwa Magufuli ilikuwa zaidi(point ipo hapo).
 
Kuna tofauti. Magufuli aliiba kipumbavu. Wenzie huiba kura za uRais tu ila yeye aliiba mpaka za vitongoji, Serikali za Mitaa hadi udiwani na ubunge. Matokeo yake ndilo hili bunge la wapiga sarakasi. Mungu alijuwa hila mbaya aliyokuwa nayo ya kutawala milele akaamua kumpeleka jehanam
Kwa akili yako ndogo unadhani Lissu angelimshida Magufuri kwa kura?tunaingia kwenye uchaguzi Wabunge pamoja na madiwaniwote walikuwa wameunga juudi kwa kujiunga CCM,sasa upinzani ungelishinda vipi Wakati makamanda wao waliisha jisalimisha CCM? acheni kumsingizia Jpm upinzani ndio hauna mipango madhubuti,Wakina mbowe nibendera fuata upepo,wanageuza gia angani eti waje kushinda Ccm.
 
Hilo ndio kubwa ambalo tunamkumbuka nalo
Wewe vipi ? Unamsifia hata kwa maamuzi ya korosho kwa kuwa ni maamuzi? Unamkumbuka hata kwa maamuzi ya kutopandisha mishahara wafanyakazi kwa vile ni maamuzi? Be serious Idimi
 
Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Baada ya Kuona HAKUBALIKI njia pekee ya kuwa RAIS aliamua kuiba kura lakini kwa kuwa MUNGU ni FUNDI hakufaidi MATUNDA ya WIZI wake

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Hivi hujui kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa ulipo ibiwa Magufuli alikua na Samia. Pia alipokuwa anafanya biashara ya Kununua wapinzani, walikuwa wote na Samia!
Ukimpenda Samia, by default unampenda Magufuli, hamna jinsi! Hawa watu ni wale wale tafouti ni ubara na upwani tu!
Hujui kitu!! Samia alikwishataka kubwaga manyanga kazi ya uVP mara mbili, akarudhishwa na wazee wa CCM
 
Magufuli alijadili na kuamua kufanya mambo mengi na msaidizi wake mkuu Rais wa sasa Bi. Samia.

Walishirikiana bega kwa bega.
Huko nyuma nikiri tulitoa taarifa za uwongo katika maeneo mengi.

Samia Suluhu akiwa Newyork katika ziara ya Royal tour
 
Politics haihitaji watu rough kama magufuri
Inahitaji watu Fine tuned wanaoweza kushaulika kama Rais samia au kikwete.

Ukitesa matajiri usidhani utawafurahisha masikini zaidi unawabrainwash tu na kuwafanya kuwa fukara zaidi.

Magufuri nchi ilikua imemshinda Lakini Rais Samia ameiweza.

Samia hana Kukurupuka kama mtangulizi wake.
Sawa
 
Mkuu pesa zinazochukuliwa kama mikopo huko nje na kuja nchini zinafanya kazi kubwa sana. Hizi kelele zenu za JF zinawapotezea muda.

Mkuu hicho kilimo kina bajeti ya bilioni 700 kwa sasa kulinganisha na bilioni 200, maana yake wigo wa utendaji umeongezeka.

Sasa nyinyi kaeni na hizi lawama zenu wakati maisha ya mwananchi wa kawaida huko vijijini wanaguswa moja kwa moja.

Tunavyoongea hivi sasa kuna mabadiliko makubwa yanafanywa kuhusiana na masuala mazima ya ajira za watu na mishahara ya wafanyakazi.

Hiyo 2025 waibe kura kwa sababu zipi?. Mnaaminishwa upuuzi wa kina Halima Mdee na nyie mmeingia mazima mazima mkadanganyika.

Wizi wa kura tuliona kwa macho yetu, na hakuna popote tulisubiri kuambiwa na Halima Mdee. Na ushahidi wa wizi huo wengi tunao, Halima Mdee alitoa ushahidi wa maeneo yake, ila uhayawani huo ulifanyika kila mahali. Kwa utetezi huu sintoshangaa kuona unasema hakuna wanaccm waliopita bila kupingwa, bali ni uzushi tu.

Hizo bilioni 700b ni bajeti tu ya kwenye makaratasi, utekelezaji wake zinaweza zisifike hata 200b, tuna uzoefu na bajeti za porojo za nchi hii boss. Mabadiliko ya mishahara ni ya wafanyakazi ili kuendana na kupanda kwa gharama za maisha, ila sio ongezeko la kubadilisha maisha ya wafanyakazi wachache wa umma.

Isitoshe kura sio lazima upate kisa umetoa hela ya kilimo. Kura watu wanatoa kwa mapenzi yao, na atakayepata ushindi ndio atatumia kodi ya wananchi kutekeleza mahitaji yao.
 
Endelea kuwa na imani zako mkuu, hakuna wa kuhangaika na wewe. Pingapinga katika ubora wenu.
 
Eti Magufuli aliiba kura! kuna watu ni kama wamechanganyikwa aisee. Utendaji kazi mpaka Samia juzi kapewa nishani kwa niaba yake halafu aibe kura.
Hapo ndiyo utajua kuna tofauti kubwa sana kati ya;

- Watu

- Mawatu

- Majitu

- Mijitu

- Miwatu

- Vijitu

Wanaomkubali JPM hata kwa kiasi flani ni Watu kuliko wanaomkataa kabisa kabisa.
 
Wewe naona ni mtoto wa juzi,tokea enzi za akina Mrema wakilalamika kuibiwa kura na Ccm,2005 mbowe aliunga juudi kwababu Chadema ilikuwa haina nguvu ilikuwa na mbunge mmoja, lakini Lipumba alilamika CUF wakilalamika kuibiwa kura hasa Zanzibar ndio maana Lipumba hakutokea wakati wa kuapisha rais, akuna uchaguzi uliwahi pita bila kelele za upinzani kuibiwa kura fatilia vizuri.
Ushaboronga! CHADEMA ilikua na mbunge mmoja?? Kaborou? Ndesapesa?, Dr Slaa? 2005 tulishakua na Halmashauri tatu what are you talking about, eti chama kidogo?

Hao CUF mbona 2010 walikubali matokeo? Same as ACT 2015 walikubali matokeo.

So Kila nyakati kuna wapinzani wanaokubali na wanaokataa based on expectations na facts. Usi-generalize unakosea maana context ni tofauti.
 
Back
Top Bottom