zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuwa na imani zako mkuu, hakuna wa kuhangaika na wewe. Pingapinga katika ubora wenu.
Usikariri maisha mkuu. Na usiwe unaishi kwa kutegemea mabaya tu.Nimecheka, eti 700b kwenye kilimo. Nakumbuka bajeti ya dawa ilipandishwa kutoka 37b to 200b, njoo kwenye utekelezaji sasa ni aibu tu.
Hakuna kesi iliyofunguliwa maana hata kabla ya uchaguzi tayari kuna wagombea ubunge zaidi ya 100 mliwa disqualify kutoka upinzani.Wabunge wangapi wamerudi bungeni baada ya kushinda kesi zao mahakamani?, Labda tunaishi Tanzania tofauti.
Wabunge wangapi wamerudi bungeni baada ya kushinda kesi zao mahakamani?, Labda tunaishi Tanzania tofauti.
Mkuu Hawa CCM wanatufanya wajinga, kelele nyingi kwenye karatasi ikija utekelezaji changamoto. 2020 waliahidi meli 5 za uvuvi bahari ya Hindi mpaka Leo hata mtumbwi tu hawajaleta wamebakia kufanya makongamano ya blue economy bila vitendo.Nimecheka, eti 700b kwenye kilimo. Nakumbuka bajeti ya dawa ilipandishwa kutoka 37b to 200b, njoo kwenye utekelezaji sasa ni aibu tu.
Anuani za makazi tu Msemaji wa serikali anasema walipanga bajeti ya bil 740, Ila iliyotoka ni bil 28.Nimecheka, eti 700b kwenye kilimo. Nakumbuka bajeti ya dawa ilipandishwa kutoka 37b to 200b, njoo kwenye utekelezaji sasa ni aibu tu.
My footMagufuli ndio Rais bora kabisa wa wakati wetu. Hana mpinzani.
Yes lakini maamuzi ya kutotumia busara sanaMbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Power is very dangerous without contol, aliamua vitu vingi sana kibabe na havikuwa na tija , chato airport mfano hai .Mbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Mkuu Hawa CCM wanatufanya wajinga, kelele nyingi kwenye karatasi ikija utekelezaji changamoto. 2020 waliahidi meli 5 za uvuvi bahari ya Hindi mpaka Leo hata mtumbwi tu hawajaleta wamebakia kufanya makongamano ya blue economy bila vitendo.
Anuani za makazi tu Msemaji wa serikali anasema walipanga bajeti ya bil 740, Ila iliyotoka ni bil 28.
Muandishi wa huu Uzi ni zero brain.Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.
Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?
Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.
You can be foolish but you can't fool us!!
Mbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Mbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Wewe mbwa Malaya Kama haujui matokeo ya uraisi hayapingwi mahakamani according to our constitution ndio maana tunataka katiba mpya nadhani nimeelewekaKelele tu kua jamaa aliiba kura, bt sad enough ni mwaka now since atangulie ila hakuna kesi mahakamani za kupiga matokeo.
Km ushahidi upo wa wizi wa kura ni kipi kinawazuia kufungua kesi mahakamani mkapata hali yenu?
If you cant prove on court without a reasonable doubt why daily mnalialia pembeni?
Km wameweza kufungua kesi ya kuzuia kuvuliwa ubunge ni kipi kimewashinda kufungua kesi ya kupinga matokeo?
Man up and Move on.
Basi ana chawa wengi sana karibu nchi nzimaKama ailikuwa anakubalika kwa kiasi hicho basi ni chawa wake waliokuwa wanamkubali na si vinginevyo!