Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Wanasema Hayati Magufuli Alikuwa Anakubalika sana: Kwanini basi aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 na Uchaguzi Mkuu 2020?

Wabunge wangapi wamerudi bungeni baada ya kushinda kesi zao mahakamani?, Labda tunaishi Tanzania tofauti.
Hakuna kesi iliyofunguliwa maana hata kabla ya uchaguzi tayari kuna wagombea ubunge zaidi ya 100 mliwa disqualify kutoka upinzani.

Mimi Jimbo langu hatukuwa na uchaguzi kabisa maana walipita bila kupingwa sasa ulitaka huko mahakamani aende nani? Pemba ngome ya ACT miaka yote eti CCM ishinde majimbo 90% embu acheni upuuzi.

Uzuri mmeanza kukiri warioba, Diallo, Msukuma, na nkamia wamekubali mliiba ndio sembuse wewe kapuku ambaye hata Lumumba hawakutambui? embicile
 
Nimecheka, eti 700b kwenye kilimo. Nakumbuka bajeti ya dawa ilipandishwa kutoka 37b to 200b, njoo kwenye utekelezaji sasa ni aibu tu.
Mkuu Hawa CCM wanatufanya wajinga, kelele nyingi kwenye karatasi ikija utekelezaji changamoto. 2020 waliahidi meli 5 za uvuvi bahari ya Hindi mpaka Leo hata mtumbwi tu hawajaleta wamebakia kufanya makongamano ya blue economy bila vitendo.
 
Nimecheka, eti 700b kwenye kilimo. Nakumbuka bajeti ya dawa ilipandishwa kutoka 37b to 200b, njoo kwenye utekelezaji sasa ni aibu tu.
Anuani za makazi tu Msemaji wa serikali anasema walipanga bajeti ya bil 740, Ila iliyotoka ni bil 28.
 
Kwani mkuu tuseme tu ukweli wewe umeshawahi kuiba mara ngapi tangu ujue kuiba ni dhambi? Hata kama ni kijiko au jibu la mtihani kwa mwenzio.
 
Mbali na mapungufu yake kama binadamu, jamaa alikuwa mtu wa maamuzi... RIP JPM
Power is very dangerous without contol, aliamua vitu vingi sana kibabe na havikuwa na tija , chato airport mfano hai .
 
Mkuu Hawa CCM wanatufanya wajinga, kelele nyingi kwenye karatasi ikija utekelezaji changamoto. 2020 waliahidi meli 5 za uvuvi bahari ya Hindi mpaka Leo hata mtumbwi tu hawajaleta wamebakia kufanya makongamano ya blue economy bila vitendo.
Anuani za makazi tu Msemaji wa serikali anasema walipanga bajeti ya bil 740, Ila iliyotoka ni bil 28.

Nimecheka kwa nguvu vibaya mno, halafu sijui wanadhani kila mtu ni mjinga wa kutujia hayo mambo. Hawajui sisi wenye akili zetu tumeshawajua utapeli wao. Halafu huwa nashangaa sana kila mwaka bajeti inaongezeka tarakimu, huku utekelezaji wake huwa haufiki hata 60%, sasa huwa najiuliza huwa wanamkoga nani kwa kutoa figure kubwa ya bajeti isiyotekelezeka?
 
Watetezi wa legacy ya Magufuli wanasema kuwa Jiwe Alikuwa anakubalika sana na "Wanyonge" kuliko Rais Samia aliyekumbatia matajiri.

Swali; Kama alikuwa anakubalika kwa nini aliiba Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vitongoji wa 2019 na Uchaguzi Mkuu wa 2020?

Kama alikuwa anakubalika kwannini alifanya biashara ya kununua wabunge wa CDM na CUF akina Silinde, Gekul, Katambi, Mtulia na Mollel.

You can be foolish but you can't fool us!!
Muandishi wa huu Uzi ni zero brain.
 
Muandishi wa huu Uzi ni zero brain.
Hivi kweli thread yenye comments 114 kwa massa 12 unasema mwandishi ni Zero Brain? Tafuta threads zilizo na less than 20 comments ndiyo uziite Zero brain. Pole sana mwanagezi pengine wewe ni mnufaika wa Magufuli
 
Kelele tu kua jamaa aliiba kura, bt sad enough ni mwaka now since atangulie ila hakuna kesi mahakamani za kupiga matokeo.
Km ushahidi upo wa wizi wa kura ni kipi kinawazuia kufungua kesi mahakamani mkapata hali yenu?
If you cant prove on court without a reasonable doubt why daily mnalialia pembeni?
Km wameweza kufungua kesi ya kuzuia kuvuliwa ubunge ni kipi kimewashinda kufungua kesi ya kupinga matokeo?
Man up and Move on.
Wewe mbwa Malaya Kama haujui matokeo ya uraisi hayapingwi mahakamani according to our constitution ndio maana tunataka katiba mpya nadhani nimeeleweka
 
Wakati wa kurudisha Fomu ilisababisha Mgombea wa ACT Pangani avae hijabu,
 
Back
Top Bottom