The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Eeh bana hizi nondo unashusha ukiwa wapi?Ummy tangu lini alikuwa mtendaji mzuri?
Kuna tofauti ya utendaji mzuri na uchawa mzuri.
Ummy katika uongozi wake ndio CAG alitoa ripoti uwepo wa kesi zaidi ya 40 za wanaume kuutapeli mfuko wa bima wa taifa NHIF baada ya kuonyesha wameandikiwa procedure ya Caesarean Section sasa tangu lini mwanaume akafanyiwa CS ??
Kwa kashfa kama ile ilitakiwa akae pembeni tena mbali kabisa.
Tukija katika mjadala katika mtazamo mwingine watu wanapokuwa wanapigania reforms mnaona kama ni za CHADEMA pekee ila reforms ni za muhimu ndio maana hadi jana Polepole kaona sasa umuhimu wa kuondoa kinga ya mashtaka ya rais .
Tanzania mamlaka ya urais yanabidi yapunguzwe na kinga ya mashtaka iondolewe.
Mtikila alipigania mgombea huru na hadi akafanikiwa kushinda ila CCM wakaweka giza mbele , sasa leo hii tungekuwa na wagombea huru si huyo Ummy angeepukana na fedheha za kukodi watu wakaandamane?
Tungekuwa na reforms za kikatiba na uchaguzi leo hii rais asingekuwa na uwezo ku-jeorpadize maamuzi yote ya kamati bali ilitakiwa kuwepo na michujo ya wazi ambayo ingeepusha kadhia kama hizi mtu kutumia ugomvi binafsi kutoa maamuzi?
Kila mtu atafikiwa hata asipodai reforms jana na leo ni Kigwangalla na Ummy next ni nani sote hatujui.
No reforms no election , kataa wahuni.
Hilo lipo wazi, hapo geti jeusi wana jina lake la utani wanamuita madam KV, mtu wa vitu vikali.Alimsema bosi wake ni mlevi wa kupindukia
Ni mpenzi wa K-Vant. Sasa ukiwa na akili kisoda alafu unapiga KV matokeo yake ndio haya ya kubagaza na kupoka nchiSamia anakunywa hadi konyagi, ni huzuni kwa kweli.
Kwani lazima awe mbunge niakd yote? Akajiajiri maana ana mtaji.Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.
Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.
Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.π€π
Kwamba kwa ukongwe wako kwenye fani ulikua hufahamu? Huyu mama ni liberal wa siku nyingi sana sema aliamua tu kuvaa ushungi baadae ili kubasilisha her image somehow but ni mliberali haswa!Hivi kumbe ni kweli
Samia alikua tiketi muhimu ya wanamtandao 2015 ili hata ikitokea nini wasikose wote! Katika tatu bora ni Magu pekee hakua mwanamtandao baada ya kupata ugombea akachomekewa Samia mwanamtandao mwaminifu!!Yawezekana ndiyo kilichombeba akapewa u vp.
Kigwangala vp? Amekatwa?Ummy tangu lini alikuwa mtendaji mzuri?
Kuna tofauti ya utendaji mzuri na uchawa mzuri.
Ummy katika uongozi wake ndio CAG alitoa ripoti uwepo wa kesi zaidi ya 40 za wanaume kuutapeli mfuko wa bima wa taifa NHIF baada ya kuonyesha wameandikiwa procedure ya Caesarean Section sasa tangu lini mwanaume akafanyiwa CS ??
Kwa kashfa kama ile ilitakiwa akae pembeni tena mbali kabisa.
Tukija katika mjadala katika mtazamo mwingine watu wanapokuwa wanapigania reforms mnaona kama ni za CHADEMA pekee ila reforms ni za muhimu ndio maana hadi jana Polepole kaona sasa umuhimu wa kuondoa kinga ya mashtaka ya rais .
Tanzania mamlaka ya urais yanabidi yapunguzwe na kinga ya mashtaka iondolewe.
Mtikila alipigania mgombea huru na hadi akafanikiwa kushinda ila CCM wakaweka giza mbele , sasa leo hii tungekuwa na wagombea huru si huyo Ummy angeepukana na fedheha za kukodi watu wakaandamane kuonyesha wameumizwa na angali anakubalika bado?
Tungekuwa na reforms za kikatiba na uchaguzi leo hii rais asingekuwa na uwezo ku-jeorpadize maamuzi yote ya kamati bali ilitakiwa kuwepo na michujo ya wazi ambayo ingeepusha kadhia kama hizi mtu kutumia ugomvi binafsi kutoa maamuzi?
Kila mtu atafikiwa hata asipodai reforms jana na leo ni Kigwangalla na Ummy next ni nani sote hatujui.
No reforms no election , kataa wahuni.
Sisi ngoja tusome comment πKwamba kwa ukongwe wako kwenye fani ulikua hufahamu? Huyu mama ni liberal wa siku nyingi sana sema aliamua tu kuvaa ushungi baadae ili kubasilisha her image somehow but ni mliberali haswa!
Hizo ndio hoja za ummy Mwalimu!!?
KAZI na utu tunasonga mbele!
October tutatick jina tutakaloletewa na chama Hilo hilo na lililokusudiwa na wenye dola!
?Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.
Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.
Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.π€π
Katika ile clip ummy kuna mstari aliuvuka! Angesema yoote...ila lile lingine alipaswa aliache!Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.
Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.
Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.π€π
Mwesmiwa supiiika,nipige?#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo.
Amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Vijijini Ndugu Joseph Sambo. Bunge lililopita Flatei alikuwa mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
Kwa ishu ya unywaji nilikuwa sijui. Ila yale mambo mengine yale ninajua ni kweli na hata kwenye kampeni zake mwaka 2015 baadhi ya watu kwenye timu yake ziliibuka skendoKwamba kwa ukongwe wako kwenye fani ulikua hufahamu? Huyu mama ni liberal wa siku nyingi sana sema aliamua tu kuvaa ushungi baadae ili kubasilisha her image somehow but ni mliberali haswa!
Swali la tatu anavuta fegi au havuti? Swali la nne anakula kungumanga au hali?Swali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
Na sasa hivi kwa stress alizonazo ndiyo analanduka hasa tena pombe ngumu ngumuSamia ni mlevi wa siku nyingi hakuna asiyefahamu. Hata waliomp h VP walifahamu fika mama ni mlevi.