BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
duuh
Kumbe ndiyo maana anaelewana sana na mwamba wote wanapiga ngumuSamia anakunywa hadi konyagi, ni huzuni kwa kweli.
Duh, wanagombea dudu?Wengine wanasema chanzo ni hikiView attachment 3452592
Hawakupeleka tu maneno bali walimrekodi, wakati kakikundi ka wananzengo na bi Ummy akiwemo wakawa wanacheka huku wakimuongelea ndipo akachomeka kuwa eti bibie ni mlevi na akishalewa kama kuna mlume ndago yoyote karibu anajisevia. Eti tungi huanza kumkolea chini na vyombo hivyo ni mshiriki daily.Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.
Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.
Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.
Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Mtungi anapiga tena sana, spirits to be precise.Swali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
Anabagaza hadi Maimamu kuwa wanatoana ngeu kugombea vijinyama toka MakkahNi mpenzi wa K-Vant. Sasa ukiwa na akili kisoda alafu unapiga KV matokeo yake ndio haya ya kubagaza na kupoka nchi
Swali la kwanza anapigaSwali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
Utaokotwa kwenye kiroba wewe🤣🤣🤣Samia anakunywa hadi konyagi, ni huzuni kwa kweli.
Clip gani hyo tena......Katika ile clip ummy kuna mstari aliuvuka! Angesema yoote...ila lile lingine alipaswa aliache!
Duh kumbe ndio zilikuwa hizo ishu?Swali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
🤣 Kwahiyo imeisha hiyo?Hizo ndio hoja za ummy Mwalimu!!?
KAZI na utu tunasonga mbele!
October tutatick jina tutakaloletewa na chama Hilo hilo na lililokusudiwa na wenye dola!
Basi nisiandike nisije jikuta nime tusi bure!!Wanawake wanasumbuliwa na emotional mood swing.
Yes basi ni hivyo! Na imemharibia sana data yake! Ni mbishi kuacha! Lissu angeshika kipaza sauti kwenye uchaguzi huu huyu mama asingethubutu kufanya hata mikutano miwili kwa siku! Kama Magu alikua anapiga siku mbili anarudi garage huyu ingekua kila baada ya mkutano wa hadhara anarudi gereji 😂Kwa ishu ya unywaji nilikuwa sijui. Ila yale mambo mengine yale ninajua ni kweli na hata kwenye kampeni zake mwaka 2015 baadhi ya watu kwenye timu yake ziliibuka skendo
Samia Hana stress yoyote! Agenda ya No reform No election aliyoipandikiza CDM imefaulu pakubwa na hatakua na haja ya kutumia nguvu kubwa kwenye kampeni!Na sasa hivi kwa stress alizonazo ndiyo analanduka hasa tena pombe ngumu ngumu