Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,524
- 42,677
Fegi anavuta.Swali la tatu anavuta fegi au havuti? Swali la nne anakula kungumanga au hali?
Fegi anavuta.Swali la tatu anavuta fegi au havuti? Swali la nne anakula kungumanga au hali?
Stress anayo kutoka upinzani wa ndani ya mbogamboga wenzake, awali alikuwa anakunywa jioni tu lakini sasa muda wote yuko na stimu kila mtu anamuona mbaya huoni alivyowabagaza Maimamu jana kuwa wanatoana ngeu kugombea vijinyama ile yeye kabisa ni K Vant ile😄😄Samia Hana stress yoyote! Agenda ya No reform No election aliyoipandikiza CDM imefaulu pakubwa na hatakua na haja ya kutumia nguvu kubwa kwenye kampeni!
Hio clip ipo wapina sisi tusikilize?Katika ile clip ummy kuna mstari aliuvuka! Angesema yoote...ila lile lingine alipaswa aliache!
Kuhusu kupiga mtungi mama ni komba yule mnyama! Na kupwaya ndiyo hivyo tena amebaki kuwa remote ya JK!Swali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
Kumbe mama ni mlevi ivi?, nilikuwa sijuiNi mpenzi wa K-Vant. Sasa ukiwa na akili kisoda alafu unapiga KV matokeo yake ndio haya ya kubagaza na kupoka nchi
Na ile mimacho akiwa bwaxi sijui anakuwajeSasa kwani kupiga tungi kuna ubaya gani? Tena unaambiwa anagonga nyagi kubwa alone
Hio clip ipo wapina sisi tusikilize?
Twanga pepeta siyo??Hilo ummy alilovuka mstari mwekundu kulisema, nikiliandika hapa...saver za Jf zitapata mushkeli! Zitatikisika!
Bado nataka msaada nisije kunyimwa msaada
Mwenyekiti wa CCM hawezi pewa stress na wanaCCM wanaomtegemea adondoshe Makombo wale!! She is their breadwinner hawezi waogopa Ndo maana anawakata less kiburi!Stress anayo kutoka upinzani wa ndani ya mbogamboga wenzake, awali alikuwa anakunywa jioni tu lakini sasa muda wote yuko na stimu kila mtu anamuona mbaya huoni alivyowabagaza Maimamu jana kuwa wanatoana ngeu kugombea vijinyama ile yeye kabisa ni K Vant ile😄😄
Ndio.Kigwangala vp? Amekatwa?
Au ile ya post # 14?
Sema ameenguliwa hiyo ya kukatwa anaweza kurusha ngumi😄😄Kigwangala vp? Amekatwa?
Alikuwa ana balance mzani, kwa kile kinachoendelea nchini imeonekana dini ya kikristo wanakandamizwa, hivyo ilikuwa ni mind game... ili kuonekana haegemei upande wowote..Stress anayo kutoka upinzani wa ndani ya mbogamboga wenzake, awali alikuwa anakunywa jioni tu lakini sasa muda wote yuko na stimu kila mtu anamuona mbaya huoni alivyowabagaza Maimamu jana kuwa wanatoana ngeu kugombea vijinyama ile yeye kabisa ni K Vant ile😄😄
Swali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya
1.Ndiyo kabisaSwali mother anapiga mtungi au hapigi tungi?
Swali la pili anapwaya hajapwaya?
Wanawake wa kiislamu nao huwa wanapiga tungi ?Samia ni mlevi wa siku nyingi hakuna asiyefahamu. Hata waliomp h VP walifahamu fika mama ni mlevi.