Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

Kwenu huko kusengenya, kutetana na kutukana mbona yapo hata kwa wanaume?
Tena wazee kabisa
Mmesahau aliepita alivyokuwa anawasikiliza hadi manane ya usiku na akikiri kabisa?
Yeye alikuwa na sababu na nia njema kwa taifa kwa ujumla na uongozi wake… huwezi kumuamini mtu ukampa nafasi na kumuongeza kama mfuasi wako alafu anakugeuka kwa kukusema vibaya na kukuona hufai hata kama ni kweli.

Sharti aombe appointment azungumze nawe kwa karibu, kwa upendo na kuonesha yupo upande wako na akupe sababu kwamba udhaifu wako unadorolesha dola na utendaji kazi kwa kiwango fulani.
 
Kibaya zaidi alirekodiwa, ogopa tekinelojia.
mimi nashangazwaga sana na hawa watu… inamaana mpaka level walizofika hawajijui kwamba wanafuatiliwa na kusikilizwa kwenye simu na jumbe zao za maandishi?! 😃

Au ndo kujitoa akili na kujisahaulisha 😄😅🙌🏾
 
Kama kweli alimsengenya alikosea sana,inabidi akubali matokeo!
Huwezi msengenya bosi wako hata afanyeje,alikosa hekima na alisahau kuwa nafasi aliyonayo wengi wanaitamani so one mistake and you are out!
Kusengenya ni sehemu ya communication kwenye management boss. Boss lazima asemwe mana ndiyo mshika mkate . Ukiwazuiya watu wasisengenye kuna uwezekano mkubwa wa strikes na underperformance kutokea.
Fikiria mtu wa masijala pale halmashauri anamfikia vipi DED?
 
Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.

Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.

Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.

Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Mzee wa msoga is typing.......
 
Kupiga tungi mbona kawaida sio yey wa kwanza kuvaa usgungi sio issuer we ulitaka fahyaje pombe no starehe ilimradi hutendi dhambi
 
Zanzibar dini ya Kiislamu ni utamaduni, wakitoka kuswali swala ya inshar saa mbili usiku wanapiga tungi kama kawaida kwa mpenzi wa mitungi.

Wanakunywa pombe na wanaswali swala 5.

Zanzibar sehemu za starehe zinaanza kuchanganya saa 5 za usiku unajuwa sababu yake?
Nilienda sehemu moja karibu na uwanja wa amaan, kuna midemu mibaaayaaa halafu inajiuza kwa bei ghali
 
Nilienda sehemu moja karibu na uwanja wa amaan, kuna midemu mibaaayaaa halafu inajiuza kwa bei ghali
Pale kuna vistoo vingi vya bia wengine ni machogo wa bara.

Ukitaka kuviona vitoto vya Kizanzibar pure ni kuanzia saa 5 usiku au saa 6 ndio wanatoroka maghorofani kwao wanatinga vimini nenda Gykhana, BOT and likes ndio utajuwa unafki wa Wazanzibar wanafanya kila kitu.
 
Ile hotel ya bwawani inafanya kazi ?
Pale kuna vistoo vingi vya bia wengine ni machogo wa bara.

Ukitaka kuviona vitoto vya Kizanzibar pure ni kuanzia saa 5 usiku au saa 6 ndio wanatoroka maghorofani kwao wanatinga vimini nenda Gykhana, BOT and likes ndio utajuwa unafki wa Wazanzibar wanafanya kila kitu.
 
Alimsema bosi wake ni mlevi wa kupindukia
Kwa hiyo alimaanisha kuwa mama anagonga vyombo, kama walikuwa wote au alimwona akigonga vyombo hakupaswa kusema popote na yeyote. angesubili baada ya mama kustaafu angeandika kitabu. angeweka na hako kaumbea Hata hivyo hio sio issue mbona Kuna mojawapo wa Marais wastaafu wa huko visiwani Kuna tetesi kuwa alikuwa MTU wa vyombo
 
Siamini mnachosema. Yule Mama ni mcha Mungu sana. Hawezi kuhusishwa na vitu kama hivyo.
Utajipiga makonzi mara elfu kumi ukijua ukweli, chimba kidogo tu kama unafahamiana na yoyote mwenye inside information. Madhaifu yanayobainishwa hapa ni machache tu, kuna watu wanakula bata wengine wavimba hapo juu kwenye uongozi kwa kuwa wamekuwa 'wakijisevia'. Chombo hiyo ukibahatika kukaa nayo thirty minutes mkastua glass mbili utakula mema ya nchi mpaka wajukuu, maharage ya Mbeya plus Nyagi ni inakuwa Kitonga sliding pruuuu mpaka maka(Mecca).
 
Back
Top Bottom