M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Haujawahi kuhudhuria sherehe Tanzania au huwa hauendi kwenye sehemu za starehe? Haujawahi kuhabarishwa matukio ya kwenye vigodoro?Wanawake wa kiislamu nao huwa wanapiga tungi ?
Nje ya Tanzania ndiyo utaona maajabu zaidi, nikiwa primary school sikuwa nikifahamu hata kama Waarabu na Wahindi ni walevi wa kupindukia.