Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.

Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.

Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.

Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Anakamdomo sana huyu teacher
 
Sema ameenguliwa hiyo ya kukatwa anaweza kurusha ngumi😄😄
Ndio nimejua hapa usipo KUA mnafikiii hutoboiiiii

Mimi niliwai Fanya kazi na mama mmoja wa kikurya kama director 😃 aiseeee watu walikuaga Wana sota kawa tajir yulee
 
Maisha ni milima na mabonde

Hayo ndio mabonde sasa.
 
Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.

Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.

Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.

Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Ummy alimwambia Makamba kwenye group la watu wa Tanga ' Zumbe (Makamba) usiwe na wasiwasi huyu (Samia) hana kitu 2025 utapita kirahisi tu' wote wawili wamepigwa chini.
 
Wanawake wa kiislamu nao huwa wanapiga tungi ?
Zanzibar dini ya Kiislamu ni utamaduni, wakitoka kuswali swala ya inshar saa mbili usiku wanapiga tungi kama kawaida kwa mpenzi wa mitungi.

Wanakunywa pombe na wanaswali swala 5.

Zanzibar sehemu za starehe zinaanza kuchanganya saa 5 za usiku unajuwa sababu yake?
 
#HABARI: Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Mbulu Vijijini, Ndugu Flatei Gregory Massay, amechukua fomu ya kugombea Ubunge katika Jimbo hilo kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo.

Amekabidhiwa fomu hiyo na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Mbulu Vijijini Ndugu Joseph Sambo. Bunge lililopita Flatei alikuwa mbunge wa Jimbo hilo kwa tiketi ya CCM.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania
Hili zuzu ndio lilipiga sarakasi bungeni.

Hawa wabunge wa Magufuli aliowaacha ni moja ya makovu ambayo itachukua miaka 20+ kuisha na nchi kurudi kuwa na umoja na kulipa bunge heshima na uzito kama zamani.

View: https://youtu.be/IjijfU7Rdck?si=XE6Qiz_BGK4o8mgz
 
Kama kweli alimsengenya alikosea sana,inabidi akubali matokeo!
Huwezi msengenya bosi wako hata afanyeje,alikosa hekima na alisahau kuwa nafasi aliyonayo wengi wanaitamani so one mistake and you are out!
Kama kweli anatumia whiskey asiseme?
 
Kuhusu kupiga mtungi mama ni komba yule mnyama! Na kupwaya ndiyo hivyo tena amebaki kuwa remote ya JK!
Huyu Mkwele akikata moto kutakuwa na sherehe za kitaifa nchi nzima, ana roho mbaya sana huyu anakosa busara uzeeni.
 
Hivi ni kweli Bi Mkubwa wa watu ni Cha Pombe?

Mtu anashinda amejitanda ushungi hlf anagida visungura???
 
Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbeakwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako.

Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu wanashangazwa na mambo yanamtokea mpendwa wao Ummy hata watanzania wengi wanashangaa. Watanzania wanamkumbuka Ummy kwa utendaji uliyotukuka awamu ya 5 katika wizara ya afya.

Umakini wake na utendaji bora. Mama alimuamini pia hadi kwa ghafla alivyomtemwa huku wananchi wakishangaa na bila kutolewa sababu yoyote. Kuna vyeo wanabadilishwa kila mara hadi wananchi wanastasjabu. Maandamano yaliyotokea Tanga mjini wanaccm kupinga mbunge wao kukatwa asiwe mgombea yanathibitisha sifa nilizomtolea Ummy.

Sasa kuna maneno maana watu kama hawaoni sababu watatengeneza maneno. Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Maza. Loo Mungu tuhurumie.🤔😎
Ccm kumejaa simple minded people,
Ni watu waliotakiwa kuwa wanashinda vijiweni wakiuza kahawa, mitumba, wakiongelea mpira,kiongozi mkubwa, unajisikia vibaya kisa kuna MTU anakusema!?
Fikiria Msoga aliifunga familia nzima kisa MTU kapita na mchepuko wake! Sasa fikiria kenge ya namna hii ikipewa ikulu!
 
Back
Top Bottom