Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Nov 23, 2025 #141 Agange yajayo... Cc: Mahondaw
F Field Marshall 11 JF-Expert Member Joined Nov 28, 2024 Posts 1,018 Reaction score 1,717 Nov 24, 2025 #142 Ummy alisema ukweli kuwa mama anapiga kinywaji, halafu akilewa anakuwa na fujo.Mbona kila mtu wa karibu analijua hilo?
Ummy alisema ukweli kuwa mama anapiga kinywaji, halafu akilewa anakuwa na fujo.Mbona kila mtu wa karibu analijua hilo?
babukijana JF-Expert Member Joined Jul 21, 2009 Posts 16,476 Reaction score 21,202 Nov 24, 2025 #143 CHIEF PRIEST said: Hata Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Karume ni chapombe mzuri sana. Click to expand... Si jambo la ajabu hilo, BM na Mama tulikua tunakula vyombo Balaa, mzee huyo akichoka anapanda kulala mi namaliza kuweka mazingira maza anantoa na zinga la whisky, Huyo natambaa .wote tumelewa 😁
CHIEF PRIEST said: Hata Rais mstaafu wa Zanzibar Amani Karume ni chapombe mzuri sana. Click to expand... Si jambo la ajabu hilo, BM na Mama tulikua tunakula vyombo Balaa, mzee huyo akichoka anapanda kulala mi namaliza kuweka mazingira maza anantoa na zinga la whisky, Huyo natambaa .wote tumelewa 😁
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,737 Reaction score 42,892 Jan 22, 2026 #144 PureView zeiss said: Wengine wanasema chanzo ni hikiView attachment 3452592 Click to expand... Uharawa hauna talaka siku yoyote unapasha kiporo
PureView zeiss said: Wengine wanasema chanzo ni hikiView attachment 3452592 Click to expand... Uharawa hauna talaka siku yoyote unapasha kiporo