Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

Mkuu pia jaribu kuGoogle Schizotypal Personality Disorder labda inaweza kukusaidia.
Mkuu, Mimi nimeshafanya kazi kwenye hospitali mbali mbali za vichaa. Nina uelewa fulani. Sijawahi kusimamishwa kazi kutoka na mental health
 
Mkuu, Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Ulichokiongelea hapo kuhusu kusingizia ugonjwa wa akili ili wanirudushe. It is quite opposite na sheria za hapa zilivyo. Ukiwa na ugonjwa wa akili inawapa shida immigration kukuondoa. Na sidhani kama kuna nchi yoyote inaweza kumrudisha mtu kwao kwa sababu ya ugonjwa wa akili
 
Mkuu, Mimi nimeshafanya kazi kwenye hospitali mbali mbali za vichaa. Nina uelewa fulani. Sijawahi kusimamishwa kazi kutoka na mental health
Au kuna Mtu alikukabidhi Amana yake na hujamrejeshea?
 
Ubalozini nilienda juzi lakini kwa ajili kuomba emergency travel document. Hili swala sijawai kulipeleka ubalozini. Sababu moja kubwa inayonitatiza ni kuonekana ni ugonjwa wa akili
Nimeuliza kwa nini utafute emergency travelling document? Huna passport?
 
Mkuu, nimeishi London muda mrefu na sipo illegal
 
Si ukaombe msaada ubalozini wakurejeshe?
 
Wao ndio wamejiminisha mimi ni shetani. Mimi ni binadamu kama binadamu wengine na maumivu ya kichwa na pata vile vile.

Nao hao jamaa hawana akili, sasa shetani gani anaonekana kwa macho halafu anategeka mpaka anaumwa kichwa?
Wee bana ukiona vp bora uende home.
 
Wazungu wapo busy na mambo yao hawana shida na maisha yako Wewe unaonekana kama haupo Sawa kichwani

Wakuite shetani Wewe kama Nani n'a wanakuita shetan ukiwa wap stop this madness
Haya niliyoandika hapa. Hiko siku yatakufikia
 
Mkuu ulichoandika hapo kuna baadhi ya ambayo mimi sijasema.
Ni kweli nilisha ripoti Police zaidi ya mara moja. Lakini hii ya Police kuelewa mimi ni guinea pig sijui imeitoa wapi. Hata kama Police wanajua watanieleza vipi. Manake hiyo itakuwa ni kasheshe nyingine.
 
Niombee uzima mkuu. Mengine baadae
 
Passport ime expire
Ok. Pole sana. Fanya bidii urudi Bongo upumzike kwa muda uone hali itakuwaje. Kuna wakati nilikuwa nchi fulani Ulaya, nikawa ni mtu wa kuugua ugua vitu ambavyo sijui hata chanzo ni nini. Kila nikienda hospital napewa dawa za usingizi na nyingine anasema ni za kuliwaza ubongo. Nilipoona sina nafuu nikarudi Bongo. Huwezi amini nilipona bila matibabu yoyote. Hivyo nakushauri jaribu kurudi ukae kwa muda. Una muda gani tangu utoke Tanzania?
 
Complaints za mtoa Mada kutoka katika nyuzi zote mbili ni hizi:

7.Wagonjwa wa Akili hawajawahi kujua wala kukubali kama ni wagonjwa wa akili.
Mkuu, mimi nimeshafanya kazi kwenye hospitali za wagonjwa wa akili. Na nimesha repoti baadhi ya issues. Kama ingekuwa ni ugonjwa wa akili si ningekuwa nimesha kuwa sectioned!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…