Wanasema wakitaka muda wowote wanatuua kwa kutulisha steel wire....

Kuna namna nyingi tu za kuwamaliza bila kujulikana, ni ile huruma tu za kike na watoto inafanya tuwaangalie tu km wajinga,

Mafuta
Sukari
Pombe
Vyakula, hivyo vyote ukichanganya na kitu kidogo tu ndani ya miezi kadhaa unahamia hospital
 
Hv n kwann hii ishu hua ipo kichwan kwa Wabongo wengi?
Huo utani tu.
Ujumbe hapo ukiuwa mkeo unaishia jela utafungwa au utanyongwa.
Huku mtaani utaacha mali zako, uhuru wako, wanawake wengine warembo kuliko mkeo, n.k.
Yote hiyo ya nini?
Mali au mbunye?
Vyote hivi vinatafutwa tena unavipata.

Ukiona mkeo anazingua unatembea zako unamuacha. Maisha baada ya hapo yanaweza kuwa bora na mazuri zaidi.
Kwa wanawake pia inawausu wasiuwe.
 
Ukiona mkeo anazingua unatembea zako unamuacha. Maisha baada ya hapo yanaweza kuwa bora na mazuri zaidi.
Kwa wanawake pia inawausu wasiuwe.
Sio rahisi mzee wangu

Kuna watu wakipenda wanapenda kweli hawaoni wala hawasikii, ndo ukija kumzingua anaamua n bora wote mkose, mm n mmoja wa wenye hii imani
 
Mi siwezi tena kuja eti niishi na mwanamke, hii kitu hapana kwakweli. Kwanza ni gharama zisizo na msingi. Bado mtu anawaza akuue ukiachana na kero zingine na stress kibao. Nikiwataka najua kwa kuwapata, nikamalizana nao nawaacha huko hukooo
 
Unaweza ukasepa zako maisha yakaenda kuwa bora zaidi.. mali na mbunye vyote vinatafutwa.. NOTED BROTHER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…