BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
mmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingieeeee-sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inasema Police haruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 ikizidi hapo aidha ampeleke mahakamani au ampe dhamana kama kosa Lina dhamana, hiyo siyo hiyari ya police ni takwa la sheria
- tumia akili kufikiri
- nchi hii inaongozwa na sheria sio utashi wa mtu binafsi
nasikia ana pressure na kisukari na umri umeenda, wawe makini wasije wakamsababishia matatizo ya kiafya. jambo hili ni la kwenda nalo polepole. na kama mtu amekosea, tusameheane tuendelee kujadiliana kwa hoja, ukipeleka mtu mahakamani jueni kuna kundi kubwa la watu nyuma wanamsapoti na ni kama kujipalia makaa kwasababu watu ndivyo wanavyozidi kuichukia serikali ya samia.Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama , kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani , Mwabukusi , Mdude na Dkt Slaa ili wakajibu Uhaini wao .
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa .
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa , wameumizwa ama wameuawa , hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona .
Usiondoke JF
-nani kasema kuwa wanafikishwa mahakamani Leo? Je wasipowapeleka Leo?mmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingieeeee
hakuna mtu anaichukia sema ni wewe tu nahao jamaa zako hawana ushawishi wowote na jamii hivyo sasa hivi wako pekeyao labda na erythrocite ndiyo ana waunga mkono angaloia hata chadema hawazunguzmii kitu chochote kuhusu hao wahaini ndiyo ujue kila mchuma janga ////???nasikia ana pressure na kisukari na umri umeenda, wawe makini wasije wakamsababishia matatizo ya kiafya. jambo hili ni la kwenda nalo polepole. na kama mtu amekosea, tusameheane tuendelee kujadiliana kwa hoja, ukipeleka mtu mahakamani jueni kuna kundi kubwa la watu nyuma wanamsapoti na ni kama kujipalia makaa kwasababu watu ndivyo wanavyozidi kuichukia serikali ya samia.
Pamoja na hayo lkn Bwana Yule hajawahi kuuza Rasilimali za Taifa hovyo kama hivi sasa.zama za bwana yule zimerudi kwa kishindo
-kuhusu chadema wametoa tamko kupitia John mrema (mkurugenzi wa mawasiliano), kuwa kumshikilia mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 sio sahihihakuna mtu anaichukia sema ni wewe tu nahao jamaa zako hawana ushawishi wowote na jamii hivyo sasa hivi wako pekeyao labda na erythrocite ndiyo ana waunga mkono angaloia hata chadema hawazunguzmii kitu chochote kuhusu hao wahaini ndiyo ujue kila mchuma janga ////???
wakati wanafanya makosa walikuwa wanategemea huruma ya nani? watu wanakaa mwezi wewe umeona siku mbili tu ni nyingiiiiiiiiiiiiii wacha wasote kwanza ili hata wakija kutoka watulie wajue nchi ina sherai na ina mamlaka wacha kwanza wabashiweee humo ndani kama mwambukusi watam,,,,,,,, na mzee wa watu hajawahi hata kul mdude kazoea-nani kasema kuwa wanafikishwa mahakamani Leo? Je wasipowapeleka Leo?
-tunachekesha nini? Wakati tunataka haki za watuhumiwa zifuatwe kwa usahihi
-tumia akili, kinachoenda kufanyika ni kuomba mtuhumiwa aletwe mahakamani na IGP,DPP Waseme kwa Nini wamemshikilia kituoni kwa zaidi ya masaa 24?na sio kingine,
Tumerudi kuchukiana upya
......bibi sultani......hata kwa mababu haikuwa namna hiiTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama , kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani , Mwabukusi , Mdude na Dkt Slaa ili wakajibu Uhaini wao .
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa .
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa , wameumizwa ama wameuawa , hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona .
Usiondoke JF
Kwa mjadala huu unafikiri wanaonewa?Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama , kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani , Mwabukusi , Mdude na Dkt Slaa ili wakajibu Uhaini wao .
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa .
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa , wameumizwa ama wameuawa , hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona .
Usiondoke JF
hawaonewi ni uhaini asilimia miamojaKwa mjadala huu unafikiri wanaonewa?View attachment 2718838
wakati wanafanya makosa walikuwa wanategemea huruma ya nani? watu wanakaa mwezi wewe umeona siku mbili tu ni nyingiiiiiiiiiiiiii wacha wasote kwanza ili hata wakija kutoka watulie wajue nchi ina sherai na ina mamlaka wacha kwanza wabashiweee humo ndani kama mwambukusi watam,,,,,,,, na mzee wa watu hajawahi hata kul mdude kazoea
Sawa Nabana kabisa hapa karibu na drevaTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.
Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.
Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.
Usiondoke JF.
Ingekuwa kuna mahakama za hivyo hapa Tanzania ungeweza kuwa na hoja. Lakini tukiangalia serikali yetu inavyoangukia pua kwenye kesi za kimataifa, tunajua kabisa hao unaotaka tuone wanajua sheria tunajua ni takataka tupu.Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hebu tusaidie ya aendeshwaje mkuu au tuna sheria nyingine na katiba nyingine tofauti na hii tuliyoizoea?Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Tayari wameshakuwa wahaini hata kabla hawajafika mahakama I? Siku hizi hukumu zinatolewa polisi? Ndugu zangu hebu punguzeni chuki basi!yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?