Wanasheria kufungua Kesi ya kutaka Dkt. Slaa na wenzake wafikishwe Mahakamani

yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
  • tumia akili kufikiri
  • nchi hii inaongozwa na sheria sio utashi wa mtu binafsi
-sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai inasema Police haruhusiwi kukaa na mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 ikizidi hapo aidha ampeleke mahakamani au ampe dhamana kama kosa Lina dhamana, hiyo siyo hiyari ya police ni takwa la sheria
 
mmeshaambiwa wanafikishwa mahakamani leo na nyie mnaenda kufungua kesi ya kuwafikisha mahakamani hamuonio kuwa mnachekesha? na mnakimbilia mahakamani mnafikiri kule kuna wajinga wenzenu watawatetea uhaini wenu? tulieni dawa iwaingieeeee
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama , kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani , Mwabukusi , Mdude na Dkt Slaa ili wakajibu Uhaini wao .

Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa .

Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa , wameumizwa ama wameuawa , hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona .

Usiondoke JF
nasikia ana pressure na kisukari na umri umeenda, wawe makini wasije wakamsababishia matatizo ya kiafya. jambo hili ni la kwenda nalo polepole. na kama mtu amekosea, tusameheane tuendelee kujadiliana kwa hoja, ukipeleka mtu mahakamani jueni kuna kundi kubwa la watu nyuma wanamsapoti na ni kama kujipalia makaa kwasababu watu ndivyo wanavyozidi kuichukia serikali ya samia.
 
-nani kasema kuwa wanafikishwa mahakamani Leo? Je wasipowapeleka Leo?
-tunachekesha nini? Wakati tunataka haki za watuhumiwa zifuatwe kwa usahihi
-tumia akili, kinachoenda kufanyika ni kuomba mtuhumiwa aletwe mahakamani na IGP,DPP Waseme kwa Nini wamemshikilia kituoni kwa zaidi ya masaa 24?na sio kingine,
 
hakuna mtu anaichukia sema ni wewe tu nahao jamaa zako hawana ushawishi wowote na jamii hivyo sasa hivi wako pekeyao labda na erythrocite ndiyo ana waunga mkono angaloia hata chadema hawazunguzmii kitu chochote kuhusu hao wahaini ndiyo ujue kila mchuma janga ////???
 
-kuhusu chadema wametoa tamko kupitia John mrema (mkurugenzi wa mawasiliano), kuwa kumshikilia mtuhumiwa zaidi ya masaa 24 sio sahihi
 
-nani kasema kuwa wanafikishwa mahakamani Leo? Je wasipowapeleka Leo?
-tunachekesha nini? Wakati tunataka haki za watuhumiwa zifuatwe kwa usahihi
-tumia akili, kinachoenda kufanyika ni kuomba mtuhumiwa aletwe mahakamani na IGP,DPP Waseme kwa Nini wamemshikilia kituoni kwa zaidi ya masaa 24?na sio kingine,
wakati wanafanya makosa walikuwa wanategemea huruma ya nani? watu wanakaa mwezi wewe umeona siku mbili tu ni nyingiiiiiiiiiiiiii wacha wasote kwanza ili hata wakija kutoka watulie wajue nchi ina sherai na ina mamlaka wacha kwanza wabashiweee humo ndani kama mwambukusi watam,,,,,,,, na mzee wa watu hajawahi hata kul mdude kazoea
 
Tumerudi kuchukiana upya

Hakuna kitu!

Kambi zote mbili zinajuana na hii ndio njia yao nyepesi zaidi ya kuzitafuna pesa za wafadhili wao.

At the expense of watanzania.

Hizi “movie” zao za kipuuzi ndio zinachelewesha na kukwamisha mambo mengi.

Na wafadhili ndivyo wanataka maana pakitulia na watu wakatuliza vichwa, hakutolika tena.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama , kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani , Mwabukusi , Mdude na Dkt Slaa ili wakajibu Uhaini wao .

Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa .

Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa , wameumizwa ama wameuawa , hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona .

Usiondoke JF
......bibi sultani......hata kwa mababu haikuwa namna hii
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama , kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani , Mwabukusi , Mdude na Dkt Slaa ili wakajibu Uhaini wao .

Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa .

Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa , wameumizwa ama wameuawa , hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona .

Usiondoke JF
Kwa mjadala huu unafikiri wanaonewa?
 
Sawa sawa, na bila kutoka kwenye reli, hoja zijibiwe...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
wakati wanafanya makosa walikuwa wanategemea huruma ya nani? watu wanakaa mwezi wewe umeona siku mbili tu ni nyingiiiiiiiiiiiiii wacha wasote kwanza ili hata wakija kutoka watulie wajue nchi ina sherai na ina mamlaka wacha kwanza wabashiweee humo ndani kama mwambukusi watam,,,,,,,, na mzee wa watu hajawahi hata kul mdude kazoea
  • hapa hatuzungumzii huruma tunazungumzia sheria, kwa sababu wanasema amevunja sheria basi nao (police na DPP) wafuate sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai,
  • Hao wanaokaa hata mwezi ni kwamba hawana mawakili wa kuwasemea, na ni ukiukwaji wa sheria
-hatukubali wasote na ndio maana mawakili wanaenda mahakamani kufungua kesi ya kumshurutisha IGP,DPP,RPC wamelete mahakamani
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Jopo la Wanasheria limekwishatinga kwenye viunga vya Mahakama, kwa ajili ya kufungua kesi ya kulazimisha Serikali ya Tanzania kuwafikisha Mahakamani, Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa ili wakajibu Uhaini wao.

Sheria za Tanzania zinaelekeza kwamba Mtuhumiwa anapaswa kufikishwa Mahakamani si zaidi ya Masaa 24 baada ya kukamatwa.

Bado hatujajua kama Watuhumiwa hao wanateswa, wameumizwa ama wameuawa, hii ni kwa sababu haturuhusiwi kuwaona.

Usiondoke JF.
Sawa Nabana kabisa hapa karibu na dreva
 
Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ingekuwa kuna mahakama za hivyo hapa Tanzania ungeweza kuwa na hoja. Lakini tukiangalia serikali yetu inavyoangukia pua kwenye kesi za kimataifa, tunajua kabisa hao unaotaka tuone wanajua sheria tunajua ni takataka tupu.

Inshort hakuna kinachoendelea hapo zaidi ya matumizi mabaya ya madaraka, na kutaka kuwakomoa waliojitoa muhanga kupigania mali za watanganyika.
 
Hao wanasheria mambumbumbu wataangukia pua kama wenzao. Hawajui makosa ya uhaini yanavoendeshwa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hebu tusaidie ya aendeshwaje mkuu au tuna sheria nyingine na katiba nyingine tofauti na hii tuliyoizoea?
Ili tunapojua tuwatahadharishe wasiangukie pua! Ila kuiaacha abstract namna hii unadhihirisha umaamuma wako, sababu huoneshi ujuvi wa Sheria ila unawakosoa wanasheria! Tuna kizazi Cha hovyo sana Tanzania Kwa sasa
 
yaani mnafanya ujinga uhaini vurugu halafu mnataka mfikishwe mahakamani haraka yaani mnahofu na nini kama mliweza kufanya uhaini mpaka mmkakamatwa si msubiri mnaharaka ya nini kwenda mahakamani? au mkifika mahakamani ndiyo mtaachiliwa?
Tayari wameshakuwa wahaini hata kabla hawajafika mahakama I? Siku hizi hukumu zinatolewa polisi? Ndugu zangu hebu punguzeni chuki basi!
 
Back
Top Bottom