Kuna courts zipo, ICJ ikiwa namba mojaAnasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
Sidhani kama jurisdiction yake ina cater for individual complaints. Hii ni between countriesKuna courts zipo, ICJ ikiwa namba moja
Wajiuzulu vp wakati mama ndo aliwatuma kufanya hivyo?!Hii nchi haina uwajibikaji kabisa, hapo mamlaka zote zipo kimya..... na hauto sikia yeyote amejiuzulu...☹️
Yeah only applies of kenya complain as a countrySidhani kama jurisdiction yake ina cater for individual complaints. Hii ni between countries
BY CAPITAL LETTERS UMEMALIZA KAZIWajiuzulu vp wakati mama ndo aliwatuma kufanya hivyo?!
basi mwangi aipeleke kuleYeah only applies of kenya complain as a country
But for this case african court on human and people rights (afCHPR). Hii case iko applicable
Inaweza. Individual against state partner au state partner against state partner.Sidhani kama jurisdiction yake ina cater for individual complaints. Hii ni between countries
Mimi nadhani anapaswa kuwashitaki Serena hotel pia. Kwa sababu Serena walikuwa na wajibu wa kumlinda mteja waoAnasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
Mpaka CNN ipo.wakati wanamgongea mlango wa hotel.saa nane.za usiku akagoma kufungua kumbe alikuwa ana record majibishano kati yake na hao waliokuwa wanamtaka afungue mlango.Hii case itakuwa handled barabarani na Wakenya...
For sure kabisa, Rais Samia Suluhu Hassan amempelekea msala mwenzake William Ruto...
Hii incidence kwa Wakenya sio ndogo. Kuna possibility 100% inaweza kuamusha maandamano mapya ya GenZ na demands zao zitakuwa:
1. William Ruto MUST GO..
2. Kuwataka baadhi ya wabunge wao walioshabikia hili kusema liko sawa washughulikiwe. Hawa wawe tayari kukabiliana na moto wa GenZ kwa familia na mali zao kushambuliwa au kuharibiwa...
3. Kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wao Musalia Mudavadi kuachia ngazi...
4. Kumtaka balozi wa Kenya nchini Tanzania kuachia ngazi...
#Ni ishu ndogo, Lakini inaweza kuzua matatizo makubwa East Afrika yote kwa ujinga na upumbavu wa mis-handling wa masuala simple kabisa ya Wakenya hawa...
#Mamlaka za Tanzania zimekosa hekima na busara kabisa ku - handle ishu ndogo kama hii. Kulikuwa na ulazima gani kukamata raia wa kigeni na dunia nzima kujua mmewakamata halafu ghafla wanaokotwa wametupwa porini huku wakiwa wameteswa na kuumizwa vibaya?
#Walitakiwa wautumie ubalozi wao kuwa deport kurudi nxhini kwao.
#Hili TZ imelikoroga tena...
Tatizo hatuna Viongozi, tuna WatawalaHii case itakuwa handled barabarani na Wakenya...

Kuna jamaa amesema tuna Rais ana elimu ya Form Four na alipata Divisheni four ya 28..Kwa maana nyingine alitakiwa awe WPHii case itakuwa handled barabarani na Wakenya...
For sure kabisa, Rais Samia Suluhu Hassan amempelekea msala mwenzake William Ruto...
Hii incidence kwa Wakenya sio ndogo. Kuna possibility 100% inaweza kuamusha maandamano mapya ya GenZ na demands zao zitakuwa:
1. William Ruto MUST GO..
2. Kuwataka baadhi ya wabunge wao walioshabikia hili kusema liko sawa washughulikiwe. Hawa wawe tayari kukabiliana na moto wa GenZ kwa familia na mali zao kushambuliwa au kuharibiwa...
3. Kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wao Musalia Mudavadi kuachia ngazi...
4. Kumtaka balozi wa Kenya nchini Tanzania kuachia ngazi...
#Ni ishu ndogo, Lakini inaweza kuzua matatizo makubwa East Afrika yote kwa ujinga na upumbavu wa mis-handling wa masuala simple kabisa ya Wakenya hawa...
#Mamlaka za Tanzania zimekosa hekima na busara kabisa ku - handle ishu ndogo kama hii. Kulikuwa na ulazima gani kukamata raia wa kigeni na dunia nzima kujua mmewakamata halafu ghafla wanaokotwa wametupwa porini huku wakiwa wameteswa na kuumizwa vibaya?
#Walitakiwa wautumie ubalozi wao kuwa deport kurudi nxhini kwao.
#Hili TZ imelikoroga tena...
Icj ina deal na nchi Rudi Tena shule ukasomeKuna courts zipo, ICJ ikiwa namba moja
Ngoja aje Ndumbaro atudanganye hadi tushangae.Anasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
Nimesharekebisha lakin nimeelezea condition ipi icj itaweza tumikaIcj ina deal na nchi Rudi Tena shule ukasome
ICJ anapeleka kwa mtindo upi?!Kuna courts zipo, ICJ ikiwa namba moja