Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

Wakenya walivyochanganyika, yaani haya pilipili wasioila, ina wawasha
 
Mimi nadhani anapaswa kuwashitaki Serena hotel pia. Kwa sababu Serena walikuwa na wajibu wa kumlinda mteja wao
Mhu! Unasema unachokiamini kweli? Kumzuia polisi kufanya kazi yake si kosa la jinai, na hakuna watu walishapatikana na kesi kama hii na kufungwa?
 
Ila nchi hii hawa ccm uki mess up nao kukuua hawaoni shida, nilikua naangalia clip za mdude nime note yule mwamba ukimwangalia unaona kabisa ni mwanaharakati pure kabisa 100% lakini mwisho wake unasikitisha sana..... Nime conclude kwamba kwa hali iliyopo hapa nchini ukiamua kuwa mwanaharakati kuwapinga Ccm hakikisha una passion na harakati kiasi kwamba una enjoy harakati kiasi kwamba hata kifo hakikutishi.... Kwa mfano kuna clip mdude anasema " wananitishia kufa! Nani anaogopa kufa, kufa si ni kama kuhama tu mtu ana badilisha mazingira anaenda kuishi sehemu nyingine "
 
Tanzania ni nchi wafu. Bongolala zero brain watupu. Ndo maana pamoja na kubarikiwa maliasiri na raslimali nyingi kuliko Kenya na Uganda, bado mko nyuma sana kimaendeleo. Rwanda tu iko mbele yenu kwa sasa. Hamna akili.
Alisimika mwehu Moja akisema
 
Hii case itakuwa handled barabarani na Wakenya...

For sure kabisa, Rais Samia Suluhu Hassan amempelekea msala mwenzake William Ruto...

Hii incidence kwa Wakenya sio ndogo. Kuna possibility 100% inaweza kuamusha maandamano mapya ya GenZ na demands zao zitakuwa:

1. William Ruto MUST GO..

2. Kuwataka baadhi ya wabunge wao walioshabikia hili kusema liko sawa washughulikiwe. Hawa wawe tayari kukabiliana na moto wa GenZ kwa familia na mali zao kushambuliwa au kuharibiwa...

3. Kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wao Musalia Mudavadi kuachia ngazi...

4. Kumtaka balozi wa Kenya nchini Tanzania kuachia ngazi...

#Ni ishu ndogo, Lakini inaweza kuzua matatizo makubwa East Afrika yote kwa ujinga na upumbavu wa serikali ya Tanzania ku -mishandle ishu ya Wakenya ambayo kiuhalisua ilikuwa very simple...

#As far as we know, serikali ya Tanzania haikuwa na ushahidi wowote kuwa hawa walikuwa wahalifu. Ni hallucinations tu tokana na low self-esteem problem inayowakabili viongozi wa serikali hii na CCM yao iliyowazalishia tatizo kubwa zaidi liitwalo fear of unknown...

#Kwa sababu hii CCM na serikali yao kwa kutumia police, Jeshi, TISS na mbwa na bunduki zao watamuumiza kila anayepingana na plan zao kwa kumuona ni adui yao, anataka kuharibu kitumbua chao awe Mtanzania, Mkenya na hata mzungu. For this reason, they'll be killing and destructing themselves politically...

#Lakini mwisho wa siku, hakuna atakayeendelea kuwatazama, kuwavumilia tu huku wakiendelea na unyama wao wa kunyanyasa, kuumiza na kuua watu kwa kigezo feki cha "kulinda amani" kumbe ni kulinda tamaa na madaraka yao feki ya wizi wa kura ktk chaguzi..

#Ndo kusema kuwa, mamlaka za Tanzania zimekosa hekima na busara kabisa ku - handle ishu ndogo kama hii. Kulikuwa na ulazima gani kukamata raia wa kigeni na dunia nzima kujua mmewakamata halafu ghafla wanaokotwa wametupwa porini huku wakiwa wameteswa na kuumizwa vibaya?

#Walitakiwa wautumie ubalozi wao kuwa deport kurudi nxhini kwao.

#Hili TZ imelikoroga tena...
Natamani Hawa jamaa wafanye iv hata wakichoma ubalozz wa Stanza kanairo fresh tu
 
Ts
Mbona 2008 kuna wakenya zaidi ya 15 walipigwa risasi Moshi na Kenya walikaa kimya
The ishu mbili tofauti! Kama walikuwa na silaha na ikagundulika wapo kufanya uhalifu kifo ni Haki yao-hawa wametolewa mahotelini na awana silaha.kuna kitu kinaitwa rule of engagement- alieanza mmalize
 
Mimi nadhani anapaswa kuwashitaki Serena hotel pia. Kwa sababu Serena walikuwa na wajibu wa kumlinda mteja wao
Kwani walienda kumchukua akiwa kwenye mazingira ya ndani ya hotel?
Ila kuwashtaki Serena hotel itakuwa ni kuwaonea tu ukizingatia hali ya sasa tuliyonayo kiusalama.
Uzuri Mastermind wa hawa wasiojulikana ameanza kujianika polepole.
 
Ts

The ishu mbili tofauti! Kama walikuwa na silaha na ikagundulika wapo kufanya uhalifu kifo ni Haki yao-hawa wametolewa mahotelini na awana silaha.kuna kitu kinaitwa rule of engagement- alieanza mmalize

Siyo lazima kuwa na silaha. Taarifa za kiintel toka kwao zilithibitisha hayo. Serikali zao zilishiriki
 
Hii case itakuwa handled barabarani na Wakenya...

For sure kabisa, Rais Samia Suluhu Hassan amempelekea msala mwenzake William Ruto...

Hii incidence kwa Wakenya sio ndogo. Kuna possibility 100% inaweza kuamusha maandamano mapya ya GenZ na demands zao zitakuwa:

1. William Ruto MUST GO..

2. Kuwataka baadhi ya wabunge wao walioshabikia hili kusema liko sawa washughulikiwe. Hawa wawe tayari kukabiliana na moto wa GenZ kwa familia na mali zao kushambuliwa au kuharibiwa...

3. Kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wao Musalia Mudavadi kuachia ngazi...

4. Kumtaka balozi wa Kenya nchini Tanzania kuachia ngazi...

#Ni ishu ndogo, Lakini inaweza kuzua matatizo makubwa East Afrika yote kwa ujinga na upumbavu wa serikali ya Tanzania ku -mishandle ishu ya Wakenya ambayo kiuhalisua ilikuwa very simple...

#As far as we know, serikali ya Tanzania haikuwa na ushahidi wowote kuwa hawa walikuwa wahalifu. Ni hallucinations tu tokana na low self-esteem problem inayowakabili viongozi wa serikali hii na CCM yao iliyowazalishia tatizo kubwa zaidi liitwalo fear of unknown...

#Kwa sababu hii CCM na serikali yao kwa kutumia police, Jeshi, TISS na mbwa na bunduki zao watamuumiza kila anayepingana na plan zao kwa kumuona ni adui yao, anataka kuharibu kitumbua chao awe Mtanzania, Mkenya na hata mzungu. For this reason, they'll be killing and destructing themselves politically...

#Lakini mwisho wa siku, hakuna atakayeendelea kuwatazama, kuwavumilia tu huku wakiendelea na unyama wao wa kunyanyasa, kuumiza na kuua watu kwa kigezo feki cha "kulinda amani" kumbe ni kulinda tamaa na madaraka yao feki ya wizi wa kura ktk chaguzi..

#Ndo kusema kuwa, mamlaka za Tanzania zimekosa hekima na busara kabisa ku - handle ishu ndogo kama hii. Kulikuwa na ulazima gani kukamata raia wa kigeni na dunia nzima kujua mmewakamata halafu ghafla wanaokotwa wametupwa porini huku wakiwa wameteswa na kuumizwa vibaya?

#Walitakiwa wautumie ubalozi wao kuwa deport kurudi nxhini kwao.

#Hili TZ imelikoroga tena...
Mkuu hii umeangalia kwa level ingine sana! Ni jicho la tatu kabisa!
 
Back
Top Bottom