Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,742
- 56,070
Kenya kama nchi ikiamini kuwa raia wake alikuwa mistreated na nchi nyingine, kenya kama nchi inaweza kufungua caseICJ anapeleka kwa mtindo upi?!
Kenya kama nchi ikiamini kuwa raia wake alikuwa mistreated na nchi nyingine, kenya kama nchi inaweza kufungua caseICJ anapeleka kwa mtindo upi?!
Hili jambo sio dogo kabisa kwa wakenyaHii case itakuwa handled barabarani na Wakenya...
For sure kabisa, Rais Samia Suluhu Hassan amempelekea msala mwenzake William Ruto...
Hii incidence kwa Wakenya sio ndogo. Kuna possibility 100% inaweza kuamusha maandamano mapya ya GenZ na demands zao zitakuwa:
1. William Ruto MUST GO..
2. Kuwataka baadhi ya wabunge wao walioshabikia hili kusema liko sawa washughulikiwe. Hawa wawe tayari kukabiliana na moto wa GenZ kwa familia na mali zao kushambuliwa au kuharibiwa...
3. Kumtaka Waziri wa Mambo ya Nje wao Musalia Mudavadi kuachia ngazi...
4. Kumtaka balozi wa Kenya nchini Tanzania kuachia ngazi...
#Ni ishu ndogo, Lakini inaweza kuzua matatizo makubwa East Afrika yote kwa ujinga na upumbavu wa mis-handling wa masuala simple kabisa ya Wakenya hawa...
#Mamlaka za Tanzania zimekosa hekima na busara kabisa ku - handle ishu ndogo kama hii. Kulikuwa na ulazima gani kukamata raia wa kigeni na dunia nzima kujua mmewakamata halafu ghafla wanaokotwa wametupwa porini huku wakiwa wameteswa na kuumizwa vibaya?
#Walitakiwa wautumie ubalozi wao kuwa deport kurudi nxhini kwao.
#Hili TZ imelikoroga tena...
Nina wasi wasi kama jurisdiction yake inakwenda mpaka kwa mtu ambaye ameteswa na serikali as an individual kama Mwangi alivyoteswa![]()
Hawa jamaa wanapokea malalamiko ya individuals dhidi ya serikali
nshomile hovyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo, wahaya hawako hivyoAliyataka mwenyewe! Huku sio kwa Ruto wanayemshika sharubu
Kwamba anaenda ku file hizo picha? Sawa
Yule Rais wa Philippines yupo huko kwani yeye ndio alikuwa anapiga au anauwa watu.Kapigwa na nani? Tuanzie hapo
Ni ICC (International Criminal Court) sio ICJ (International Court of Justice)Kuna courts zipo, ICJ ikiwa namba moja
Ni nchi yako inashitakiwa.basi mwangi aipeleke kule
ndo atakua wa kwanza kufanya ivoAnasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
Wakenya hawana dogo, bibi yetu jiandae kwa mashambulizi na usiwe na hasira umeyataka.Anasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
Ngojeni huyo Dikteta apandishwe kizimbani huko The Hague.Kwamba anaenda ku file hizo picha? Sawa
SawaNgojeni huyo Dikteta apandishwe kizimbani huko The Hague.
ingia twita uone kivumbi cha matusi kwa samia. Hawafai wakenyaWakenya hawana dogo, bibi yetu jiandae kwa mashambulizi na usiwe na hasira umeyataka.