Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

Hili jambo sio dogo kabisa kwa wakenya
 
No vyepesi tu, ataenda mahakama za Kenya kuishitaki tazania kwa hiyo mistreatments na akishinda kesi mahakama itailazimisha serikari ya tz kutekeleza hukumu, ikishindikana mahakama ya Kenya itailazomisha serikari kushikilia Mali za tz. Kwa hii kesi ni mtaji kwa huyu mwamba ukizingatia Uhuru wa mahakama wa Kenya

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Anasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?
Wakenya hawana dogo, bibi yetu jiandae kwa mashambulizi na usiwe na hasira umeyataka.
 
Wakenya hawana dogo, bibi yetu jiandae kwa mashambulizi na usiwe na hasira umeyataka.
ingia twita uone kivumbi cha matusi kwa samia. Hawafai wakenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…