Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

Uongozi ni mtamu!

Ndio maana alihakikisha Katiba mpya haipatikani kwenye lile Bunge la Katiba pamoja na kuwa kiongozi wa lile Bunge 😭😭😭
 
Jamaa amesema ngoja apone majeraha aanze kuwasha moto. Mambo yatakuwa 🔥 sana.
 
kuna mahakama anawweza kwenda? ndilo swali
yes but haina effect yoyote hakuna mtu atakuja kusema samia kosa lako ni hili achia uraisi haiwezekan, siasa is a game and wanaelewa ilo, na hakuna mwanasiasa wa kuamini kwenye siasa tunaitana COMRADE ila watu wa chadema naona wako na mahaba ya kupitiliza kiasi kwamba mtu akihama tu kidogo 🤣
 
Ukiangalia hii ishu unaona kabisa Kuna shida kwa upande wetu watz Aidha Kuna watu wanafanya makusudi kwa lengo kumharibia mama Samia kwa sababu haiwezekani umkamate mtu badala ya kumpeleka ubalozini kwao wao wanamkamata na kumpa kipondo mwisho wa siku wanamtupa maporini akiwa hoi,hii syo nzuri kabisa na haileti sifa nzuri kwa taifa letu nadhani Kuna vita ya urais ya chinichini.
 
Ongeza namba 5; Watanganyika waishio Kenya na mali zao kuwa hatarini.
 
Nivema tujue kuwa kuna nchi ziko serious na raia wao linapokuja suala la kudhurika kwa raia wao nje ya nchi.

Kwa hapa EA ni pamoja na
1.Kenya-hasa raia wake wanaweza kushinikiza rais juu ya hilo mpaka shughuri nyingi za mjini zikasimama.
2.Rwanda-Hapa serikali yao inaweza deal na wahusika perpendicular, iwe kimya kimya au wazi wazi, longterm or short term revenge.


Hapo kwa hili la wakenya tusishangae reactions zao maana sidhani kama hatuwajui linapokuja suala linalowagusa kama taifa au raia(wakenya).
 
Anasema ameteswa sana. Anaweza kuwashitaki wapi waliomtesa mana anawafahamu. Kuna Iternational courts za ku handle situation kama hii?

Hii mbona kawaida tu? Wakenya siku zote hawatumii akili na hawajui kuna diplomatic intel. Miaka ya nyuma kidogo kati ya 2007 au 2008, kuna kikundi cha wakenya ambao walivuka mipaka ya Tanzania na kuingia Moshi Kilimanjaro ili wafanye ambush ya kuwaokoa wenzao waliokuwa wanashikiliwa kwa kosa la ujambazi. Walikuwa wanawategea pindi wanapelekwa mahakamani. Hiyo ilipojulikana na vyombo vya usalama. Guess what happened, walimkminiwa risasi wote zaidi ya 15. Kwa hiyo wakenya wasi take for granted Tanzania. Wawe makini ku deal na nchi nyingine
 

Mbona 2008 kuna wakenya zaidi ya 15 walipigwa risasi Moshi na Kenya walikaa kimya
 
Ninachowashangaa, wanaojifanya kuwatetea wa Tz na hawapati backup ya wa Tz ila wao hawaoni hilo. Mbona wanaongea wao tu.
 
First asie na akili ni baba na mama yako.
Secondly, ameminywa pumbu, kama mnajiweza fanya action sio kuwa keyboard worrier
Msio na akili mnatumia nguvu sana. Hiyo ni ishara mojawapo ya ukilaza kichwani.

Ila siyo ajabu, Tanzania ndo nchi yenye watu wenye lowest IQ kwa nchi Waanzilishi wa EAC. Lazima viongozi na wasaidizi wake wawe hivyo pia.
 
Msio na akili mnatumia nguvu sana. Hiyo ni ishara mojawapo ya ukilaza kichwani.

Ila siyo ajabu, Tanzania ndo nchi yenye watu wenye lowest IQ kwa nchi Waanzilishi wa EAC. Lazima viongozi na wasaidizi wake wawe hivyo pia.
Naona unatema mate tu, mimba ina muda gani bi dada?
Mbona akiki zenu haziwasaidii kuondoa tribalism?
Akili zenu mbona hazijawasaidia msibinywe pumbu?
Akili zenu zimewasaidia nini? Mna akili akawategemea Gen Z wawaokoe😁
 
Naona unatema mate tu, mimba ina muda gani bi dada?
Akili zenu mbona hazijawasaidia msibinywe pumbu?
Akili zenu zimewasaidia nini? Mna akili akawategemea Gen Z wawaokoe😁
Tanzania ni nchi wafu. Bongolala zero brain watupu. Ndo maana pamoja na kubarikiwa maliasiri na raslimali nyingi kuliko Kenya na Uganda, bado mko nyuma sana kimaendeleo. Rwanda tu iko mbele yenu kwa sasa. Hamna akili.
 
Tanzania ni nchi wafu. Bongolala zero brain watupu. Ndo maana pamoja na kubarikiwa maliasiri na raslimali nyingi kuliko Kenya na Uganda, bado mko nyuma sana kimaendeleo. Rwanda tu iko mbele yenu kwa sasa. Hamna akili.
Tanzanian hatutegemei serikalini kuboresha maisha yetu, sio kama nyinyi mnategemea sana serikali badala ya kuchukua hatua binafsi kuboresha maisha yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…