Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

Laumu wanaharakati ambao wanafanya mambo kwa kukariri, hawakuujua upana wa kitengo cha usalama wa taifa wakadhania demokrasia ya kizungu ina nguvu sana afrika.

Mpaka aweze kuishtaki serikali inabidi awe na hizo video zote za unyama aliofanyiwa zikiwa ndio ushahidi wake huko mahakamani atakapokwenda.
 
Mudavadi na Ruto ambao ni viongozi huko Kenya wamepinga maamuzi ya wanaharakati wao kufunga safari kuja Tanzania kufanya upuuzi wa kusikiliza kesi mahakama ya kisutu.
 
Kenya kama nchi ikiamini kuwa raia wake alikuwa mistreated na nchi nyingine, kenya kama nchi inaweza kufungua case
Kwa ushahidi upi?. Kumbuka kuwa rais kamili wa nchi hashtakiwi na mamlaka yoyote ile.

Marekani walimshindwa yule Rais wa Somalia akiwa madarakani, sembuse hao wanaharakati wa Kenya!.
 
Sikiliza ile hotuba ya Mudavadi ipo kwenye mitandao, huwezi kutoka nchi moja ukaenda nchi nyingine kushabikia masuala ya siasa za ndani, unatafuta matatizo.
 
Kwa ushahidi upi?. Kumbuka kuwa rais kamili wa nchi hashtakiwi na mamlaka yoyote ile.

Marekani walimshindwa yule Rais wa Somalia akiwa madarakani, sembuse hao wanaharakati wa Kenya!.
Hawamshtaki rais, wanaishtaki nchi. ushahidi mbona upo, mamlaka zimemchukua mtu ,badala ya kufuata process za kisheria wamefanya waliyo yafanya

Kwenye macho ya kisheria is simple
 
Wasikilize wakenya wanavyosema hapa chini. Au wewe una wakenya wengine.
Your browser is not able to display this video.
 
Reactions: Tui
Sikiliza ile hotuba ya Mudavadi ipo kwenye mitandao, huwezi kutoka nchi moja ukaenda nchi nyingine kushabikia masuala ya siasa za ndani, unatafuta matatizo.
Hata wakenya hawapo pamoja na hao wanaharakati uchwara!! Wasikilize hapa chini.

Your browser is not able to display this video.
 
Hawamshtaki rais, wanaishtaki nchi. ushahidi mbona upo, mamlaka zimemchukua mtu ,badala ya kufuata process za kisheria wamefanya waliyo yafanya

Kwenye macho ya kisheria is simple
Hakuna kesi hapo, hao waliofanyiwa unyama wanayo kazi ya kuuweka hadharani ushahidi wa kina huko wanapokwenda kushtaki.
 
Sikiliza ile hotuba ya Mudavadi ipo kwenye mitandao, huwezi kutoka nchi moja ukaenda nchi nyingine kushabikia masuala ya siasa za ndani, unatafuta matatizo.
Haiwez kuwa rahisi wakareacts kwa umoja wao kwakuwa hatawao wapo wanaoiunga mkono ccm na wengine chadema.
Maana ujue hata kwetu huku watawala wengine walkuwa upande wa kenyata wengine kwa Odinga.

Lakin yote kwa yote nadhani umeona matusi yanavyo vulumishwa, hilo huwez sema limepita bure mkuu.
 
Matusi hayachani nguo , hayaleti ugonjwa wowote ndani ya mwili.

Unapokuwa kiongozi unakuwa sawa na jalala, waache watukane mchana ukifika usiku watalala usingizi mzito ule wa kukoroma.
 
Wakenya ni vichwa ngumu wewe,huwa hawashindwi kitu ni watu wamejipanga sana kushirikiana kwenye mambo ya kuhusu mvurugano
KWELI KABISA, UKIANGALIA TV ZA KWAO, GEN Z WAMEKUWA KITU KIMOJA KUTETEA HAKI ZA AKINA mWANGI NA aGATHA. HAPA JERRY MURO LINAFIKIRIA UKUU WA WILAYA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…